Serikali ya Rais Magufuli yagoma kumfanyia uchunguzi Makonda juu ya utajiri na mali alizonazo kazipataje

Serikali ya Rais Magufuli yagoma kumfanyia uchunguzi Makonda juu ya utajiri na mali alizonazo kazipataje

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
FB_IMG_1574393991960.jpg
 
Labda serikali inataka kutengeneza “oligarchs” kama kule Urusi. Ambapo serikali ina watu wake imewatajirisha na inawalinda. System nzuri kwa srikali ya kidikteta kama ile ya Putin.
 
Makonda ameshawanyang'anya wahindi na waarabu wengi mali zao wakiwemo akina GSM akina MO. Huyo ni jambazi kama majambazi wengine! Huo ni utajiri wa laana tu. Huyo babake wa kambo anampa kiburi sana Huyo shoga. siku jiwe akiondoka makonda atakuwa masikini atanyang'anywa hadi baiskeli.
 
Nakumbuka kipindi kile kila petrol station mpya ilikuwa ya ridhiwani, kila jengo jipya kubwa ni la ridhiwani! Watu wanaenda na upepo
Mafisadi wa awamu hii ndo watakaolimia meno awamu ijayo.Masha akiwa waziri wa ulinzi aliwapelekesha Sana polisi akuangalia kesho yake alipojiunga chadema polisi walikuwa wakimlaza ndani na kumpelekesha.Hata kangi akija kuwa nje mapoti watampelekesha Sana hasa matrafik.Ukitaka kusimama vyema tazama kesho yako.Bashtu atapata tabu sana mbuyu ukiondoka
 
Makonda ameshawanyang'anya wahindi na waarabu wengi mali zao wakiwemo akina GSM akina MO. Huyo ni jambazi kama majambazi wengine! Huo ni utajiri wa laana tu. Huyo babake wa kambo anampa kiburi sana Huyo shoga. siku jiwe akiondoka makonda atakuwa masikini atanyang'anywa hadi baiskeli.
Unaonaje ukiacha kulalamika na ukaenda mahakamani? Huwezi kuja na allegations nzito kiasi hiki alafu ukawa unalalamika tu l! Utakua huutendei haki uwepo wako hapa duniani.
 
Back
Top Bottom