Serikali ya Rais Samia Haitasahaulika Wala Kufutika Katika Mioyo ya Watanzania

Mimi naongea ukweli juu ya kazi njema na ya kupigiwa mfano iliyofanywa na serikali ya Rais Samia katika kugusa maisha ya watanzania,Sitafuti uteuzi Bali naandika kile kinachoonekana kuwa matunda ya juhudi na uchapa kazi wa mh Rais wetu
Matunda yapi yaliyogusa maisha ya watanzania?
 
Matunda yapi yaliyogusa maisha ya watanzania?
Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea imeleta matunda makubwa Sana kwa wakulima wa nchi hii,kwa kuwa hatua hiyo imepelekea kuongezeka kwa uzalishaji na hivyo kuinua kipato Cha wakulima na kupunguza umaskini wa kipato.

Hatua ya Rais Samia kufuta Ada mpaka kidao Cha sita na kuongeza bajeti ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu ,kimeleta matunda makubwa Sana ambayo ni pamoja na kutoa fursa kwa watoto wanaotoka Kaya za kipato Cha chini kutimiza Ndoto zao za kielimu.

Wazo la mh Rais wetu la Royal Tour lilizaa matunda ya kuongeza maelfu ya watalii na wawekezaji waliomiminika nchini bila breki ,hivyo kuongeza fursa za ajira kwa vijana pamoja na kuongeza mapato ya kikodi.
 
Mbona kipindi cha Magufuli mbolea ilikuwa 70000 na hapakuwa na mifumuko ya bei na mitozo
 
Mbona kipindi cha Magufuli mbolea ilikuwa 70000 na hapakuwa na mifumuko ya bei na mitozo
Lazima ufahamu ya kuwa suala la mfumuko wa Bei katika mbolea lilikuwa ni la Dunia nzima na siyo kwamba lilipandishwa na serikali ya Rais wetu Jasiri na shujaa.
 
Lazima ufahamu ya kuwa suala la mfumuko wa Bei katika mbolea lilikuwa ni la Dunia nzima na siyo kwamba lilipandishwa na serikali ya Rais wetu Jasiri na shujaa.
Vipi na ufisadi unaoendelea nchi unawasababishia watanzania maisha magumu
 
Ni kweli kabisa halina ubishi.

Serikali ya Mama Inajali na Kuthamini watu wake
Bila ubabaifu....
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataacha kuisema kwa mema makuu aliyofanya huyu Mama

Sent from my SOV37 using JamiiForums mobile app
 
Kila unakopita,kuanzia.vijijini mitaani,wilayani,mkoa kwa mkoa.Kwenye stan za mabasi,migahawa,vigenge,masokoni,na sehemu mbali mbali.Wengi wanashukuru,kuanzia wenye wanafunzi vyuo na vyuo vya kati
1.Mikopo kupata kuanzia vyuo vya kati,mpaka vyuo vikuu.
2.Wananchi kupunguziwa gharama za matibabu,kama wa matatizo ya Figo.
3.Wafanyakazi kulipwa stahiki zao.
4.Huduma za umeme kutokatika ovyo.
5.Kina mama kupata mikopo ya biashara.
6.Wafanyabiashara kutofungiwa biashara zao.
7.Wamachinga kufanyabiashara kwa uhuru.
8.Mama lishe kufanya biashara
kwa uhuru.
9.Kuomba leseni ya biashara kupitia mitandao,bila kupoteza mda wa kwenda ofisi husika.
10.Na mengi mengineo.
 
Huu ndio ukweli,umeandika ukweli mtupu.Mungu akubariki.
 
Naona kichaa chako kinaelekea kwenye hali mbaya sana si.muda utaanza kuzunguka kwenye vyoo kutafuta vinyesi vya wanadamu wenzako ili uvile kujisitiri na njaa bwana mshamba
 
Sasa kwa nini siku ya kampeni huwa mnatumia nguvu kubwa ya kubeba watu na malori, na mwisho wa siku mnaiba kura
 
Mimi ni mTanzania niliisha isahshu na kuifuta moyoni mwangu
 
Naona kichaa chako kinaelekea kwenye hali mbaya sana si.muda utaanza kula vinyesi vya wanadamu
 
Huu ndio ukweli.
 
Huu ndio ukweli.
 
Sehemu nilipo mpaka sasa ccm wamefanya mkutano mmoja na chadema miwili katika mikutano hiyo mikutano ya chadema ina mvuto kuliko ccm,ambapo watu huwa wachache mno pamoja na kuwekwa vikolombwezo kama wasanii wa ngoma,na ma power
 
Huu ndio ukweli.
 
Huwezi ukasema Ni mapema wakati unaona umapema huo umeleta mapinduzi makubwa Sana katika kila secta na kuleta nuru kila mahali palipokuwa na Giza ,kwa Sasa Ni matumaini kila mahali na kila mtu Anayo matumaini ya kutimiza Ndoto zake
Huu ndio ukweli.
 
Nyie chawa ndio mnaoiharibu hii nchi pasipo kustahili kusifia mnasifia hata mnaemsifia anawashangaa ila shida hii yote ni njaa inawaponza mnakosa uzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…