Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu watanzania,
Rais Samia Ambaye kwa Sasa anatajwa Kama kiongozi aliyeituliza Jumuiya ya Afrika mashariki,Na ambaye wananchi wa Jumuiya na ukanda huu wanatamani nchi zote za Jumuiya ziungane na kumchangua mama Samia kuwa Rais wa shirikisho, Ni Rais ambaye amekuwa wa kuigwa na viongozi wengi katika ukanda huu na anayesikilizwa Sana mawazo yake na kufuatiliwa Sana habari zake kutokana na hotuba zake kuwa nzito, za kinabii,kisayansi na zenye hoja zilizofanyiwa utafiti.
Rais Samia na serikali yake ya CCM Tangia aingie madarakani Amekifanya kilimo kuwa kazi na shughuli ya heshima na kuheshimika, Rais Samia amekuja na kauli yake iliyoteka hisia za watu wengi Sana Barani Afrika kwa kusema wazi kuwa kilimo Ni Biashara, Hivyo kumsaidia mkulima kunufaika na jasho lake Kama ilivyo kwa biashara zingine.
Kwa Miaka Mingi Sana wakulima hapa nchini walikuwa Ni watu wanaohenyeka Sana na jembe,walikuwa watu wanaoshinda kutwa nzima shambani,walikuwa Ni watu wakunyonywa Sana ,walikuwa watu wa kuonewa,kupangiwa Bei, kupangiwa maeneo ya kuuza,kupangiwa Bei ya pembejeo kwa kadri wafanyabiashara walivyojisikia lakini mazao yao yakawa yanachukuliwa kwa Bei ya kutupwa,Bei ya kububujisha machozi,Bei ya kusikitisha,Bei ya hasara,Bei yakukatisha Tamaa,Bei ya maonezi na isoyolingana na gharama alizottumia mkulima wakati wote mpaka mavuno.
Hali hii ilipelekea wakulima kuishi maisha ya umaskini kwa miaka yote,wakulima wakawa watu wa kusononeka miaka yote,wakawa watu wa kuumia miaka yote,kilimo kikawa Kama shughuli ya utumwa , ikawa Ni shughuli na kazi ya mateso na isiyo lipa,kilimo kikawa kinakimbiwa na vijana ,kikawa Ni shughuli ya wazee na akina mama huko vijijini kwa ajili ya kulisha watoto na wajukuu zao.
Rais Samia na serikali yake ya CCM kwa huruma ,upendo ujasiri na umadhubuti mkubwa akaamua kumgeukia mkulima ,akaamua kumshika mkono mkulima, mama huyu kipenzi Cha watanzania na aliye imara madhubuti na shupavu akaamua kuwafuta machozi wakulima,akaamua kukipa heshima kilimo na kumheshimisha mkulima kwa kukifanya kilimo kuwa Ni biashara,kwa kuweka mazingira mazuri ya kibiashara kwa kuimarisha ujirani mwema na hivyo Tanzania kunufaika na soko la mazao kwa majirani zetu ambao kwa Sasa wanaiona Tanzania Kama mama mlezi wao.
Sasa kilimo kimekuwa kimbilio la vijana ,Sasa Ni ajira iliyoajiri watanzania wengi,Sasa kilimo kimewainua watu kiuchumi,Sasa kilimo kimeleta Tabasamu Katika familia za wakulima,Sasa kilimo kimewafanya wakulima kujenga nyumba Bora na za kisasa,Sasa kilimo kinawapatia mitaji vijana,Sasa hata wafanyakazi na wastaafu wamekigeukia kilimo Kama mkombozi wao katika kujiongezea kipato na kupata chakula Cha kutosha,Sasa wakulima wanatembea vifuaa mbele , Sasa watu wanajionaa fahari kupiga picha na kutupia mitandaoni wakiwa mashambani,Sasa hata viongozi wakubwa wanalima Sana na kupiga picha kuhamasisha watu walime.
Sasa wakulima baada ya kulibeba Taifa letu mabegani mwao kwa miaka mingi,kulilisha Taifa kwa miaka yote,kulifanya Taifa kuwa Tulivu na lenye amani kwa kuwapatia watu chakula na hivyo kuondoa njaa majumbani mwao ,hatimaye mama yetu mpendwa shujaa wa Afrika na mkombozi wa Afrika na sauti ya afrika Rais Samia Amerejesha Nuru na matumaini katika mioyo ya wakulima Tanzania.
Kwa mwendo huu anaokwenda nao Rais Samia Samia Naona dalili za upinzani kumkimbia na kumkwepa Rais Samia uchaguzi ujao ili kukwepa kuvuna aibu mbele ya Rais Samia ,maana Rais Samia kayateka makundi yote hapa nchi kwa uchapa kazi wake uliotukuka na uliogusa mioyo ya mamillioni ya watanzania..
Kazi Iendeleee,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627