Serikali ya Rais Samia inajenga vyuo 89 vya VETA nchi nzima. Haya ni mapinduzi kwenye sekta ya elimu ya ufundi

Hujanijibu swali langu hapo juu,wewe hujawahi pongezwa kwa kutimiza wajibu wako?

Kama Ni salary wengi tuu hulipwa Ila hawatimizi inavyotakikana na Kama Ni Urais walishapita wengi tuu na hawakufanya yanayofanywa Sasa.
Huyu bibi kizee ni Rais mbovu kabisa kupita wote waliomtangulia. She's weak, incompetent, lacks authoritative decisions, lacks creativity ,etc.
 
magufuli aliyeimbwa na kila mtu alikuwa anatoa pesa zake mfukoni?.hii nchi inashida sana.yaani hujui umuhimu wa motisha mtu anapotimiza majukumu yake?.sifa ni motisha sio malipo ya kazi
Magufuli alipambana na majizi na mafisadi na wakwepa kodi. Je, huyu bibi kizee wenu hawaoni hao majizi na mafisadi??
Au mnataka kusema tokea Magufuli amekufa na mafisadi na wakwepa kodi nao wamekufa wote?

Anasifiwa wakati nchi uchumi umeyumba, inflation is too high, citizens can't afford the costs of living, halafu you fools daily mnaimba "mama anaupiga mwingi". Anaupiga mwingi my foot!!!!
 
Habari zenu wadau.

Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dr.Samia Suluhu Hassani inajenga jumla ya VETA 89 Nchi nzima.

Kati ya hizo Veta 4 Ni za Mikoa na Veta 85 ni za Wilaya.

Mwaka 2021/2022 ilianza kujenga Veta 25 kwenye Wilaya na mwaka huu 2022/2023 inajenga Veta 60..

Ikumbukwe kwamba Lengo la Serikali Ni Kuhakikisha kila Wilaya ya Tanzania na Mkoa inakuwa na Chuo Cha Veta ili.kuleta mapinduzi ya Elimu ya ujuzi kwenye fani mbalimba zitakazowawezesha maelfu ya Vijana kujiajiri na kuajiriwa..

Ni elimu ya Ufundi pekee ndio itakayoleta mapinduzi ya kiuchumi na ajira za uhakika kwa vijana..

Imagine just within less than 2 years toka awe Rais Mambo haya makubwa yanafanyika yet kuna watu Wana kejeli na Kutaka asisifiwe wakati tumekuwa na Marais hapo kabla Hakuna kitu kikubwa walifanya.

Hii Ni sekta Moja tu ya Elimu ya Ufundi lakini Moto huu uko kwenye sekta zote za Uchumi.

Pamoja na pongezi hizi tunaiomba Serikali ifikirie kununua vifaa vya kutosha vya kujifunzia kwenye vyuo hivyo kwa wakati na pia waweke utaratibu wa kutoa tenda kwa vijana watakaohitimu kwenye vyuo hivyo kwa mahitaji mbalimba ya kiserikali badala ya kila kitu kuagiza China.

Pia vijana wabunifu wapewe motisha na mitaji watakapohitimu.

Kama huoni kwa macho utaoneshwa tuu,video.[emoji116]

View attachment 2432433
Kuna shule za kata nyingi mnoo... kila mkoa ibadilishwe moja kuwa Veta.. hizo pesa zitumike kuboresha mazingira ya walimu na kuongeza vifaa vya kufundishia.
 
Ni majengo yanajengwa au ni full equiped vocational centres?
Tatizo ni vijana wenye maarifa aka skilled workforce na sio majengo yakupigia picha na kuombea kura.

Tunapofanya jambo tusifanye kisiasa bali tujitahidi liwe lenye kuleta impact.

Tulijenga shule nyiiiingi za kata lakini matokeo yake tunazalisha wasomi wapumbavu, tuwe serious kidogo.
 
Huyu bibi kizee ni Rais mbovu kabisa kupita wote waliomtangulia. She's weak, incompetent, lacks authoritative decisions, lacks creativity ,etc.
Sasa unadhani ukijisemesha ujinga wako huo ndio itaondoa ukweli kwamba ndio Rais Bora na aliye deliver kuliko waliotangulia au?

Bakia na mtizamo wako huo huo sio lazima wote tufanane Ila Kama Ni weak fanya tukio ndio tupime Kama Ni weak au strong vinginevyo Ni vijimaneno tuu vya chuki binafsi.
 
Hiyo nzuri sana.
Huyu mama anaweza sana sema tu uchawi wa Jiwe uliharibu akili za watu wengi kiasi kwamba hawawezi kumkubali kiongozi mwingine hata afanye kitu gani.
Moja ya Marais aliyeweza ku deliver vitu vingi na vya msingi kwa mda mfupi..

Samia msimchukukie poa hajaanza uongozi Jana Wala Leo na Ni msomi wa Masoko ya Uchumi na uongozi
 
Magufuli alipambana na majizi na mafisadi na wakwepa kodi. Je, huyu bibi kizee wenu hawaoni hao majizi na mafisadi??
Au mnataka kusema tokea Magufuli amekufa na mafisadi na wakwepa kodi nao wamekufa wote?

Anasifiwa wakati nchi uchumi umeyumba, inflation is too high, citizens can't afford the costs of living, halafu you fools daily mnaimba "mama anaupiga mwingi". Anaupiga mwingi my foot!!!!
Alipopambana hela zikaenda wapi ikiwa hata ajira zilimshinda?

Unaweza nionyesha Mahakama ya mafisadi aliyowahi kusema ataifungua?
 
Elimu ya Bongo tusubiri Mungu tu mpaka atakapo badili kizazi cha ukoloni mamboleo.
Juzi watoto wetu wa Law school walijaribu kufurukita lakini wakazimwa na tume ya kimangimeza na iliyojaa uzandiki matokeo yake yataathiri wazalendo wa nchi zaidi ya muongo mmoja.
Kuna vyuo wanafunzi wanashindwa kufuzu kwasababu matokeo hayaonekani kutokana na kosa la Mwalimu! Wanafunzi kufeli kwasababu hajajiongeza kingono au Kwa namna nyingine.

Chuo hakitoi cheti Kwa wakati kwasababu zisizo na mashiko na kuathiri wahitimu kupata haki mbalimbali.

Veta sasa inasaidia Kwa upande mmoja lakini Matokeo huchelewa kutoka na kusababisha wanafunzi Kushindwa Kuomba kuendelea na kozi nyingine kwasababu matokeo hutoka baada ya udahili kufungwa.

Mambo ni mengi tunasuburi Mungu ashushe neema zake ili kupata watu wenye fikra mbadala zenye kutetea watu wote Kwa usawa na haki.
 
Hili suala la kuchelewesha matokeo ni janga! Mpaka unajiuliza kama hao waalimu kweli wamesoma au wameokotwa tu na hawajui nini wajibu wao kwa hizo nafasi?!!
Sitashangaa ikiwa hiyo ni mbin ili kila mwanafunzi atoe 'RUSHWA' ili apate matokeo au cheti yake.
Maana rushwa ni adui kama ujinga na umasikini sasa.
 
Alipopambana hela zikaenda wapi ikiwa hata ajira zilimshinda?

Unaweza nionyesha Mahakama ya mafisadi aliyowahi kusema ataifungua?
Nioneshe mkwepa kodi mmoja tu au fisadi mmoja ambaye huyo mama yenu amemshughulikia tokea aingie madarakani.

That's why I'm saying she's weak.
 
Hujajibu maswali yangu unaruka ruka.

Na wewe nitajie huyo fisadi na mkwela Kodi mmja tuu unayemfahamu.
 
Hatua nzuri sana!! Ushauri wangu vyuo vikuu katika kila jiji viwepo na kanda .
 
Habari zenu wadau.

Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dr.Samia Suluhu Hassani inajenga jumla ya VETA 89 Nchi nzima.

Kati ya hizo Veta 4 Ni za Mikoa na Veta 85 ni za Wilaya.

Mwaka 2021/2022 ilianza kujenga Veta 25 kwenye Wilaya na mwaka huu 2022/2023 inajenga Veta 60..

Ikumbukwe kwamba Lengo la Serikali Ni Kuhakikisha kila Wilaya ya Tanzania na Mkoa inakuwa na Chuo Cha Veta ili.kuleta mapinduzi ya Elimu ya ujuzi kwenye fani mbalimba zitakazowawezesha maelfu ya Vijana kujiajiri na kuajiriwa..

Ni elimu ya Ufundi pekee ndio itakayoleta mapinduzi ya kiuchumi na ajira za uhakika kwa vijana..

Imagine just within less than 2 years toka awe Rais Mambo haya makubwa yanafanyika yet kuna watu Wana kejeli na Kutaka asisifiwe wakati tumekuwa na Marais hapo kabla Hakuna kitu kikubwa walifanya.

Hii Ni sekta Moja tu ya Elimu ya Ufundi lakini Moto huu uko kwenye sekta zote za Uchumi.

Pamoja na pongezi hizi tunaiomba Serikali ifikirie kununua vifaa vya kutosha vya kujifunzia kwenye vyuo hivyo kwa wakati na pia waweke utaratibu wa kutoa tenda kwa vijana watakaohitimu kwenye vyuo hivyo kwa mahitaji mbalimba ya kiserikali badala ya kila kitu kuagiza China.

Pia vijana wabunifu wapewe motisha na mitaji watakapohitimu.

Kama huoni kwa macho utaoneshwa tuu,video.👇

View attachment 2432433
Ulitaka shangazi yako ndiye ajenge wakati wakati hakusanyi kodi! Kuishi na wewe nchini ni mzigo mkubwa na sijui kwanini haupelekwi kwa mwendazake.
 
Back
Top Bottom