Serikali ya Rais Samia inajenga vyuo 89 vya VETA nchi nzima. Haya ni mapinduzi kwenye sekta ya elimu ya ufundi

Serikali ya Rais Samia inajenga vyuo 89 vya VETA nchi nzima. Haya ni mapinduzi kwenye sekta ya elimu ya ufundi

Wameanza kukiri wenyewe bila shuruti kuwa nchi inaongozwa na mbumbumbu
 
Was your so called "mama" not part of the former regime??
Pathetic loser!
Of course yes ,so long as she was sidelined it is equally right to say she was not part of Jiwe regime thus why under his reign we see significance positive changes across sectors as opposed to former regime.
 
Habari zenu wadau.

Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Dr.Samia Suluhu Hassani inajenga jumla ya VETA 89 Nchi nzima.

Kati ya hizo Veta 4 Ni za Mikoa na Veta 85 ni za Wilaya.

Mwaka 2021/2022 ilianza kujenga Veta 25 kwenye Wilaya na mwaka huu 2022/2023 inajenga Veta 60..

Ikumbukwe kwamba Lengo la Serikali Ni Kuhakikisha kila Wilaya ya Tanzania na Mkoa inakuwa na Chuo Cha Veta ili.kuleta mapinduzi ya Elimu ya ujuzi kwenye fani mbalimba zitakazowawezesha maelfu ya Vijana kujiajiri na kuajiriwa..

Ni elimu ya Ufundi pekee ndio itakayoleta mapinduzi ya kiuchumi na ajira za uhakika kwa vijana..

Imagine just within less than 2 years toka awe Rais Mambo haya makubwa yanafanyika yet kuna watu Wana kejeli na Kutaka asisifiwe wakati tumekuwa na Marais hapo kabla Hakuna kitu kikubwa walifanya.

Hii Ni sekta Moja tu ya Elimu ya Ufundi lakini Moto huu uko kwenye sekta zote za Uchumi.

Pamoja na pongezi hizi tunaiomba Serikali ifikirie kununua vifaa vya kutosha vya kujifunzia kwenye vyuo hivyo kwa wakati na pia waweke utaratibu wa kutoa tenda kwa vijana watakaohitimu kwenye vyuo hivyo kwa mahitaji mbalimba ya kiserikali badala ya kila kitu kuagiza China.

Pia vijana wabunifu wapewe motisha na mitaji watakapohitimu.

Kama huoni kwa macho utaoneshwa tuu,video.[emoji116]

View attachment 2432433
Sawa chawa wa ccm,ila kwa sasa wenye akili tunaelewa taifa linakoenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitaka shangazi yako ndiye ajenge wakati wakati hakusanyi kodi! Kuishi na wewe nchini ni mzigo mkubwa na sijui kwanini haupelekwi kwa mwendazake.
Unatokwa na povu la tigo sababubya chuki kwa ssh 😜😜😜😜.

Siku zako za kuishi Duniani Ni chache Sana.
 
Back
Top Bottom