Serikali ya Rais Samia isijisumbue Hayati Magufuli alieleza kila kitu na aliweka wazi matatizo ya nchi hii

Siku wafuasi wa Marehemu wakikubaliana na ukweli kwamba jamaa yao kafa na harudi tena basi roho zao zitatulia sana!! JPM kafa, na harudi tena, ukweli mchungu, mazuri yake yataendelezwa na upuuzi wake utakemewa hadharani kama wanavyokemewa watangulizi wake, and yeye hawezi kuwa SI Unit ya kuongoza nchi hii
Ukweli mchungu
 
Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli.

Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo nchini kwa sasa uliwekwa wazi na Hayati Magufuli.

Alieleza matatizo ya baadhi ya wahujumu uchumi wa nchi na maisha ya watanzania juu ya upunguzaji maji wa bwawa la Mtera ili maji yauzwe, video zipo na watanzania wamezihifadhi.

Tatizo la umeme pia aliliezea kuhusu ufisadi na biashara ya majenereta ambayo kimazingira si mazuri na pia kwa afya ya binadamu kutokana na moshi, video zake zipo na wananchi wamezihifadhi,.

Uzuri wa watanzania wengi wa sasa ni kwamba wanauwezo wa kununua vifaa vya kidijitali na asilimia kubwa wanatumia mitandao ya kijamii hivyo wana access ya kila alichokisema hayati Magufuli.

Hayati Magufuli alikuwa akizunguka nchi nzima kuwafahamisha watanzania juu ya kujiletea maendeleo na namna jinsi nchi hii ilivyobarikiwa kila kitu na tatizo na namna ya kutumia vyanzo vya maji, ardhi safi ilijaa rutuba na akawa akisisitiza kulima na kuhifadhi chakula.

Sasa, serikali imekwishaharibu kila eneo ambalo angalu lilikuwa limeleta unafuu na kwa miaka mitano hakukuwa na tatizo la umeme wala maji.

Hivyo Serikali hiihii ingetumia mbinu zilezile alozitumia hayati Magufuli kuhakikisha umeme wa uhakika unakuwepo na kila mwananchi anapata maji safi na salama.

Nasema hivyo kwa kuwa wizara ya nishaji ilikuwa ikiongozwa na mtaalam wa sekta ya nishati na pia baadhi ya mawaziri walokuwapo na ambao wapo wengi waliona uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano.

CCM itambue kuwa serikali yake inayumba kutokana na kuamua kurudi tulikotoka, hivyo ni kheri ifanye maamuzi magumu ya kuukubali ukweli kuwa imeshindwa kutekeleza kwa makini Ilani yake ya uchuguzi ya mwaka 2015 na pia imeweka rasmi kabatini Dira yake ya maendeleo ya Taifa ya 2025 au imeipoteza.

Kuna tetesi kuwa waziri wa madini huenda nae akaondolewa kwa shinikizo la kwamba ni "hardliner" na alikuwa "inner circle" ya hayati hivyo hawa hardliners ni lazima waondolewe.

Wale welevu wote wapo na waangalia na kuku bado watengeneza uzuri mikakati ya kufanya dua kubwa la kumdondosha mwewe.

Upewe ulinzi mkuu
 
Masalia wanaona wanaonewa wamebaki kulia kama mayatima.
 
Ni kweli inaudhi lkn ndiyo hivyo tena. Wameshika mpini makali yote yameelekezwa kwa wananchi
Hao wananchi unaowazungumzia hapa watakuwa wana walakini, pengine ni wajinga; au hata kuwa WAPUMBAVU kabisa, kwani wao ndio wanaopashwa kuwa washika mpini!
 
Hilo liko wazi kwamba watanzania ni wajinga na wapumbavu
 
Magufuli ndiye chanzo cha tatizo lote la umeme tulilonalo sasa hivi kwa sababu alikuwa populist.
View attachment 2017719
Behaviourist unatuhaibisha sana watanzania unaposhindwa kutumia akili zako vizuri na kuendekeza ushabiki usiokusaidia chochote katika taifa hili. Sisi sote ni mashabaki lakini tunapoona kuna baadhi ya mambo madogo yanafeli ambayo hata mtoto mdogo angeyatimiza huwa tunaweka ushabiki pembeni ni kusimamia ukweli. Ungejisikiaje siku moja ukipanda Daladala za Dar es Salaam na kukutana na watanzania ambao hawajaoga wiki nzima wakitoa harufu ya jasho. Ungejiskiaje kuuingia vyoo vya pale stendi ili ujisaidie unakuta hakuna maji.
 
Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli.

Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo nchini kwa sasa uliwekwa wazi na Hayati Magufuli.

Alieleza matatizo ya baadhi ya wahujumu uchumi wa nchi na maisha ya watanzania juu ya upunguzaji maji wa bwawa la Mtera ili maji yauzwe, video zipo na watanzania wamezihifadhi.

Tatizo la umeme pia aliliezea kuhusu ufisadi na biashara ya majenereta ambayo kimazingira si mazuri na pia kwa afya ya binadamu kutokana na moshi, video zake zipo na wananchi wamezihifadhi,.

Uzuri wa watanzania wengi wa sasa ni kwamba wanauwezo wa kununua vifaa vya kidijitali na asilimia kubwa wanatumia mitandao ya kijamii hivyo wana access ya kila alichokisema hayati Magufuli.

Hayati Magufuli alikuwa akizunguka nchi nzima kuwafahamisha watanzania juu ya kujiletea maendeleo na namna jinsi nchi hii ilivyobarikiwa kila kitu na tatizo na namna ya kutumia vyanzo vya maji, ardhi safi ilijaa rutuba na akawa akisisitiza kulima na kuhifadhi chakula.

Sasa, serikali imekwishaharibu kila eneo ambalo angalu lilikuwa limeleta unafuu na kwa miaka mitano hakukuwa na tatizo la umeme wala maji.

Hivyo Serikali hiihii ingetumia mbinu zilezile alozitumia hayati Magufuli kuhakikisha umeme wa uhakika unakuwepo na kila mwananchi anapata maji safi na salama.

Nasema hivyo kwa kuwa wizara ya nishaji ilikuwa ikiongozwa na mtaalam wa sekta ya nishati na pia baadhi ya mawaziri walokuwapo na ambao wapo wengi waliona uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano.

CCM itambue kuwa serikali yake inayumba kutokana na kuamua kurudi tulikotoka, hivyo ni kheri ifanye maamuzi magumu ya kuukubali ukweli kuwa imeshindwa kutekeleza kwa makini Ilani yake ya uchuguzi ya mwaka 2015 na pia imeweka rasmi kabatini Dira yake ya maendeleo ya Taifa ya 2025 au imeipoteza.

Kuna tetesi kuwa waziri wa madini huenda nae akaondolewa kwa shinikizo la kwamba ni "hardliner" na alikuwa "inner circle" ya hayati hivyo hawa hardliners ni lazima waondolewe.

Wale welevu wote wapo na waangalia na kuku bado watengeneza uzuri mikakati ya kufanya dua kubwa la kumdondosha mwewe.
Baada ya maelezo yake aliyatatua hayo matatizo au? Hakuna nafasi ya ujinga awamu hii
 
Hawa Waswahili wa Pwani wakisha takeover, it's a guaranteed downward spiral from day one. Hawa ni wazungumzaji wazuri wa Kiswahili ndiyo lugha yao ya asili Tanzania hii. They will feed us nonsense after nonsense.
Hiki ndicho shujaa wenu kilaza kakufanya kwenye hii nchi 👇

Screenshot_20211113-134557.png
 
Hilo liko wazi kwamba watanzania ni wajinga na wapumbavu
Sasa itakulazimu uelewe kwamba "ujinga" huondoka na waTanzania wataondokana na ujinga, hili lipo wazi kabisa.

"Upumbavu"? hili sina hakika nalo kama unaweza kuponyeshwa; lakini kama wapo wapumbavu miongoni mwa waTanzania hawa sio wengi. Kwa hiyo tegemea matokeo utayaona muda si mrefu.
 
Magufuli ndiye chanzo cha tatizo lote la umeme tulilonalo sasa hivi kwa sababu alikuwa populist.
View attachment 2017719
Hayo maelezo aliyotoa siyo ya kweli kabisa kwa sababu kilimo hicho hakikuanza jana tu, bali kimekuwapo siku zote na wakati wa utawala wa magufuli kilishamiri sana lakini hakukuwapo upungufu wa maji.
 
Ukweli wa hili tatizo ni upi Sasa?..
 
Huyu Mwamba ametuachia ufahamu wa hali ya juu kuhusu utendaji wa serikali na mbinj za wapigaji.Tulibahayika sana kumpata JPM
 
Kumbe yule roho chafu alifanikiwa hivi kudanganya watu! Harudi yule muelewe hivo Yani
 
WATANZANIA WALIMUELEWA NA KUMUAMINI SANA JPM NA HUWAAMBII KITU.

AWAMU YA 6 POLENI SANA PAMOJA KWA KUMRUSHIA LAWAMA WATANZANIA BADO WAKO NA JPM.

SAKATA LA UMEME (TANESCO) LIMEIBUA USIKILIZAJI MPYA WA SPEECH ZA JPM😁

MAGUFULI ANAISHI.

UKWELI MCHUNGU.
 
Kweli Jiwe lilitufumbua macho.
Mfano lilitamka chanjo hazifai,wamepambana watu wachanjwe mpaka chanjo zime expire.
 
Back
Top Bottom