Ukweli mchunguSiku wafuasi wa Marehemu wakikubaliana na ukweli kwamba jamaa yao kafa na harudi tena basi roho zao zitatulia sana!! JPM kafa, na harudi tena, ukweli mchungu, mazuri yake yataendelezwa na upuuzi wake utakemewa hadharani kama wanavyokemewa watangulizi wake, and yeye hawezi kuwa SI Unit ya kuongoza nchi hii
Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli.
Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo nchini kwa sasa uliwekwa wazi na Hayati Magufuli.
Alieleza matatizo ya baadhi ya wahujumu uchumi wa nchi na maisha ya watanzania juu ya upunguzaji maji wa bwawa la Mtera ili maji yauzwe, video zipo na watanzania wamezihifadhi.
Tatizo la umeme pia aliliezea kuhusu ufisadi na biashara ya majenereta ambayo kimazingira si mazuri na pia kwa afya ya binadamu kutokana na moshi, video zake zipo na wananchi wamezihifadhi,.
Uzuri wa watanzania wengi wa sasa ni kwamba wanauwezo wa kununua vifaa vya kidijitali na asilimia kubwa wanatumia mitandao ya kijamii hivyo wana access ya kila alichokisema hayati Magufuli.
Hayati Magufuli alikuwa akizunguka nchi nzima kuwafahamisha watanzania juu ya kujiletea maendeleo na namna jinsi nchi hii ilivyobarikiwa kila kitu na tatizo na namna ya kutumia vyanzo vya maji, ardhi safi ilijaa rutuba na akawa akisisitiza kulima na kuhifadhi chakula.
Sasa, serikali imekwishaharibu kila eneo ambalo angalu lilikuwa limeleta unafuu na kwa miaka mitano hakukuwa na tatizo la umeme wala maji.
Hivyo Serikali hiihii ingetumia mbinu zilezile alozitumia hayati Magufuli kuhakikisha umeme wa uhakika unakuwepo na kila mwananchi anapata maji safi na salama.
Nasema hivyo kwa kuwa wizara ya nishaji ilikuwa ikiongozwa na mtaalam wa sekta ya nishati na pia baadhi ya mawaziri walokuwapo na ambao wapo wengi waliona uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano.
CCM itambue kuwa serikali yake inayumba kutokana na kuamua kurudi tulikotoka, hivyo ni kheri ifanye maamuzi magumu ya kuukubali ukweli kuwa imeshindwa kutekeleza kwa makini Ilani yake ya uchuguzi ya mwaka 2015 na pia imeweka rasmi kabatini Dira yake ya maendeleo ya Taifa ya 2025 au imeipoteza.
Kuna tetesi kuwa waziri wa madini huenda nae akaondolewa kwa shinikizo la kwamba ni "hardliner" na alikuwa "inner circle" ya hayati hivyo hawa hardliners ni lazima waondolewe.
Wale welevu wote wapo na waangalia na kuku bado watengeneza uzuri mikakati ya kufanya dua kubwa la kumdondosha mwewe.
Hao wananchi unaowazungumzia hapa watakuwa wana walakini, pengine ni wajinga; au hata kuwa WAPUMBAVU kabisa, kwani wao ndio wanaopashwa kuwa washika mpini!Ni kweli inaudhi lkn ndiyo hivyo tena. Wameshika mpini makali yote yameelekezwa kwa wananchi
Hilo liko wazi kwamba watanzania ni wajinga na wapumbavuHao wananchi unaowazungumzia hapa watakuwa wana walakini, pengine ni wajinga; au hata kuwa WAPUMBAVU kabisa, kwani wao ndio wanaopashwa kuwa washika mpini!
Behaviourist unatuhaibisha sana watanzania unaposhindwa kutumia akili zako vizuri na kuendekeza ushabiki usiokusaidia chochote katika taifa hili. Sisi sote ni mashabaki lakini tunapoona kuna baadhi ya mambo madogo yanafeli ambayo hata mtoto mdogo angeyatimiza huwa tunaweka ushabiki pembeni ni kusimamia ukweli. Ungejisikiaje siku moja ukipanda Daladala za Dar es Salaam na kukutana na watanzania ambao hawajaoga wiki nzima wakitoa harufu ya jasho. Ungejiskiaje kuuingia vyoo vya pale stendi ili ujisaidie unakuta hakuna maji.Magufuli ndiye chanzo cha tatizo lote la umeme tulilonalo sasa hivi kwa sababu alikuwa populist.
View attachment 2017719
Baada ya maelezo yake aliyatatua hayo matatizo au? Hakuna nafasi ya ujinga awamu hiiPamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli.
Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo nchini kwa sasa uliwekwa wazi na Hayati Magufuli.
Alieleza matatizo ya baadhi ya wahujumu uchumi wa nchi na maisha ya watanzania juu ya upunguzaji maji wa bwawa la Mtera ili maji yauzwe, video zipo na watanzania wamezihifadhi.
Tatizo la umeme pia aliliezea kuhusu ufisadi na biashara ya majenereta ambayo kimazingira si mazuri na pia kwa afya ya binadamu kutokana na moshi, video zake zipo na wananchi wamezihifadhi,.
Uzuri wa watanzania wengi wa sasa ni kwamba wanauwezo wa kununua vifaa vya kidijitali na asilimia kubwa wanatumia mitandao ya kijamii hivyo wana access ya kila alichokisema hayati Magufuli.
Hayati Magufuli alikuwa akizunguka nchi nzima kuwafahamisha watanzania juu ya kujiletea maendeleo na namna jinsi nchi hii ilivyobarikiwa kila kitu na tatizo na namna ya kutumia vyanzo vya maji, ardhi safi ilijaa rutuba na akawa akisisitiza kulima na kuhifadhi chakula.
Sasa, serikali imekwishaharibu kila eneo ambalo angalu lilikuwa limeleta unafuu na kwa miaka mitano hakukuwa na tatizo la umeme wala maji.
Hivyo Serikali hiihii ingetumia mbinu zilezile alozitumia hayati Magufuli kuhakikisha umeme wa uhakika unakuwepo na kila mwananchi anapata maji safi na salama.
Nasema hivyo kwa kuwa wizara ya nishaji ilikuwa ikiongozwa na mtaalam wa sekta ya nishati na pia baadhi ya mawaziri walokuwapo na ambao wapo wengi waliona uendeshaji wa serikali ya awamu ya tano.
CCM itambue kuwa serikali yake inayumba kutokana na kuamua kurudi tulikotoka, hivyo ni kheri ifanye maamuzi magumu ya kuukubali ukweli kuwa imeshindwa kutekeleza kwa makini Ilani yake ya uchuguzi ya mwaka 2015 na pia imeweka rasmi kabatini Dira yake ya maendeleo ya Taifa ya 2025 au imeipoteza.
Kuna tetesi kuwa waziri wa madini huenda nae akaondolewa kwa shinikizo la kwamba ni "hardliner" na alikuwa "inner circle" ya hayati hivyo hawa hardliners ni lazima waondolewe.
Wale welevu wote wapo na waangalia na kuku bado watengeneza uzuri mikakati ya kufanya dua kubwa la kumdondosha mwewe.
Hiki ndicho shujaa wenu kilaza kakufanya kwenye hii nchi 👇Hawa Waswahili wa Pwani wakisha takeover, it's a guaranteed downward spiral from day one. Hawa ni wazungumzaji wazuri wa Kiswahili ndiyo lugha yao ya asili Tanzania hii. They will feed us nonsense after nonsense.
Acha vitishoWale welevu wote wapo na waangalia na kuku bado watengeneza uzuri mikakati ya kufanya dua kubwa la kumdondosha mwewe.
Acha dharau mkuu.Tulie nae hata serikali ya mitaa ni oversize kwake.
Sasa itakulazimu uelewe kwamba "ujinga" huondoka na waTanzania wataondokana na ujinga, hili lipo wazi kabisa.Hilo liko wazi kwamba watanzania ni wajinga na wapumbavu
Hayo maelezo aliyotoa siyo ya kweli kabisa kwa sababu kilimo hicho hakikuanza jana tu, bali kimekuwapo siku zote na wakati wa utawala wa magufuli kilishamiri sana lakini hakukuwapo upungufu wa maji.Magufuli ndiye chanzo cha tatizo lote la umeme tulilonalo sasa hivi kwa sababu alikuwa populist.
View attachment 2017719
Ukweli wa hili tatizo ni upi Sasa?..Hayo maelezo aliyotoa siyo ya kweli kabisa kwa sababu kilimo hicho hakikuanza jana tu, bali kimekuwapo siku zote na wakati wa utawala wa magufuli kilishamiri sana lakini hakukuwapo upungufu wa maji.
Eti kenge ,kwa hiyo unatukana wenzio kwa lipiKamfufueni Basi huyo mungu wenu, kenge nyinyi, naona Bado mnaweweseka wapuuz wakubwa
Punguza hasira! Black belts gani huna nidhamu,unatuangusha sana! Jirekebisha kabla hatuja kunyanganya hicho cheo!!Kamfufueni Basi huyo mungu wenu, kenge nyinyi, naona Bado mnaweweseka wapuuz wakubwa
aliziba mrijaMagufuli ndiye chanzo cha tatizo lote la umeme tulilonalo sasa hivi kwa sababu alikuwa populist.
View attachment 2017719