Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 921
Kabisa mkuu, Kuna mitaa flani nilipita nilikutana na baadhi ya watu wakisikiliza speech za JPM kwa wingiWATANZANIA WALIMUELEWA NA KUMUAMINI SANA JPM NA HUWAAMBII KITU.
AWAMU YA 6 POLENI SANA PAMOJA KWA KUMRUSHIA LAWAMA WATANZANIA BADO WAKO NA JPM.
SAKATA LA UMEME (TANESCO) LIMEIBUA USIKILIZAJI MPYA WA SPEECH ZA JPM[emoji16]
MAGUFULI ANAISHI.
UKWELI MCHUNGU.
Kwahiyo MALAIKA wenu angekuwepo angeleta mvua Ruvu ijae, ama vipi?Behaviourist unatuhaibisha sana watanzania unaposhindwa kutumia akili zako vizuri na kuendekeza ushabiki usiokusaidia chochote katika taifa hili. Sisi sote ni mashabaki lakini tunapoona kuna baadhi ya mambo madogo yanafeli ambayo hata mtoto mdogo angeyatimiza huwa tunaweka ushabiki pembeni ni kusimamia ukweli. Ungejisikiaje siku moja ukipanda Daladala za Dar es Salaam na kukutana na watanzania ambao hawajaoga wiki nzima wakitoa harufu ya jasho. Ungejiskiaje kuuingia vyoo vya pale stendi ili ujisaidie unakuta hakuna maji.
MATAGA wakidai kuwa tatizo la umeme lipo tu wala halina kisababishi wakati hadi Rais wao alishataja sababu za ukame nchiniππtizo la umeme lipo tu
Unakataa mlengo wako?Sasa hivi mtu yeyote akisema ukweli anaitwa sukuma gang yaan ni shida tu ...
Wanajenga bandari ya familia pale Bagamoyo ili wafaidi vizazi na vizazi halafu bandari ya Daaaslam ibaki gofu la kihistoria. Serikali itabaki kuwa mtazamaji tu pale Bagamoyo. Hiii nchi hiiiiiHawa Waswahili wa Pwani wakisha takeover, it's a guaranteed downward spiral from day one. Hawa ni wazungumzaji wazuri wa Kiswahili ndiyo lugha yao ya asili Tanzania hii. They will feed us nonsense after nonsense.
Mavi yamejaa kwenye bichwa lako ndio Hilo bovu ndio maana unaharisha hapa.Wewe ni mpuuzi fulani na timu yako ya mtandao still January Makamba.
Look at Sabaya for reference wananchi watapakochua nchi.
Ungekuwa na akili timamu ungejikita kusaidia maisha ya Watanzania badala ya kuwashambulia.
Na wewe kajenge ya familia yako kwani hutaki kufaidi? π€π€Wanajenga bandari ya familia pale Bagamoyo ili wafaidi vizazi na vizazi halafu bandari ya Daaaslam ibaki gofu la kihistoria. Serikali itabaki kuwa mtazamaji tu pale Bagamoyo. Hiii nchi hiiiii
Behaviourist unatuhaibisha sana watanzania unaposhindwa kutumia akili zako vizuri na kuendekeza ushabiki usiokusaidia chochote katika taifa hili. Sisi sote ni mashabaki lakini tunapoona kuna baadhi ya mambo madogo yanafeli ambayo hata mtoto mdogo angeyatimiza huwa tunaweka ushabiki pembeni ni kusimamia ukweli. Ungejisikiaje siku moja ukipanda Daladala za Dar es Salaam na kukutana na watanzania ambao hawajaoga wiki nzima wakitoa harufu ya jasho. Ungejiskiaje kuuingia vyoo vya pale stendi ili ujisaidie unakuta hakuna maji.
Behaviourist unatuhaibisha sana watanzania unaposhindwa kutumia akili zako vizuri na kuendekeza ushabiki usiokusaidia chochote katika taifa hili. Sisi sote ni mashabaki lakini tunapoona kuna baadhi ya mambo madogo yanafeli ambayo hata mtoto mdogo angeyatimiza huwa tunaweka ushabiki pembeni ni kusimamia ukweli. Ungejisikiaje siku moja ukipanda Daladala za Dar es Salaam na kukutana na watanzania ambao hawajaoga wiki nzima wakitoa harufu ya jasho. Ungejiskiaje kuuingia vyoo vya pale stendi ili ujisaidie unakuta hakuna maji.
Na wewe kajenge ya familia yako kwani hutaki kufaidi? π€π€
Itachukua miaka mingi mno kufuta vichwani mwa mamilioni ya watanzania elimu aliyotoa JPM...
Kwani uongo??wewe na mleta mada anaelialia hapa na mwendazake ni Sukuma gang acheni zenu bana.Sasa hivi mtu yeyote akisema ukweli anaitwa sukuma gang yaan ni shida tu ...
SukumaGang ni nini?Kwani uongo??wewe na mleta mada anaelialia hapa na mwendazake ni Sukuma gang acheni zenu bana.
Hahaha [emoji3][emoji3]jiwe kweli nimeamini Ni mtu wa tofauti such a tough convincing power mtu yuko kaburini lakin bado anapigana vita na anawaumiza watu vichwa.Kweli Jiwe lilitufumbua macho.
Mfano lilitamka chanjo hazifai,wamepambana watu wachanjwe mpaka chanjo zime expire.