Serikali ya Rais Samia isijisumbue Hayati Magufuli alieleza kila kitu na aliweka wazi matatizo ya nchi hii

Hawa Waswahili wa Pwani wakisha takeover, it's a guaranteed downward spiral from day one. Hawa ni wazungumzaji wazuri wa Kiswahili ndiyo lugha yao ya asili Tanzania hii. They will feed us nonsense after nonsense.
Ni bora Waswahili wa pwani kuliko nchi ilivyokuwa inaongozwa na washamba
 
..kwangu mimi ni afadhali kuongozwa na fisadi kuliko kuongozwa na katili muuaji.

..sasa unaweza kukuta lijitu ni fisadi, katili, na liuaji.
 
Shabiby anasema dubai wanalima ngano tani laki saba na hawana mvua,
 
Wewe na mama Samia nani anajua ukweli wa Magufuli au uongo wa Magufuli?

Hao wote wamefanya kazi pamoja hivyo anacho kikosoa kwa sasa mama Samia anakuwa anakielewa vema kuliko wewe hapo kwenu kibaigwa kwa Ndugaye.
Nafikiri hujamuelewa vzr mleta mada
 
Ni mazuzu kama wewe ndio wanajua magu alielezea matatizo ya nchi,ukweli ni kwamba huyo mtu wenu aliihatibu nchi
 
Hawa Waswahili wa Pwani wakisha takeover, it's a guaranteed downward spiral from day one. Hawa ni wazungumzaji wazuri wa Kiswahili ndiyo lugha yao ya asili Tanzania hii. They will feed us nonsense after nonsense.
Magufuli alifanya mambo mengi ya hovyo lakini sio mtu wa pwani. Mama ana kazi kubwa sana ya kufagia uchafu ulioachwa na Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…