technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Hivi hii kalaa ya watoto kuamka ndani saa9 na kurudi nyumbani saa 4 usiku serikali haioni aibu?
Katika majiji yote makubwa hasa Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya watoto wanateseka Sana!
Watoto wananyanyaswa San
Watoto wa kike kushikwa shikwa kwenye magari ya umma, kudharirishwa, kunyanyaswa na wengine kukaa vituo vya magari mpaka saa 3 asubuhi wakati wamefika saa11 asubuhi!! Vituoni?
Katika vitu vinanikela kwenye ili linchi basi ni huu ujinga!!
Pesa za kuwapa Simba na Yanga zipo,
Pesa za kununua magari ya CCM zipo!
Ila kizazi Cha badae kinapoteza ndoto zao za elimu mnakenua tu meno!!
Mnatengeneza machinga na mamatilie wangapi?
Wewe Rais Samia ndio ulisoma hivi ? Kikwete, Gwajima, Ndalichako, Kabudi ndio mlisoma hivi nyie?
Hii kitu inaniumiza Sana