Hapa suala si kupendana bali ni kutenda haki. Mpende ww, sisi tunataka haki.ACHA KUCHAFUA SERIKALI YETU TUKUFU . PUNGUZENI CHUKI NA KULALAMA. HATA ANGEKUJA NANI , TANZANIA HAMJAWAHI KUMPENDA KIONGOZI ALIYEKUWA MADARAKANI, MWACHENI MAMA WA WATU AMALIZE MIAKA YAKE , MTAMCHAGUA MNAYEMPENDA. KILA ANAYESIMAMA KAMA RAISI , KAMA KAWAIDA LAZIMA ACHAFULIWE . SI MPYA TANZANIA
Wewe pepo, Huyo mama yako roho muovu nani kampa hiyo miaka mitano?, MWACHENI MAMA WA WATU AMALIZE MIAKA YAKE ,