PreGE2025 Serikali ya Samia yazidi kuanikwa dunia nzima-Maria Sarungi atoa presentation kali kuieleza dunia yanayojiri Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Binti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
HAHAHA AKILINZA MASKINI BANA IN SHORT
HUYO AMETOKA KWENYE DAMU YA SARUNGI ALIPOFIKA NDIO ALIPOTAKIWA AFIKE...JE WEWE UMTOKEA KWENYE DAMU YA NANI? NA HAPO ULIPO FIKA NDIPO ULIPOPASWA?
 
Vitisho vya wajinga kama haviitishi Tanzania kamwe tafuteni njia nyingine ya kuingia madarakani
ACHENI UOGA ULIAMBIWA UMETISHIWA AU UMEAMBIWA TRUTH (UKWELI HUENDA HUELEWI) NDIO ULIOSAMBAZWA KWINGINE KOTE HUJAMSKILIZA SABABU WEWE NI CLOSED MIND UNAISHI NA AKILI YA MASKINI KUWA MSOMI SIO LAZIMA UENDE SHULE..🤦🏾‍♂️
 
Wakati mama Samia anaingia kwenye uongozi Mwezi march 2021 tulikuwa na matumaini makubwa sana kama taifa bila kujali itikadi na siasa zetu.Kadiri muda unavyoenda Hali sio sawa kama taifa...
 
Nipe mfano wa nchi moja wapo ambayo hayo mashirika yaliiwekea shinikizo nchi hadi ikachafuka kimataifa. Mmoja tu.
 
Activist wanalipwa trna pesa nzuri tu,kazi yao ni kuchafua serikali then wo mtonyo unasoma.

hata ikiingia CHADEMA madarakani bado watasema.
HAHAHA activist analipwa sio DO YOU UNDERSTAND THE WESTERN LANGUAGE FOOL??
SHE'S A BLOODY JOURNALIST AND A HELL OF AN ACTIVIST
BUT YOU ARE A NATURAL BLOODCLAT....
FOOLS ARE GETTING DESPARATE AND SCARED OF HER FOR WHAT SARUNGI DOING FOR THE ONES SEEKING RIGHTS TO POLITICS AND HUMAN RIGHTS IN THIS DEVELOPING COUNTRY WHERE CCM THE LONGEST AND CONTIOUNSLY CORRUPTED POLITICAL PARTY RULLING WITHOUT ANY MORALS.
 
Kitu kimoja lazima tuelewe wazungu wako smart sana na ndio maana walitutawala, serikali ya bongo ikiwatonya tu kua huyo Maria Sarungi hizo kelele zote ni ma unga ya mumewe na yupo ndani! Basi watakunywa nae chai vizuri na mvinyo na kumpa sifa kemkem ila akiwapa mgongo tu watamng'ong'a. Hao ndio wazungu walivyo, hawadanganywi kirahisi rahisi. Eti wapoteze uhusiano wao mzuri na bongo kwa ajili ya huyu mke ya muuza unga. Kumbukeni yaliomtokea Jamal Kashogi alivyonyongelewa mbali na serikali ya MBS na bado US imewakumbatia wasaud.
 
Vitisho vya wajinga kama haviitishi Tanzania kamwe tafuteni njia nyingine ya kuingia madarakani
Njia ipi wakati wananchi wanataka tume huru yenye commissioners na wajumbe wasiokuwa wateule wa mwenyekiti wa ccm? Mbona mbogamboga mnatumia vyombo vya ulinzi na usalama kubaki madarakani kwa wizi wa kura? No Reforms No Election#Amandla!
 
HAHAHA AKILINZA MASKINI BANA IN SHORT
HUYO AMETOKA KWENYE DAMU YA SARUNGI ALIPOFIKA NDIO ALIPOTAKIWA AFIKE...JE WEWE UMTOKEA KWENYE DAMU YA NANI? NA HAPO ULIPO FIKA NDIPO ULIPOPASWA?
Anaishi kwa pesa za mashirika ya nje yanayofadhili vurugu afrika, Ford foundation,mzee sarungi pesa za uwaziri na udaktari zilishaisha,mimi natoka ukoo wa chifu fundikira,na sihitaji pesa kwa kulifedhehesha taifa langu,yeye anaweza kwenda ishi hungary kwa mamaake,mimi sina kwetu zaidi ya tz
 
Yule ndugu yenu ametoka jela?
 

wewe inaelekea hata dunia inavyoenda hauelewi, unafikiri yeye hajajipanga na huko ulaya kajipeleka? basi mwambie na muro au sijui msukuma akamjibie huko huko ulaya, unamletea vitisho wakati anaishi hapo kenya na kila mtu anajua? siajabu mko uchi klk mnavyodhania …
 
Point yangu ni kwamba hayo alioongea hayana effects yoyote kwa nchi, wamemsikiliza na yameishia hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…