Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
- Thread starter
- #21
Siku wakienda waangalie isije ikawa kama ya Ramaphosa unasutwa kama mwajuma.
Bora apewe za uso ili apunguze safari, ili tupunguze mzigo kwa walipa kodi
Siku wakienda waangalie isije ikawa kama ya Ramaphosa unasutwa kama mwajuma.
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.
Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.
Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.
Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.
Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.
Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.
Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi
View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu
Haya maigizo na ulaghai mbona hata yeye mwenyewe alisha yatupilia mbali siku nyingi!Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy
Huyu hata akibaki kwenye nafasi anayolazimisha kwa nguvu, safari zake zitakuwa ni za China na Uarabuni tu, basi; na humu humu Afrika kwa madikteta wenzake.Bora apewe za uso ili apunguze safari, ili tupunguze mzigo kwa walipa kodi
Unaweza kumfundisha utekaji wa watu na kuwapoteza?Binti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
UraisBinti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
EEnHEE, Mkuu 'Missile', kuna nyakati huwa una majibu ya kufikirisha sana. Laiti kama watu wangekuwa na wakati wa ku'reflect' na kutafakari uzito wa maneno kama hayo uliyo yatumia hapo.Anapenda haki tu.
Kuna watu wameumbwa hivyo
Those FOUR WORLDS carry the hope of the entire nation.No Reforms, No Election 2025
Anataka haki?na utawala bora sio utawala wa kifamilia wa kulindana kwa damuBinti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.
Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.
Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.
Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.
Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.
Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.
Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi
View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu
Anataka mjukuu wako awe na maisha mazuriBinti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Anataka watanzania watendewe haki, wakimkosoa Rais, wasitekwe na kuuawa na kikundi cha kishetani cha Rais, wala watawala wasipore mamlaka ya wananchi ya kuwachagua viongozi wanaowataka, kama wanavyofanya sasa.Binti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Hebu tuwekeeni ufupisho hapa wa alivyomtandika mtu huko Oslo sijui stockholm.Umeona shangazi alivyotandika mtu huko mkutanoni?
Yaani kachapa, kachapa kwelikweli
Ungekuwa na akili timamu ungetoa maoni yako kwa kuzingatia content ya mada.Vitisho vya wajinga kama haviitishi Tanzania kamwe tafuteni njia nyingine ya kuingia madarakani