PreGE2025 Serikali ya Samia yazidi kuanikwa dunia nzima-Maria Sarungi atoa presentation kali kuieleza dunia yanayojiri Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi na shanga sana hawa wanaotetea human rights, sana ni wanafiki tu na wala sisemi kama hawako sahihi ila ni wanafiki tu, mbona Gaza yanafanyika zaidi ya haya na hawasemi, nchi ngapi za Magharibi hazina iyo democracy mbona hawasemi
Amezungumzia, mbona mkuu.

Kasema ^It's not just about Tanzania. Terrorism is all over the world.^

Unadhani amemaanisha nini hapo kama siyo Gaza, DRC, Ukreni, Sudan, Haiti, nk.?

Usisahau kwamba yeye yuko hapoo kwa ajili ya Tanzania kwanza.

Na wala hawezi kusema kila kitu ndani ya kamuda hako kiduchu.

Mbona sasa???
 
Mimi na shanga sana hawa wanaotetea human rights, sana ni wanafiki tu na wala sisemi kama hawako sahihi ila ni wanafiki tu, mbona Gaza yanafanyika zaidi ya haya na hawasemi, nchi ngapi za Magharibi hazina iyo democracy mbona hawasemi
Yeye ni wa gaza? Anwongelea nchi yake tz, gaza wana watu wao wanaongelea pia. Kila mtu. apambane na matatizo yake
 
Amezungumzia, mbona mkuu.

Kasema ^It's not just about Tanzania. Terrorism is all over the world.^

Unadhani amemaanisha nini hapo kama siyo Gaza, DRC, Ukreni, Sudan, Haiti, nk.?

Usisahau kwamba yeye yuko hapoo kwa ajili ya Tanzania kwanza.

Mbona???
Jasmon , tatizo la makada wengi hawafahamu lugha, wana comment based on hisia zao kuhusu muhusika
 
Huyo malaya nani atamzingati, mtu anaishi km nguchiro watakuwa wanamshangaa tu. Halafu nyie wapumbavu huko nje hakuna wajomba zenu. Hao wazungu km wanaipenda Afrika wakasaidie kule Sudan na DRC.
Lakini vipi nyinyi huko nje hamwendi? Kuna miradi mingi inaendeshwa kwa hela za hao wazungu.
 
Back
Top Bottom