PreGE2025 Serikali ya Samia yazidi kuanikwa dunia nzima-Maria Sarungi atoa presentation kali kuieleza dunia yanayojiri Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nyie binadamu mnatema big G Kwa karanga za kuonja?

Yaani mpo tayari kuitoa sadaka nchi ku fullfil your ego?

Acheni hiyo michezo ya kuchafua nchi yetu, turuduni Kwa pamoja kukataa wote ambao wanafanya ndivyo sivyo
 
Mimi na shanga sana hawa wanaotetea human rights, sana ni wanafiki tu na wala sisemi kama hawako sahihi ila ni wanafiki tu, mbona Gaza yanafanyika zaidi ya haya na hawasemi, nchi ngapi za Magharibi hazina iyo democracy mbona hawasemi
maria sarungi ni wa gaza siyo
 
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.

Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.

Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.

Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.

Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.

Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.

Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.

Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi

View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu

Maria ni noma amepasuka ile mbaya, hii big brain na nyingine nyingi zilizo nje ya utawala nchi inazipoteza sababu ya uongozi wa ovyo na siasa uchwara zisizo lenga ustawi wa jamii. Hongera sana Maria Sarungi kwa speech nzuri
 
Nimemsikiliza na kumwangalia kwa makini, kumbe taifa lina watu wazuri kiasi hiki wakati kina jerry mulo, msukuma na wale vilaza kule bungeni wanatamba...

Ukiwasikiliza wanasiasa wetu wengi walivyo mbumbumbu unaweza dhani ndivyo watanzania wote tulivyo kiakili kumbe watu makini wapo nje ya mfumo wa utawala wetu.

Hongera sana Maria
Ndio wenye upeo mzuri kifikra wengi wao awapati nafasi wanao pata nafasi ndio kama ao akina msukuma,tarimba n.k
 
Nimemsikiliza na kumwangalia kwa makini, kumbe taifa lina watu wazuri kiasi hiki wakati kina jerry mulo, msukuma na wale vilaza kule bungeni wanatamba...

Ukiwasikiliza wanasiasa wetu wengi walivyo mbumbumbu unaweza dhani ndivyo watanzania wote tulivyo kiakili kumbe watu makini wapo nje ya mfumo wa utawala wetu.

Hongera sana Maria
Huwa nawaambia watu mara kwa mara, nchi kwa mfumo wake mbovu, kuna watu sahihi sana walio nje ya mfumo na kuna watu ******* mnooo yan wapumbavu kupindukia ndio wamejaa kwenye nafasi nyeti za uongozi na vyeo, kuanzia serikalin mpaka sekta binafsi. Unatazamaa bunge ,unonaona kabisa 95% mi mafala flan ambao kiukwel hawana sifa hata 1 ya kuwa mahala patakatifu panapotunga sheria za nchi hii. Sifa kuu yao ni 1 na inawafanana woote, UJINGA ambao uko sugad coated n KUONGEA ONGEA SANAAAAA
 
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.

Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.

Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.

Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.

Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.

Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.

Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.

Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi

View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu

Aisee sio mchezo
 
Binti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Pana kitu inaitwa nature instinct yaani nguvu ya ndani Pana watu wapo hivyo wapo tayari kufa kutetea wengine.
We ukiogopa kifo kwao kifo ni njia au daraja kuelekea dimensions ingine tu.
Mfano mtu kama T Lisu Kwan ccm wanashindwa kumpa bilioni zozote atakazo ili asiwasumbue mezani.
Hawa watu kwao pesa fedha utajiri havina thamani thamani kwao ni kuona haki inatendeka.
Ndo kina Mandela,Che Guevara, Lumumba,Traore yaani huwezi wabadailisha.
Wanaitwa God messenger wapo dunia nzima hawanunuliki na pesa
 
Back
Top Bottom