Stunnaman008
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 458
- 530
Basi ondoa neno human rightsYeye ni wa gaza? Anwongelea nchi yake tz, gaza wana watu wao wanaongelea pia. Kila mtu. apambane na matatizo yake
Basi ondoa neno human rightsYeye ni wa gaza? Anwongelea nchi yake tz, gaza wana watu wao wanaongelea pia. Kila mtu. apambane na matatizo yake
Nimekuelewa mkuu ila la kwetu na la Gaz lipi kubwaAmezungumzia, mbona mkuu.
Kasema ^It's not just about Tanzania. Terrorism is all over the world.^
Unadhani amemaanisha nini hapo kama siyo Gaza, DRC, Ukreni, Sudan, Haiti, nk.?
Usisahau kwamba yeye yuko hapoo kwa ajili ya Tanzania kwanza.
Na wala hawezi kusema kila kitu ndani ya kamuda hako kiduchu.
Mbona sasa???
Umenena mkuuLkn pia si sahihi tukaishi kama wanyama, kutekana na kupotezana wakti ipo mifumo tuliyokubaliana kuadhibiana na kutendeana haki, ni kukosa ustaarabu.
Tumpe nafasi gani serikalini Ili tuone haki inavyotendwa!?
Hawez ondoa hiyo terms maana human rights ni universal. kila nchi ina human rightsBasi ondoa neno human rights
Hayo yanayopigiwa kelele yangekuwa hayafanywi basi hoja yako ya Uzanzibar ingekuwa na mashikoHili ndio kusudio lenu hamumpendi Mama kutokana ni Mzanzibar hakuna jengine
Hakuna mechi hapoMechi lazima ichezwe nje na ndani ya uwanja. Hapo ndo ushindi utapatikana.
Hakuna iccICC haiepukiki na Nyundo tani kumi ya EU tsyari mlangoni Nduli AJIPANGE!!!
Halafu baada ya hapo hizi akili zingepeperukia kusikojulikana. Angekuwa kama Mwijaku flani hiviKwa brains hizi, huyu binti laiti angekuwa chawa angekuwa na cheo kikubwa humo ndani ya CCM. Hata ubunge na uwaziri angepata.
Tatizo lako wewe mjinga hauna bando ndiyo maana haujaelewaBinti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Nakupa majibu 5:Nimekuelewa mkuu ila la kwetu na la Gaz lipi kubwa
Da !!Binti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Mkuu, unamiss pwenti muhimu sana.mimi sikubalian na yanayofanywa na serikal ila western hawanatena credibility ya kuwaonyeshea mikuno mataifa mengine mfano hapo ujeruman ufarance na usa wanawapiga watu kwa kile kinachoitwa antisemite kuna maprofessor wamefukuzwa wwnafunz wamefukuzwa kwa maandamano ya haki kabisa na amna atakayewachukulia serous kwa swala la haki za binadam
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.
Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.
Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.
Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.
Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.
Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.
Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi
View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu