PreGE2025 Serikali ya Samia yazidi kuanikwa dunia nzima-Maria Sarungi atoa presentation kali kuieleza dunia yanayojiri Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.

Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.

Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.

Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.

Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.

Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.

Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.

Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi

View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu

njinjo, Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wale wengine, mkuje mara moja!
 
Hawa wapiga kelele wapo dunia nzima walio na akili huwa hawashughuliki nao.
Angalia mtu kama mdude hana panga Wala kisu Wala uwezo wa kushawishi hata mtaa tu waungane wapindue serikali.
Wanamteka wanamuua.
Halafu wangesoma hata human saikoloji basi WAJUE hata kanuni za asili zinavyofanya KAZI au wajifunze hata kwa waliopita.
Pana vitu huwezi kuvibadilisha hata ufanyenye alishindwa Farao utaweza wewe asili huwezi ibadilisha.
Hii njia ya kuwasilence watu kwa ubakaji utekaji yetu macho huwezi wazuia nyuki kwa kuwaua
 
Maria ameongea vizuri sana ila kitu kimoja alichokosea mno ni kuongea kwa sauti (voice, tone) ya hasira, chuki, ghadhabu, kisasi, mashtaka na dukuduku, hiyo staili hufanya anaekusikiliza hasa wazungu kuelewa kwamba you have an inside agenda beside giving out information about what has happened. She needs to learn public speaking skills and become the best politician in the future. I believe she can make a better person to fight the system from inside and not from outside, huko nje anapoteza nguvu nyingi mno and nobody listens, she needs to be part of the government now so that Tanzania can benefit from her courage, confidence, knowledge and patriotism.

My take: next time someone should teach Maria how to speak in big conferences without attaching her emotions and grievances to the tone, the best teacher for her for me is Mbowe, yaani unaweza kumkaba Mbowe shingo na ataongea kwa staha points kali na utamuachia tu.

Huyu Maria ni hazina ya taifa , japo anatakiwa kuanza haraka masomo ya anger management. Maria Sasa ameiva na anafaa kuingia ndani akapambane na ufisadi wa pesa za kujenga madaraja na shule, huyu inafaa aanze na ukuu wa wilaya kwanza, kuna mambo huwezi kujua kwanini yapo hivyo hadi uingie ndani, mfano unaweza kuona baba yako hapigi pamba kumbe hela yake ya kupiga pamba ndo wewe unakula na kulipiwa ada,

Mama Sa100 naomba huyu Binti umpe japo ukuu wa wilaya au mwenyekiti wa kamati mpya ya kuhakikisha ujenzi wa reli ya SGR unakwenda kwa kasi na kumalizika kabla ya muda maana uchumi utapaa tukibeba mizigo ya nchi jirani na kubeba abiria na tozo zishuke tumechoka na reli ikifika Mwanza na Kigoma tutaanza utalii mpya wa kupokea Waafrika wanaokuja tz kushangaa SGR ndefu zaidi Africa , washamba watakuja kibao kwa makundi kila siku!! Mama Samia huu mradi wa SGR ndio legacy yako pekee tafadhali naomba mengine achana nayo watafanya wengine.

Binti akiwa Mkuu wa wilaya akapambane huko na tamisemi huku akikua taratibu kisiasa, for now she is unused golden asset for the country. Ila Maria pia nae atulie basi akubali kusaidia nchi akiwa ndani ya system, apunguze ukali na misimamo, ukiwa huko nje ya system huwezi kujua moto ulioko ndani na mapungufu yaliyoko.
 
Tumpe nafasi gani serikalini Ili tuone haki inavyotendwa!?
Sitopenda kutumia lugha kali au ya kukwaza ili nikujibu...

Sio kila mpenda haki na mkemea maovu anatamani kukaa serikalini, Hapana ila tuu kuonyesha wapi kwenye mapungufu pafanyiwe kazi.

Tukisema wote tunaochukizwa na uvunjifu wa hai tukae serikalini Patatosha?

NB: SIO KILA MWANAHARAKATI NI CHADEMA AU ANAICHUKIA SERIKALI BALI NI MZALENDO NA ANAIPENDA NCHI YAKE.
 
Gentleman,
mtu mwenye jukumu la kuwatumikia wananchi na waTanzania wote hawezi kubabaika na na chuki binafsi za anaetangatanga na hadaa za kujipatia kipato kwa uzushi na uongo 🐒

Ashauriwe kupima mapigo ya moyo kwa kweli 🤣
 
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.

Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.

Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.

Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.

Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.

Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.

Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.

Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi

View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu

Tuwekeeni na kiswahili chake na sisi wa huku vijijini tuelewe,maana hapo nomeambulia karibu Tanzania...
 
Aiseee bonge la speech!

Maria, mimi kama mwanamke najivunia wewe sana.
Asante
 
Maria ameongea vizuri sana ila kitu kimoja alichokosea mno ni kuongea kwa sauti (voice, tone) ya hasira, chuki, ghadhabu, kisasi, mashtaka na dukuduku, hiyo staili hufanya anaekusikiliza hasa wazungu kuelewa kwamba you have an inside agenda beside giving out information about what has happened. She needs to learn public speaking skills and become the best politician in the future. I believe she can make a better person to fight the system from inside and not from outside, huko nje anapoteza nguvu nyingi mno and nobody listens, she needs to be part of the government now so that Tanzania can benefit from her courage, confidence, knowledge and patriotism.

My take: next time someone should teach Maria how to speak in big conferences without attaching her emotions and grievances to the tone, the best teacher for her for me is Mbowe, yaani unaweza kumkaba Mbowe shingo na ataongea kwa staha points kali na utamuachia tu.

Huyu Maria ni hazina ya taifa , japo anatakiwa kuanza haraka masomo ya anger management. Maria Sasa ameiva na anafaa kuingia ndani akapambane na ufisadi wa pesa za kujenga madaraja na shule, huyu inafaa aanze na ukuu wa wilaya kwanza, kuna mambo huwezi kujua kwanini yapo hivyo hadi uingie ndani, mfano unaweza kuona baba yako hapigi pamba kumbe hela yake ya kupiga pamba ndo wewe unakula na kulipiwa ada,

Mama Sa100 naomba huyu Binti umpe japo ukuu wa wilaya au mwenyekiti wa kamati mpya ya kuhakikisha ujenzi wa reli ya SGR unakwenda kwa kasi na kumalizika maana uchumi utapaa tukibeba mizigo ya nchi jirani na kubeba abiria na tutaanza utalii mpya wa kupokea Waafrika wanaokuja tz kushangaa SGR ndefu zaidi Africa , washamba watakuja kibao!! Mama Samia huu mradi wa SGR ndio legacy yako tafadhali naomba mengine achana nayo watafanya wengine.

Binti akiwa Mkuu wa wilaya akapambane huko na tamisemi huku akikua taratibu kisiasa, for now she is unused golden asset for the country. Ila Maria pia nae atulie basi akubali kusaidia nchi akiwa ndani ya system, apunguze ukali na misimamo, ukiwa huko nje ya system huwezi kujua moto ulioko ndani na mapungufu yaliyoko.

Maria hakwenda pale kulegeza sauti, Sauti anailegeza kwa mumewe tu.

Kaenda pale kuihabarisha dunia juu ya utekaji na uuaji unaofanyika bongo
 
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.

Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.

Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.

Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.

Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.

Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.

Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.

Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi

View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu

Huyo dada, Mwangi, Mama Karua , yule mwandishi aliyekimbia wakati JPM anaingia ikulu, wote hao lao ni moja.

Huu ni msimu wao wa kuchuma pesa za wafadhili, hii mikutano ni mojawapo tu ya namna za upataji wa pesa za kina Soros na wengine wenye harufu za kibeberu.
 
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.

Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.

Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.

Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.

Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.

Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.

Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.

Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi

View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu

Duuh mmmhh!
 
Wakenya Wamekinukisha sana kwa sababu ya Lugha ya kingereza inafikika duniani kote.

Mambo mengi yalikua yanaishia humu ndani kwa sababu ya lugha ya kiswahili mpaka wapatikane wakalimani ,

Bado Bunge linatakiwa litafsiriwe kwa lugha ya kingereza katika clips zake ili dunia ione jinsi nchi hii kubwa inavyopelekwa kuzimu na wazanibar Wachache wakishirikiana na ,agaidi wachache wanaotoa fedha nyingi toka Oman kuua watu na kuteka watu.
 
Nyerere alisema kiswahili ni lugha ya dunia
 
Huyo malaya nani atamzingati, mtu anaishi km nguchiro watakuwa wanamshangaa tu. Halafu nyie wapumbavu huko nje hakuna wajomba zenu. Hao wazungu km wanaipenda Afrika wakasaidie kule Sudan na DRC.
Bora ungenyamaza Mkuu!
 
Back
Top Bottom