Mfumo wetu unataka watu vilaza hili iwe easily to be controlledNimemsikiliza na kumwangalia kwa makini, kumbe taifa lina watu wazuri kiasi hiki wakati kina jerry mulo, msukuma na wale vilaza kule bungeni wanatamba...
Ukiwasikiliza wanasiasa wetu wengi walivyo mbumbumbu unaweza dhani ndivyo watanzania wote tulivyo kiakili kumbe watu makini wapo nje ya mfumo wa utawala wetu.
Hongera sana Maria
Nimekumbuka ni mtoto wa Fundikira ndio aliuwawa na wale JKT.Yupi?..jela ipi?
Mkuu, umethibitisha nukta ya jamaa kwamba hakika huelewi dunia inavyoenda.Point yangu ni kwamba hayo alioongea hayana effects yoyote kwa nchi, wamemsikiliza na yameishia hapo hapo.
Mashirika kama Freedom House, Amnesty International, na Human Rights Watch watapata hizi habari lazima.. hii inaweza kupelekea kuchafua taswira ya Tanzania kimataifa, hasa ikiwa hizo tuhuma hazijakanushwa kwa hoja zenye mashiko pia kuathiri uwekezaji wa nje kutoka kwa nchi zinazothamini demokrasia na haki.
Hivi huelewi kwamba kutokuwepo kwa utulivu wa kisiasa katika nchi yoyote ni moja ya sababu kuu zinazowafanya wawekezaji kusita kuwekeza. Hii ni kanuni inayokubalika katika uchumi wa kimataifa... yaani wewe leo ni bilionea unaweza kwenda kufungua kiwanda cha gharama DRC, Somalia ama Sudan?
Hata kama nchi ina rasilimali nyingi, wawekezaji watakwepa au watawekeza kwa masharti magumu, ambayo hayawanufaishi raia wa kawaida.
Na jinsi tulivyo omba omba hii inakwenda kuwa shida, hutoona matokeo haraka lakini utakuja kukiri...
Haki, haki, haki, haki, haki, haki, haaaaaakiBinti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Point yangu ni kwamba hayo alioongea hayana effects yoyote kwa nchi, wamemsikiliza na yameishia hapo hapo.
Wewe utofauti wako na hawa kenge waliojitokeza kumjibu Gwajima ni kwamba wewe unapenda sana kuvaa uhusika wa kike ingali kuwa wote hamnazo.Unafikiri bungeni unaenda tu!?
Kwahiyo mtu akishaongea hivyo kwako anafaa kua rais.Unatakiwa ujue kuongea ni rahisi sana kuliko kuongoza.Tena kuongea kwa kushutumu ni rahisi zaidi kuliko kutenda.Huyu sasa ndio angeweza kuwa raisi wa Tanzania sio kifutu muuaji.
Tunaangalia uwezo wa mtuKwahiyo mtu akishaongea hivyo kwako anafaa kua rais.Unatakiwa ujue kuongea ni rahisi sana kuliko kuongoza.Tena kuongea kwa kushutumu ni rahisi zaidi kuliko kutenda.
Ni bora isee Tanzania si salamaAisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi kupuuzwapuuzwa.
Shangazi Maria leo amewasimamisha wafadhili na wapenda haki duniani kwa kutoa presentation moja kali sana.
Aisee usiogope mwenye msuli mnene bali ogopa mwenye akili kubwa.
Shangazi kapiga, katandika kwelikweli. Kapukutisha sifa na credentials zote za wapenda vyeo. Sijui Bi mkubwa akienda huko nje atajisikiaje maana wenyeji watakuwa wanamg'ong'a pindi akizingumzia 4R au democracy. Maana alichokifanya Maria huko ni counter attack moja kali sana kwenye credentials za mtu fulani.
Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa uone shangazi alivyokinukisha kwa medani za kifield marshall.
Tumeshawaambia hawa wakubwa hapa nchini, kuwa bila kuleta mabadiliko ya msingi hapa nchini ni kujitoa ufahamu kama Ceasescu wa Romania, alisubiri wanaompinga wawe wengi zaidi, kilichotokea baada ya hapo the rest is history.
Tunataka mabadiliko nchini, la sivyo hii nchi itastuck, mbele haitokwenda, nyuma haitorudi
View: https://youtu.be/8lNHdfF15tk?si=eP21aiSnKrIYNrYu
Unataka watu waendelee kutekwa na kuuawa?Binti anatafuta nini!?..yaani lengo lake nini!?..aseme anataka nafasi gani serikalini apewe Ili tujifunze akitakacho
Katekwa nani?..mi naona waliopotea wakipatikana wakiwa wafu kwa waganga wa kienyejiUnataka watu waendelee kutekwa na kuuawa?
Aliyeandika subtitles alisoma shule gani?Tunaangalia uwezo wa mtu
View attachment 3347694
Siku akitekwa mumeo ndiyo akili zitakukaa sawa. Jinga snKatekwa nani?..mi naona waliopotea wakipatikana wakiwa wafu kwa waganga wa kienyeji
Katekwa nani?..kule dom mganga wa kienyeji na mtandao wake, singida sheikh alikua anakwepa deni, mlandizi mganga wa kienyejiSiku akitekwa mumeo ndiyo akili zitakukaa sawa. Jinga sn
Mwendawazimu mkubwa, ukiendelea nitakushughulikia vibaya snKatekwa nani?..kule dom mganga wa kienyeji na mtandao wake, singida sheikh alikua anakwepa deni, mlandizi mganga wa kienyeji
PsychoMwendawazimu mkubwa, ukiendelea nitakushughulikia vibaya sn