#COVID19 Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

hii comment naichongea frame naiweka sebuleni waione mpaka vitukuu wangu.😆
 
Unabwabwaja tu na kutupigia kelele.

Hayo uliyotaja Yana uhusiano gani na Chanjo ya corona.


Ndio maana huwa mnafeli mitihani.
 
Heti[emoji3582]
Eti[emoji3581]


Sijuhi[emoji3582]
Sijui[emoji3581]


Kama lugha yako ya kiswahili inakushinda utaweza kunyambua masuala mazito kama haya. Rudi shule kajifunze lugha yako.
 
Unabwabwaja tu na kutupigia kelele.

Hayo uliyotaja Yana uhusiano gani na Chanjo ya corona.


Ndio maana huwa mnafeli mitihani.
Yanahusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu wa saudia.

Hawana uislam kitu..

Watalazimishaje mambo ya chanjo ambayo bado yamekuwa ni sintomfahamu ktk baadhi ya inchi ..

Kama unaona nakuumiza vaa chupi yako nenda..
Warembo wako wengi..
 
Heti[emoji3582]
Eti[emoji3581]


Sijuhi[emoji3582]
Sijui[emoji3581]


Kama lugha yako ya kiswahili inakushinda utaweza kunyambua masuala mazito kama haya. Rudi shule kajifunze lugha yako.
Ww umeandika vizuri lugha ya Kiswahili
Umeshauri kitu gani hapa
 
Isijekuwa pamoja na sharti la chanjo, watakuwa na kile kipimo maarufu cha kupima virusi vinavyosababisha huo ugonjwa kilichogunduliwa hivi karibuni kule China! Hii chanjo Kuna watu watakuwa na vyeti bandia tu. Shurti wapimwe!
 
Hahaha mkuu mpaka nimehisi we ndo Magufuli mwenyewe nimecheka Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

masheik wanapiga makofi pwaaa pwaaaa pwaaaaaaaaaaaaa
 
Dah.. kwa hiyo hii issue ya chanjo sasa inageuka kuwa suala la dini. Jiwe kazi anayo🙄
 
Yanahusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu wa saudia.

Hawana uislam kitu..

Watalazimishaje mambo ya chanjo ambayo bado yamekuwa ni sintomfahamu ktk baadhi ya inchi ..

Kama unaona nakuumiza vaa chupi yako nenda..
Warembo wako wengi..
Saudi ni nchi kama nchi zingine wewe poyoyo Ina taratibu na miongozo yake
 
... kwa mtazamo wako wa kidini uko sahihi ila Mungu hana dini.
Bahati mbaya hakuna maelezo ya aina moja kuzungumzia Mungu,maelezo kuhusu Mungu hutofautiana sasa kama Mungu hana dini basi kila kinachoelezwa kuhusu Mungu kinakuwa sahihi.
 
Hii taarifa ya kuihakiki, ngoja niingie chimbo nikautafute ukweli juu ya hii taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…