#COVID19 Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

#COVID19 Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

Unaposema Shia sio waislamu una maana gani mkuu??...
Naposema wewe siyo mimi na mimi siyo wewe, unaelewa nini ?

Naamisha siyo Waislamu, yaani wao na Uislamu ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
JPM akiipata hiyo

" Nimesikia ndugu zangu waislamu mmewekewa masharti kwamba mwaka huu hamuwezi kwenda kuhiji mpk uwe umechanjwa, Hao ndiyo viongozi wetu wa kiroho tulio nao leo yaani wanawazuia watu kutekeleza nguzo yao ya imani kisa ugonjwa, nilikuwa nachombeza na Mufti hapa kwani hatuwezi kujenga hiyo sehemu ya kuhiji kama ile ya Makka kule kisarawe kwa Mh Jafo ili na wao huko waje kuhiji hapa Tanzania kwa watani zangu wazaramo na fedha hizo zipo maana mambo mengine aah basi tu nisiendelee sana maana ni mambo ya imani ila ni mambo ya ajabu, ila wakiendelea kuwazuia leteni pendekezo tutajenga nasema tutajenga"
Umenichekesha sana
 
Hii ni kwa mujibu wa tweet ya Zitto Kabwe.

Ameichagiza BAKWATA kuishikiniza serekali ya awamu ya 5 iruhusu chanjo kwa Watanzania ili waweze kutekeleza hii nguzo muhimu sana kwa Waislamu.

Hili ni la kwako mzee wetu Mufti Zuberi.....kabiliana na swahiba wako asiyetaka chanjo ili Mungu aendelee kukupa kibali cha kutumika katika nafasi nyeti uliyo nayo. Ama sivyo utakuwa umeuweka rehani utumishi wako ndani ya dini ya Mungu.

Sio kwamba sehemu ya Mungu kirusi hakai? Au hivi ni vitega uchumi tu?
 
Mahojaji wote lazima kuchanja chanjo ya covid 19 kabla kuruhusiwa Saudi Arabia
Saudi Arabia: Vaccine mandatory for Hajj

Saudi Arabia's health ministry has ruled that only people who have been vaccinated will be allowed to attend the Hajj this year, Saudi newspaper Okaz reported.

"The Covid-19 vaccine is mandatory for those willing to come to the Hajj and will be one of the main conditions (for receiving a permit to come)," the report said, citing a circular signed by the health minister.
Hayo ndo matakwa ya wakubwa nyuma ya The New World Order.

Sasa mtaanza kuona kuwa COVID-19 imetengenezwa. Baadaye hata kusafiri utahitaji Passport ya Chanjo ya COVID-19.
Tuwe macho na tusubirie. Illuminati wamo Kazini.
 
Hawa wanasiasa wnatuchanganya sana baadhi ya nchi walisitisha kama Africa kusini sababu ya utendaji wake kazi haukuwa mzur
walisitisha ya kampuni moja wakuchukua ya kampuni nyingine
 
Hayo ndo matakwa ya wakubwa nyuma ya The New World Order.
Sasa mtaanza kuona kuwa COVID-19 imetengenezwa. Baadaye hata kusafiri utahitaji Passport ya Chanjo ya COVID-19.
Tuwe macho na tusubirie. Illuminati wamo Kazini.
hizi conspiracy theory mnatoa wapi?
 
Mwanamayu ndiyo ujue kuwa dini ni miradi ya watu kupatia pesa na kuwatawala wengine!
miye nilitegemea vatican,jerusalem na makka zisiguswe na korona kwani huko ndiko chimbuko la ukristo au uislamu!
 
Naposema wewe siyo mimi na mimi siyo wewe, unaelewa nini ?

Naamisha siyo Waislamu, yaani wao na Uislamu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Natak ueleze sababu zinazokufanya useme sio waislamu?..Unaposema A sio B ni vuzuri utoe na sababu
 
Maswali niliyo uliza hayafiki hata 30 wala 20. Jibu utakalo ona jepesi kwako na uwe na majibu sahihi.

Nani amefatikia habari za vitabuni, na hiki lina nafasi gani hapa ? Kuwepo Damamm siyo hoja, hoja ni kujibu maswali na kuandika ukweli kwa hija na elimu.

Hizi zote si hoja, hija ni weee ujibu maswali niliyo kuuliza kwa uadilifu na insafu. Hizi dibaji hazina nafasi hapa, naona unapoteza kuandika vitu visivyo na maana.

Tuwekee jambo moja au hata mawili ambayo alikuwa anakosoa Kashogi kwa mujibu wa Uislamu.

Kisja utuambie ni mafunzo gani ya Uislamu yanaruhusu ukosoaji wa namna ile alio kuwa anaufanya Kashogi ?

Hui siyo Uislamu na hili linasemwa sana na Wanazuoni wana likemea, na ndiyo maana tunakubali ya kuwa madhaifu yapo, ila nyie mnaandika vitu kwa dhulma na uadui, na kuzua yaani hamuongelei mambo kielimu na uadilifu.Ndiyo maana nahitimisha kwa kusema hakuna nchi inayoizidi Saudia kwa kusimamia sheria za Uislamu, hizo nchi nyingine hayo mambo hakuna ? Sasa kwanini mnalingaisha kwa mambo fulani na mengine mnayaacha ?

Swali la msingi ni je amemkumbatia katika mambo ganina je uislamu unasemaje juu ya hilo ?

Pili,ni kosa la kielimu kuilinganisha Saudia na Irani, Irani si Taifa la Kiislamu, na hawana tofauti na Mayahudi na wa Marakani, na katika nchi ambayo Makafiri huitumia kuwadhuru Waislamu basi ni Irani, hizi nyingine ni filamu tu mnachezewa.

Haoa unathibitisha ya kuwa ulichokiandika hao awali huna elimu nacho. Sasa huu unao ufanya wewe ndiyo uhuni.

Ni usaliti na utuambie Kashogi alikuwa amekumbatiwa na kina nani na je usulubu ule ndiyo mafunzo ya Uislamu ? Huelewi na wapi na kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?

Au unataka kutuambia Uislamu haukufundisha namna ya kuayaendea haya mambo ? Mko wapi na elimu vijana ?

Soma katika historia ya Uislamu utaona.

Sada hapa unauzungumzia undugu kati ya Muislamu na Shia au ? Hakuna undugu kati ya Uislamu na Ukafiri bali kuna muamala tu wa kuishi kwa mipaka, na udui wa Shia kwa Waislamu ni mkubwa sana, soma Historia ya Mashia na uone waichokifanya kwa Waislamu katika Dola ya Swafawiya. Kila kitu kimeandikwa.

Saudia anafanya miamala na Wamarekani katika mambo ya kimiamala na kibiashara.

Huu ujinga mwingine. Jihadi ni ibada ikikidhi masharti na nguzo Jihadi inapiganwa. Miongoni mwa Jihadi zilizo wahi kupigwana ni vita vya Afghanistani ila wapiganaji ndiyo walikuwa na shida, kadhalika vita vya wamogoli karne ya 13 lakini tatizo waislamu walikuwa wanaingia na mahirizi na ucjafu mwingine, wakawa wanashindwa.

Hili huna ushahidi. Unaleta habari za vijiweni.

Swali wanao uliwa ni Waislamu au makafiri ? Hili swali mboma hulijibu ? Au wewe ni Shia nini ? Maana naona huna hoja unalalama tu. Mahafuko kaskazini mwa Yemeni yameanza miaka ya 2011,2012,2014, 2015 Saudia wakaanza kuingilia kati, mbona kipindi hicho hote mlikaa kimya ? Waislamu wanauliwa ila alipoingia Saudia kuwatetea Waislamu mnapayuka payuka...?

Hili lina uhusiano gani na tunachokijadili hapa ?

Tuwekee ushahidi wa haya. Vijana msiwe mnatuletea habari za vijiweni, tena mkiwa hamna ushahidi ndiyo mkae nazo wenyewe huko.

Kazi yangu nimemaliza.
Mkuu uandishi wako unahitaji weledi wa hali ya juu kukuelewa.

Ungeuliza kwa pamoja nikakujibu kwa pamoja..
OK let's try.

-- uislam ni dini ambayo ina sheria zake.

Na umesema kwamba saudia ndy inchi pekee ambayo imesimamia sheria za kiislam.

Jibu hoja zangu.
-- mwanamke haruhusiwi kuonyesha maungo yake hadharani.

*Je TV za saudia zinavyoonyesha wanawake kukata mauno tena vitovu nje ndy uislam ?

-- dini inaeleza wazi kwamba adui wa muislam si yule asiye muislam.
-- adui ya muislam ni yule anayepinga uislam.

Je kitendo cha kuwakakumbatia wamarekani na kusaliti waislam wenzio ndy uislam.

*Unazungumzia mambo ya mashia hivi mtume Muhamad(S.A.W)alituachia dhehebu gani?

Haya mambo ya madhehebu yamekuja baada ya mtume.

wote ni waislam wenzetu wanaabudu Mungu Mmoja na kumwamini Mtume Muhammad (S.A.W) ni Mjumbe wa Mungu.
utasemaje ni adui zaidi wa yule anayepinga uislam(marekani).

*Kuhusu ufalme wa saudia.,,

Marekani walimtia sumu mpwa wa aliyekuwa king wa wakati hyo(1975,,)

Na kuelekea kufanya mauaji ya huyo mfalme.
sababu ya msimamo wake ,

Marekani wakawaweka utawala wao sababu ya kuharibu uislam.

Kuhusu kashogi.

Uislam unahubiri
-- subira.
-- kusamehe.

Je mtoto wa mfalme wa saudia alipotuma genge lake la wahuni huko Turky ,,

--kumkatakata vipande vipande yule kashogi ,,
huo ndy uislam anaosimamia saudia?

--Kuruhusu wamarekani wafanye watakavyo ndani ya saudia ,,

ndy kusimamia uislam?

Saudi wanasheria za kiislam lakini matendo yao hayapo ktk uislam.

Saudia royal family ni untouchable,,
Ni genge fulani la wahuni,

Wapo juu ya sheria za kiislam,,

Uislam haukufundishi kuua watu bila hatia..uislam ni amani.

Njaa na dhiki ya Yemen miaka yote inasabishwa na ubabe uchwara wa saudia kwa ndugu zetu..

Usidanganywe na vyombo vya habari vya magharibi huwezi kujuwa ukwl.
 
Nchi zipi middle east ndio zenywe uislamu kuliko saudi arabia??
Mkuu uislam wa saudia ni sababu ya chimbuko la uislam.

Uislam unaruhusu wanawake wacheze vitovu nje?

Uislam. Unaruhusu genge la wahuni likauwe watu?

Tena inchi za watu?

Kashogi ameuliwa kama kuku,, huo ndio uislam?
 
Hayo ndo matakwa ya wakubwa nyuma ya The New World Order.
Sasa mtaanza kuona kuwa COVID-19 imetengenezwa. Baadaye hata kusafiri utahitaji Passport ya Chanjo ya COVID-19.
Tuwe macho na tusubirie. Illuminati wamo Kazini.
Kwa hivyo homa ya njano nayo ilitengenezwa ,kusafiri unahitaji cheti cha chanjo ya homa ya njano.
 
Natak ueleze sababu zinazokufanya useme sio waislamu?..Unaposema A sio B ni vuzuri utoe na sababu
Sababu ya jwabza hakuna ibada yoyote tunayo ifanya sisi Waislamu inayofanana na ibada yao.
 
Hawa wanasiasa wnatuchanganya sana baadhi ya nchi walisitisha kama Africa kusini sababu ya utendaji wake kazi haukuwa mzur
Mbaya zaidi sisi Africa tunalazimishwa Covid vaccination bila kujuwa ubora au madhara yake.
 
Uyo Mungu wao wa uko saudia hawezi kuwalinda watu wake wanaoenda kumwabudu uko ktk makazi yake?,au Mudi hana mpango wa kuwatetea watu wake
 
Mkuu serikali ya saudia ni genge la wahuni,,waliojivika joho la uislam..

Hii serikali ya kifalme hakuna inchi yeyote ya kiislam inayokubaliana nayo zaidi ya mataifa ya magharibi..

Hill genge la wahuni la saudia limekuwa likifanya mambo kadhaa ya kinyume na haki za binadamu kwa Yemeni kwa miaka kadhaa.

--Mfano kuendelea kushambulia Yemen,, haswa kwenye makazi ya raia na kuua watu wasio na hatia.

Bila kujali Wanawake na watoto.

Tena ikipata baraka zote za marekani,, kwa kuwauzia silaha za technology ya hali ya juu,,saudia iendelee kuipiga Yemen na kuikandamiza.

-- kuweka kambi za kijeshi kwnye bandari kadhaa kwenye mpaka kuzuia watu wa haki za binadamu kupeleka misaada Yemen..

Mkuu ukiona kwa macho wanayofanya saudia kwa Yemen,,yanasikitisha sana.

Tena waislam wenzao,,

Dini inasema ndugu wa muislam ni muislam mwenzie,,

Huo udugu upo wapi hapo?

Pasi na shaka huu utawala wa saudia ni genge la wahuni lililojivika joho la waislam.

Ukijumlisha na mauaji ya KASHOGI..

Hawafai hata kidogo..

Wanachokifanya wao ni kufata amri za mabwana zao marekani.

Na kuweka sheria za Mungu pembeni.

Wametoa mambo mengi ya kiislam na kuweka utamaduni wa kimagharibi..

Saudia ile inayopambwa kwenye vitabu vitakatifu. ,,sio hii iliyopo Leo..

Chochote kinachoendelea saudia kimepata baraka zote za mataifa ya magharibi..
Inakukera nini ukichanjwa?!

Hakuna namna lazima mlambe matapishi yenu.
 
Waafrican mna tabu sana
Ipo shida sana. Kuna member hapa anasema kuwa washia sio waislam. Sasa sijui masuni ndio pekee waislam?

Kinachosikitisha zaidi, ni ukinzani mkubwa wa jinsi gani sisi waafrika tunawatazama hawa waarabu na wao wanavyotutazama. Wakati sisi tunawatukuza na kuwatazama kama waislam haswa, wao wanatuona kama nyani tu, ambao kwao ni watumwa tu. Ndio maana, dada zetu wanatumikishwa na kudhalilishwa huko saudia hadi hapa kwetu.

Nimeuishi uislam, kuna ubaguzi mkubwa sana. Zanzibar kule wanajiona ni waislam hasa kuliko wabara.

kimsingi kwenye macho ya hao wasaudi, wairan we are nothing but shitholes.
 
Nashukuru sn kama umeliona hilo.
Mkuu serikali ya saudia ni genge la wahuni,,waliojivika joho la uislam..

Hii serikali ya kifalme hakuna inchi yeyote ya kiislam inayokubaliana nayo zaidi ya mataifa ya magharibi..

Hill genge la wahuni la saudia limekuwa likifanya mambo kadhaa ya kinyume na haki za binadamu kwa Yemeni kwa miaka kadhaa.

--Mfano kuendelea kushambulia Yemen,, haswa kwenye makazi ya raia na kuua watu wasio na hatia.

Bila kujali Wanawake na watoto.

Tena ikipata baraka zote za marekani,, kwa kuwauzia silaha za technology ya hali ya juu,,saudia iendelee kuipiga Yemen na kuikandamiza.

-- kuweka kambi za kijeshi kwnye bandari kadhaa kwenye mpaka kuzuia watu wa haki za binadamu kupeleka misaada Yemen..

Mkuu ukiona kwa macho wanayofanya saudia kwa Yemen,,yanasikitisha sana.

Tena waislam wenzao,,

Dini inasema ndugu wa muislam ni muislam mwenzie,,

Huo udugu upo wapi hapo?

Pasi na shaka huu utawala wa saudia ni genge la wahuni lililojivika joho la waislam.

Ukijumlisha na mauaji ya KASHOGI..

Hawafai hata kidogo..

Wanachokifanya wao ni kufata amri za mabwana zao marekani.

Na kuweka sheria za Mungu pembeni.

Wametoa mambo mengi ya kiislam na kuweka utamaduni wa kimagharibi..

Saudia ile inayopambwa kwenye vitabu vitakatifu. ,,sio hii iliyopo Leo..

Chochote kinachoendelea saudia kimepata baraka zote za mataifa ya magharibi..
 
Mkuu uislam wa saudia ni sababu ya chimbuko la uislam.

Uislam unaruhusu wanawake wacheze vitovu nje?

Uislam. Unaruhusu genge la wahuni likauwe watu ?

Tena inchi za watu?

Kashogi ameuliwa kama kuku,, huo ndio uislam?
Hujajibu swali mkuu....NItajie nchi zenye/yenye uislamu kuliko saudi arabia..Simple tu
 
Back
Top Bottom