SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,375
Wao(Shia) wanafanya vipi ibada na nyie mnafanya vipi ibada??,,..Sababu ya jwabza hakuna ibada yoyote tunayo ifanya sisi Waislamu inayofanana na ibada yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao(Shia) wanafanya vipi ibada na nyie mnafanya vipi ibada??,,..Sababu ya jwabza hakuna ibada yoyote tunayo ifanya sisi Waislamu inayofanana na ibada yao.
Na hii ndio shida kuu kwenye uislam. Kila mmoja anajiona ni muislamu kuliko mwingine, ndio maana hamna umoja na hamuendelei kamwe kijamii na kiuchumi.Naposema wewe siyo mimi na mimi siyo wewe, unaelewa nini ?
Naamisha siyo Waislamu, yaani wao na Uislamu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Jaribu kufatilia,jibu langu limejitosheleza na linakutaka ufanye uchunguzi sikutarajia kama ungeuliza tena swali hili, zaidi ya kufatilia.Wao(Shia) wanafanya vipi ibada na nyie mnafanya vipi ibada??,,..
Kila la Mtu ana uono wake mtazamo na maamuzi yake kulingana na utashi wake
Si sawa kulazimisha au kutaka serikari kua na mtizamo sawa na wengine wafanyavyo.
Issue ya Corona sio ya kukurupukia tu na kubugia chanjo kama tuonavyo.
Nashauri kuwepo na utulivu na utaratibu rafiki juu ya maamuzi yeyote ya hiyo chanjo.
N.b chanjo kwangu siafikiani nayo. Kufa nitakufa wakati wangu ukifika iwe Nina chanjo au sina. Nimechagua kutokua na chanjo
Hapa umekosea njia kijana. Tunapojadili mambo ya kielimu, kama huna hoja bora uwe msomaji. Kwanini nasema hivyo ?Na hii ndio shida kuu kwenye uislam. Kila mmoja anajiona ni muislamu kuliko mwingine, ndio maana hamna umoja na hamuendelei kamwe kijamii na kiuchumi.
Mind you; mbele ya mshia na msuni, wewe mtanzania ni bilal tu (mtumwa).
Isijekuwa pamoja na sharti la chanjo, watakuwa na kile kipimo maarufu cha kupima virusi vinavyosababisha huo ugonjwa kilichogunduliwa hivi karibuni kule China! Hii chanjo Kuna watu watakuwa na vyeti bandia tu. Shurti wapimwe!
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Hakuna nchi yoyote hapa duniani inayosema ni nchi ya Kiislamu inayofata sheria za kiislamu kuizidi Saudia. Hakuna nchi hiyo.
Japokuwa watawala huwa madhaifu ila kuwapa jina la "Genge la wahuni" huu ni uongo usio weza kuujengea hoja za kielimu.
Tupe ushahidi,kisha linganisha nchi hizo katika suala la Dini na Saudia.
Pili,kwani dini yetu inasemaje kuhusu kushirikiana na makafiri inakataza au ?
Una uhakika kule Yemeni Saudia wanawapiga Waislamu ?
Unawajua Mahuthi ni kina nani ? Umesahau Mahuthi walichowafanyia Waislamu wa Dammaj,wanawake waliwabaka na kuwadhalilisha na kiwauwa watoto bila hatia ? Hili hamkuliona au Vyombo vya wamagharibi havikuwatagazia ?
Saudia waliamua kwenda kuwasaidia Waislamu wenzao dhidi ya Mahuthi ambao wanapewa msaada wa silaha na Irani, Mahuthi ni Mashia na Mashia si Waislamu. Sasa unatakiwa utuambie kwa vipi Saudia wapigane na Waislamu wenzao ?
Ngoja nikuulize swali, kwanini Saudia inawapiga watu hao huko Yemeni na ilikuwaje mpaka ikafikia huko ? Hutakiwi kuchukua habari nusu nusu.
Tuthibitishie hili, na utuonyeshe yale waliyokuwa wanayafanya Mahuthi miaka kadhaa nyuma. Linalofanywa na Saudia kule ni sahihi na hakuna wa kuwazuia, sababu Saudia wanawasaidia Waislamu dhidi ya Mashia.
Thibitisha kama Saudia inapigana na Waislamu kule Yemeni na kwanini ?
Watu wa haki za binadamu ni Washenzi na wazandiki tu. Bali waharibifu wa ustaarabu na heshima za wanadamu.
Mashia ni Waislamu ? Mpaka uiweke hadithi mahali ambapo si pake ?
Uislamu unasemaje juu ya mtu anatoka katika twaa ya mtawala au msaliti ? Sasa alilokuwa anafanya Kashogi dhidi ya Saudia ndiyo Uislamu ? Hivi huwa mnayajadili vipi haya mambo ?
Tuthibitishie ni amri gani hiyo toka kwa Magharibi wameifata Saudia ?
Kwahiyo mpaka walipo muua Kashogi pia walipata baraka toka Magharibi ?
Kama unaujua ukweli,unashindwa vipi kueleza hata kwa mistari miwili?,Jaribu kufatilia,jibu langu limejitosheleza na linakutaka ufanye uchunguzi sikutarajia kama ungeuliza tena swali hili, zaidi ya kufatilia.
Ulitaka Saudia waisaidie vipi Palestine ? Haya ndiyo matatizo ya kuzijadilia nchi hizi bila kurejea katika misingi. Saudia waliamua kuwapa hifadhi wapalestine, na mapigano ya Palestine si ya kidini bali ya kupigania ardhi, wakati ardhi ya Palestine Allah ameshachukua ahadi ya kuirejesha na ni ardhi ya Waislamu wote ulimwenguni.Saudia waliingia kichwa kichwa Yemen na hii ni baada ya rais msunii Ali abdullah saleh kuomba msaada huko Saudia na muungano wa gulf ila Qatar ambayo ni nchi ya kisunni walikataa muungano huo wa kuishambulia Yemen, katika hali isiyo ya kawaida utawala wa Saudia walipoulizwa kwann mumeenda ivamia Yemen walijibu kuwa wameenda kuwasaidia ahlul sunna wanaoishi Yemen , huu ni unafiq mkubwa sn kwa Saudia na ni udhaifu sn tu kama kwel walikuwa na nia ya kuwasaidia waislam wenzao why wasiende palestine ambapo kuna wafuasi wengi sn wa ahlul sunna. ukwel ni kuwa Saudia nchini Yemen wapo kuulinda maslahi ya kiutawala tu
Mwisho wa alsalul mtawala wa Saudia haupo mbaliHakika MKUU,,
Haswa kwa mauaji ya kashogi ,,
na kwa dhuluma wanayoifanya kwa waislam wote duniani,,
Pamoja na wanainchi wa Yemen kwa ujumla.
Sijui hujaelewa, kile nilichokueleza kilikuwa ndani ya msitari miwili au chini ya mistari minne. Nilichofanya mimi ni kukufupishia mambo ambayo yammeandikiwa vitabu na vitabu, yaani tukikusanya vilivyoelezea ukafiri wa Shia tunajaza maktaba kwa maktaba lakini mimi nimefupisha katika mistari michache sana na kukidhi haja.Kama unaujua ukweli,unashindwa vipi kueleza hata kwa mistari miwili?,
Huwa napata ugumu sana kujadiliana na watu ambao hawajui na hawajui kama hawajui, huku wakijiona wanajua.Iran inafuata sheria za Kiislamu kuliko Saudi Arabia. Inashangaza Waislamu wenzako wanauwawa Yemeni na Suadia katika vita vya kipuuzi halafu wewe unasema ni sawa tu kwa sababu sio wa dhehebu lako la Sunni! Hata kama wasingekuwa hata na chembe ya uislamu kutetea mauaji na mateso yanaofanywa na Saudia nchini Yemen ni kukosa ubinadamu. Kinachofanyika Yemen kinapaswa kuvuka mipaka ya kidini na kupingwa na yoyote.
Sasa kuwa chimbuko inahusiana vp kutoguswa na corona ikiwa magonjwa yapo kama kawaida?Mwanamayu ndiyo ujue kuwa dini ni miradi ya watu kupatia pesa na kuwatawala wengine!
miye nilitegemea vatican,jerusalem na makka zisiguswe na korona kwani huko ndiko chimbuko la ukristo au uislamu!
Ulitaka Saudia waisaidie vipi Palestine ? Haya ndiyo matatizo ya kuzijadilia nchi hizi bila kurejea katika misingi. Saudia waliamua kuwapa hifadhi wapalestine, na mapigano ya Palestine si ya kidini bali ya kupigania ardhi, wakati ardhi ya Palestine Allah ameshachukua ahadi ya kuirejesha na ni ardhi ya Waislamu wote ulimwenguni.
Mapigano ya Saudia ni vita baina Mashia na sisi Masuni, na kulinganisha ya Palestine na Yemeni ni uchachefu wa maarifa.
Ili iweje?Uyo Mungu wao wa uko saudia hawezi kuwalinda watu wake wanaoenda kumwabudu uko ktk makazi yake?,au Mudi hana mpango wa kuwatetea watu wake
Sasa mbona ulichokiandika hakifanani na kadhia ya Palestine ? Kwa mfano huo nitakupa mfano mfano mwingine iki ujihukumu, wakati gani waislamu walianza kupigana vita ? Kuuliwa kwa wazazi wa Ammari bin Yassir, kuteswa kwa kina Bilal na wasio kuwa hao, vipi Mtume aliamrisha watu wapigane vita kwa sababu hizo ? Sasa haya mambo hayaelezwi kwa mtindo huo. Yaani ardhi ya Palestine ishachukuliwa ahadi ile, na ni katika ardhi takatifu hasa pake Baytul Muqaddass.Unaposema kuwa mapigano ya Israel na Palestina si ya kidini ni kugombea ardhi sijui kama ipo sawa, mtume muhammad (rehema na amani ziwe juu yake ) aliamrisha waislam wapigane vita kwa ajili tu ya kudhalilishwa mwanamke mmoja malkiti Leo ww wasema ugomvi wa wayahudi na palestina sio wa kidini ili kali watu wanakufa !!
Mshaambiwa, hachanjwi mtu hapa, utumwa wa dini siku hizi tulishauacha, hakuna mtumwa hapa, Mungu anatusikia hata tukiwa huku huku, sio lazima kwenda huko ndio Mungu akusikie.., hila swala la kuhiji ulikuwa ni mpango wa kuhodhi faida za kiuchumi zitokanazo na hilo tukioKazi ipo mwaka huu.
Chanjo haikwepeki!
Umefupisha nini,mbona sijaona chochote ulichoeleza zaidi ya kusema shia sio waislamu?..Sijui hujaelewa, kile nilichokueleza kilikuwa ndani ya msitari miwili au chini ya mistari minne. Nilichofanya mimi ni kukufupishia mambo ambayo yammeandikiwa vitabu na vitabu, yaani tukikusanya vilivyoelezea ukafiri wa Shia tunajaza maktaba kwa maktaba lakini mimi nimefupisha katika mistari michache sana na kukidhi haja.