Serikali ya Tanzania: Hatuajiri walimu wa sanaa

Serikali ya Tanzania: Hatuajiri walimu wa sanaa

Hio ni serikali na ndio maamuzi yake hayo, nadhani zama za kusomesha vijana kwa fasheni zimepitwa na wakati, wazazi wawe ni wenye maono ama waombe ushauri kwa wasomi waliotangulia kabla ya kuamua ni kozi ipi watoto wao wakasomee.
 
Serikali imewabwaga kipind kizuri

Sasa ndugu wahitimu na wanachuo n mda wenu wa kuchagua kifo milele au Sera bora zitakazo zingatia kesho yenu

Waambieni wazaz wenu waache uzwazwa walioufanya miaka 5 iliyopita

CCM NI KABURI LA VIJANA WENGI
 
Hayo Si Majibu Ya Serikali
Tuwe Na Subira Wakati Serikali Ya Viwanda Inakwenda Kutatua Hili Jambo
*******************************
Unapokuwa Na Mtoto Wako Halafu Unammenyea Yai Ale Bado Anadeka Unamzaba Kibao, Utaona Atakavyolibugia Hilo Yai Haraka!!😁😀😄😃😂
By
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Lazima nchi iangalie priorities sio kujibebea tu ilimradi kuwafurahisha watu.

Kauli yangu mbaya ila ndio ukweli wenyewe, mpaka leo utakuta watu wanakazana kusoma hizo fani utadhani hawana taarifa kwamba serikali imesitisha ajira hizo, huu ni uvivu wa kufikiri
Serikali haieleweki kila mara inabadilisha vipaumbele. Watu wengi walienda kusomea ualimu baada ya serikali kutangaza kuwa ni kipaumbele cha serikali lakini sasa wako mtaani na haya ndo majibu yake.
 
Shida itakuja kutokea baadae vijana wataacha kusoma ualimu na baadae kutatokea tatizo la upungufu wa walimu maana watu wanasoma kitu ambacho ktamnufaisha si kwa Passion
 
Back
Top Bottom