Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Upepo ulibadilika tangu 2015 lakini mpaka leo kuna mtu anachagua kozi ya ualimu wa sanaa hivi huyo nae mzima kichwani?Serikali haieleweki kila mara inabadilisha vipaumbele. Watu wengi walienda kusomea ualimu baada ya serikali kutangaza kuwa ni kipaumbele cha serikali lakini sasa wako mtaani na haya ndo majibu yake.
Haiwezi kufuta maana hakuna aliyelazimishwa kusoma kozi za sanaa, na serikali sio muajiri pekee wa wahitimu wa masomo ya sanaa, kuna wadau wengine pia wanaajiri.Basi Serikali ifute Vyuo vya Sanaa!
Mimi nikushauri, usiache chuo. Maliza na Cheti chako ingia mtaani pambana. Katika mapambano huku mtaani Kuna mahali Cheti kinakubeba mno. Huwezi jua efforts zako zitakufikisha wapi ndugu.Namshukuru mungu nimeacha chuo rasmi
Pia Cheti kinasaidia Sana kuogombea tendersMimi nikushauri, usiache chuo. Maliza na Cheti chako ingia mtaani pambana. Katika mapambano huku mtaani Kuna mahali Cheti kinakubeba mno. Huwezi jua efforts zako zitakufikisha wapi ndugu.
Kuna jamaa nashirikiana nae kusajili microfinance company, Sina uhakika Kama BOT itakubali kutupa licence na sababu Ni kuwa huyo jamaa (ambaye ndiye Managing director) Hana Cheti chochote.
Usidharau Cheti asee.
Naunga mkono hoja yakoBasi Serikali ifute Vyuo vya Sanaa!
SelfishYanini kuongelea kitu ambacho hukijui!.
Better Yu keep quiet!