Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuimarisha Mashirika yake matatu, TRC, Air Tanzania, na Posta. Wananchi tunasubiri TTCL na BRT

Taja na mambo iliyoyabomoa huku wananchi tunalia njaa 🙄
 
Ili useme kumeimarika lazima ujumuishe na finances, Faida, uwekezaji, matarajio, sasa Wewe umeleta picha tu!
 
Una lewa maana ya kuimalisha au njaa zinakusumbua??

Ukiwa chawa kua na akili !! Anaeajiri chawa zero brain nayy kuna shida mahali!


Air tanzania ndio shirika linaloongoza kwa hasara zaidi ya billion 35 kwa mwaka mmoja😎😎Afu anatokea mjinga mmoja anasema imeimalika,??

POSTA IMEKUFA
TTCL CHALIII hata Halotel shirika la juu wameipita hapa. Kifurushi chenyewe unatumia si kutoka TTCL.

BRT hadi mmewapa wawekezaji hata kukatisha tiket kukusanya hela mmoshindwa.
Watu wanasubiri massaa 2 kupanda gar (huu ujuha haujawai onekana tangu uhuru)

TRC ndo hoe hae yaan kazi iliyotakiwa iishe mwaka mmoja inakaribia mitatu ndo mnafungua kakipande ka kwanza!!
Na bado haijafanyiwa AUDIT nadhani huku hasara yake n zaidi ya ndege
 

Attachments

  • 173A5C85-D67F-4B0E-94FD-82470D6CB98C.jpeg
    919.2 KB · Views: 2
Wakinipa nisimamie mwaka mmoja tu nitaleta ndege tatu
 
Air Tanzania hapana brother. Huduma zao bado mbofumbofu, cancellations, kutofuata ratiba nk. Nashauri wapewe watu binafsi waendeshe, sio sirikali.
Sijui wamelogewa wapi, ndege hizi hapa kusimamia wanashindwa asee
 
Mashirika yanaendeshwa kwa hasara unasema yameimarishwa?
Huwezi kuamini kuendesha ni kazi rahisi tu hamna cha zaidi pale unacheza na hesabu ya mapato na matumizi sio lazima uwe msomi mkubwa
 
Sijui wamelogewa wapi, ndege hizi hapa kusimamia wanashindwa asee
Ishu sio kurogwa bro. Ni mentality mbaya ya watumishi wa umma dhidi ya mali za umma. Mbona Precision husikii wanalalamikiwa sana kama hawa Air Serikali? Flight Link wanazidi kuongeza ndege na kukuza shirika, mbona hatusikii wakilalamikiwa? Jambo jingine, kila siku ndege za air Tanzania zinabeba viongozi kwenda nje, wanasababisha upungufu wa ndege za abiria kwa Air Tanzania. Si bora wangetumia zile za raisi ambazo alizinunua Mkapa?
 
Wapande kama abiria lakini wakishapanda kama watu wa maana itasababisha mtafaruko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…