FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Wawekewe sheria ya kuuwawa wakila mali za umma. Hakuna ujanja kwa hii mijizi yenye laana.Waache kula sasa badala yake wakuze umakini unahitajika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawekewe sheria ya kuuwawa wakila mali za umma. Hakuna ujanja kwa hii mijizi yenye laana.Waache kula sasa badala yake wakuze umakini unahitajika
Safi sana, wasingefanya hivyo ingekuwa balaa, maana China wengi wao hawaamini Mungu. Hawana miko.China pale wananyonga
Wataalamu wanakuja na Data msiogope
Air Tanzania hapana brother. Huduma zao bado mbofumbofu, cancellations, kutofuata ratiba nk. Nashauri wapewe watu binafsi waendeshe, sio sirikali.Kwanini
Una lewa maana ya kuimalisha au njaa zinakusumbua??Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuimarisha Mashirika yake matatu, TRC, Air Tanzania, POSTA, Wananchi tunasubiri TTCL na BRT.
Hongera sana Serikali ya Tanzania kwa kufanikiwa kurejesha heshima ya nchi iliyokuwa imepotea kwa muda mrefu mmejitahidi sana.
Miakaka ya nyuma hatukuwa na ndege wala tren za kisasa vilevile POSTA iliyumba sana tulibakiwa na masanduku tu ya kupokea barua ambazo kwa ulimwengu wa sasa zimepitwa na wakati lakini sasa tunatuma na kupokea mizigo kutoka mataifa mbalimbali.
Tunaomba mrejeshe shirika la TTCL ili Watanzani tujivunie kuwa na chetu na kuimarisha BRT kwasababu wananchi wanapata usumbufu mkubwa sana kwenye Mwendokasi.
View attachment 3038081View attachment 3038082View attachment 3038083View attachment 3038084View attachment 3038085
Wakinipa nisimamie mwaka mmoja tu nitaleta ndege tatuUna lewa maana ya kuimalisha au njaa zinakusumbua??
Ukiwa chawa kua na akili !! Anaeajiri chawa zero brain nayy kuna shida mahali!
Air tanzania ndio shirika linaloongoza kwa hasara zaidi ya billion 35 kwa mwaka mmoja😎😎Afu anatokea mjinga mmoja anasema imeimalika,??
Ishu sio kurogwa bro. Ni mentality mbaya ya watumishi wa umma dhidi ya mali za umma. Mbona Precision husikii wanalalamikiwa sana kama hawa Air Serikali? Flight Link wanazidi kuongeza ndege na kukuza shirika, mbona hatusikii wakilalamikiwa? Jambo jingine, kila siku ndege za air Tanzania zinabeba viongozi kwenda nje, wanasababisha upungufu wa ndege za abiria kwa Air Tanzania. Si bora wangetumia zile za raisi ambazo alizinunua Mkapa?Sijui wamelogewa wapi, ndege hizi hapa kusimamia wanashindwa asee
Wapande kama abiria lakini wakishapanda kama watu wa maana itasababisha mtafarukoIshu sio kurogwa bro. Ni mentality mbaya ya watumishi wa umma dhidi ya mali za umma. Mbona Precision husikii wanalalamikiwa sana kama hawa Air Serikali? Flight Link wanazidi kuongeza ndege na kukuza shirika, mbona hatusikii wakilalamikiwa? Jambo jingine, kila siku ndege za air Tanzania zinabeba viongozi kwenda nje, wanasababisha upungufu wa ndege za abiria kwa Air Tanzania. Si bora wangetumia zile za raisi ambazo alizinunua Mkapa?
Nani unamshauri apande kama abiria? Hawa hawa miungu watu?Wapande kama abiria lakini wakishapanda kama watu wa maana itasababisha mtafaruko
wameweka vichaa viwasifieWakinipa nisimamie mwaka mmoja tu nitaleta ndege tatu