Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

Mimi nilidhani waislamu na ccm mna maduka yenu maalum ya kupata huduma, kumbe tunaumia wote?

Sasa akili ndio zinaanza kuwarudia.
 
dam. This is new sikudhani one day mtu kama wewe utaandika such thing

But kwenye hili nakuunga mkono, ni vile wananchi wengi hawaua uelewa na bajeti au wana ignore huku waishimiwa wakizid ku prioritize anasa kuliko mahitaji ya wananchi.

Niliwahi kumwambia kada wa ccm juzi bqada ya maandamano ya kenya, the change is coming, na hawatoweza kuzuia akawa mbishi sana kama kawaida

lakini ni bora na ww umesema, siku hiyo yaja there will be no hiding
 
Umeongea maneno mazito na yanayopaswa kuchukiliwa kufanyiwa kazi.
Lazima serikali ipunguze baadhi ya vyeo, taasisi, gharama ili wananchi waone kweli inaishi kwenye uhalisia.
Hata ruto anapunguza baadhi ya wizara. Hichilema amepiga arufuku magari ya bei kubwa na gharama kwa watendaji wake.
Hatuhitaji wabunge wanaosinzia na kusaini posho jioni. Yaani tuna bunge kubwa lisilo na productivity ili hali kila kitu anapitisha speaker ni bira akabaki speaker peke yake
 
Lakini siamini kama ni wewe mdau kuandika uzi huu wenye mawazo yakinifu namna hii.

Ninakujua wewe hizi siyo pigo zako, au wameku hack'nini?

Faiza Foxy kabisa! Yaani siamini.
 
Hata Land Rover 110 station wagon zinawafaa sana zinaingia popote, maana visingizio vyao wana route za vijijini.
Kwa mahitaji ya sasa waziri LC200 linatosha. Ila wakurugenzi sijui wakuu wa mikoa wilaya wale LC hardtop inatosha kabisa, rugged, inaenda kokote, needs low maintence.

Hii budget kila siku asilimia kubwa ni ununuzi wa magari ya bei mbaya, yaani magari yana umuhim kuliko watanzania? We need changes
 
Leo chawa katoa ushauri aisee maji yamefika shingoni
 
Rais anatakiwa kuwa mtu wa kwanza kuziishi hizo 4Rs ndipo wengine watafuata. Nchi zote watu na maafisa huwa wanaangalia mood ya Rais.
 
Bi mkubwa ✓
 
Viongozi Waliombwa wale kwa urefu wa kamba zao.
Nenda mbweni,ununio na Bunju ndo utajua wanakula kwa urefu wakamba zao
 
Ooh simu yako anatumia mtu mwingine
 
Mimi naamini hii akaunti imevamiwa.

Maana wakati sisi tunapinga ufisadi hapa mnatuona tuna chuki na nyie kumbe ni kwa mapenzi mema na nchi yetu maana hatutaki tuingie kwenye machafuko kwani tukishafika huko kurudi tulipokuwa ni gharama nyingine na Tanzania ni hii hii moja tu hakuna nyingine.

Hivyo punguzeni wizi na ubinafsi wenu.
 
Leo umeandika kizalendo sana mama.
Hadi nimejikuta nakupenda ghafla!
Big up.
 
Kweli kabisa.
 
Ni wewe Faiza umeandika huu uzi au Akaunti yako imevamiwa!🤣🤣🤣🤣
Tulieni Mama afungue nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…