Serikali ya Tanzania inafanya "Cultural genocide" Ngorongoro

Serikali ya Tanzania inafanya "Cultural genocide" Ngorongoro

Huo ni uongoi na ujinga wa hali ya juu? Nani aliuliwa hata iwe "genocide"?

Wewe"culture" yako iliuliwa na nani? Unavyovaa wewe leo mitumba ndivyo walivyovaa babu na bibi zako? Vishida na vikaniki? Mbona hurudi ukaishi kama babu zako?

Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako, hatuwezi kuona binaadam karne ya 21 wanaishi na wanyama kwa ajili ya kukuridhisha mwehu mmoja kama wewe.
Matako yanakuwasha unataka kukunwa ?
 
Wewe angalia Mkoa wa Pwani hivyo viwanda vimejengwa kwenye maeneo yaliyotwaliwa kisheria kutoka kwa wananchi waliokuwa na hayo maeneo.
Kwa hiyo Ngorongoro napo wanataka kujenga viwanda bubu kama Pwani ?
 
Matako yanakuwasha unataka kukunwa ?
Naona hoja zimekushinda, huna majibu unaanza kutukana.

Rudi uanze kuvaa kaniki kama bibi yako. Kuwahamisha wamsai na kuwapeleka kwenye maendeleo ni kama kawaida.

Kwanza elewa, walipoachwa wae wankwenda kuishi crater wamasai walikuwa hawalimi. Wanakwenda wanalisha mifuo pakiwa na ukame huko wanahamammia kwengine, sasa wamefanya makazi ya kudumu siyo ya kuhama hama kama mila zao, kwa hiyo wanapelekwa kwenye ardhi za kulima na kulisha mifugo yao, crater waache nature iendelee kwa mkondo wake.

Mnajidai wjanja kumbe hamna ujanja wowote, kubanwa kwa maswali mawili tu, umeanza kuhororoja, kubwabwaja na kubweka kama mbwa koko jike (bitch)lipo kwenye joto.
 
Unataka kusema nini ?
 
Jinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu.

Shule Ulienda kusomea ujinga
 
Mtoa mada kama umewahi kufika ngorongoro na kutembelea maeneo ya pembezoni mwa mbuga lazima utakubaliana na amacho Serekali inakifanya.
Mwanzoni nami nilikuwa kama wewe Mwaka jana nilipata fursa ya kwenda hapo Ngorongoro na kutembea maeneo ya mbugani hadi Kule Serena Hoteli.kqa kweli kama nia ni kuhifadhi Ngorongoro has jamaa inabidi waondolewe hata kwa nguvu kama itabidi maana idadi ya wakazi na Wanyama inaongezeka maradufu na inaharibu ecologia nzima ya Ngorongoro.
**kimsingi Mkoa wa Manyara eneo kubwa ilitakiwa kuwa corridor ya Wanayama ndio maana hata hata ukipita kwenda Arusha unaona Wanyama wamechamana na binadamu ni sema tu Nchi za kiafrika mipango na viongozi ni hovyo na hawana future
 
Kwa sababu wewe malaya upo kwenye joto lako unafikiri kila mtu humu malaya kama wewe ?
Umeshindwa hoja ukaanza kubwabwaja na kuroroja bila mpango.

Umalaya kazi kubwa hiyo, hata kizazi cha Yesu yupo Tamari, usiidharau hiyo.

Kwenu wapi wewe? Kijiji chenu babu na bibi zako hawakuhamishiwa hapo na Nyerere?
 
Back
Top Bottom