Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next level.
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013 kusini kulikuwa kwa moto sana.
2015, 2020 kusini kulikuwa kwa moto. Na ule uchaguzi wa marudio baada ya mbunge wa Liwale kununuliwa sikumbuki ilikuwa lini lakini nadhani ni 2019 , kiliwaka sana.
Viongozi wa kusini wanalitambua. Huwezi kumpoteza mtu kule kizembe.
Ile spirit ya kusini nadhani ni ya ki Mozambique aiseee.