Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Sijakuambia ufanye chochote.Wee usituchonganishe, askari wanabonda asee ni wanakusudia kuuwa!
Vipi Constebooo unaanza kujisifia tena ili chingaboy waufyateWee usituchonganishe, askari wanabonda asee ni wanakusudia kuuwa!
Mtwara mwaka 2012 palichimbika kwenye issue ya gas ⛽. Polisi walipigwa hadi wakavua magwqnda, jeshi na vifaru ndio wakaja kutuliza amaniJamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next level.
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013 kusini kulikuwa kwa moto sana.
2015, 2020 kusini kulikuwa kwa moto. Na ule uchaguzi wa marudio baada ya mbunge wa Liwale kununuliwa sikumbuki ilikuwa lini lakini nadhani ni 2019 , kiliwaka sana.
Viongozi wa kusini wanalitambua. Huwezi kumpoteza mtu kule kizembe.
Ile spirit ya kusini nadhani ni ya ki Mozambique aiseee.
DUuuuuuMtwara mwaka 2012 palichimbika kwenye issue ya gas ⛽. Polisi walipigwa hadi wakavua magwqnda, jeshi na vifaru ndio wakaja kutuliza amani
Naunga mkono. Kule hawako kiboya. Wakikuadhimia unahama mkoaJamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next level.
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013 kusini kulikuwa kwa moto sana.
2015, 2020 kusini kulikuwa kwa moto. Na ule uchaguzi wa marudio baada ya mbunge wa Liwale kununuliwa sikumbuki ilikuwa lini lakini nadhani ni 2019 , kiliwaka sana.
Viongozi wa kusini wanalitambua. Huwezi kumpoteza mtu kule kizembe.
Ile spirit ya kusini nadhani ni ya ki Mozambique aiseee.
Japo watu wa huko asilimia kubwa ni wajinga sana, wakishakunywa gongo wanasahau kwamba Kuna maisha baada ya hapo..Ila ukigusa angle zao lazima wakuvue nguoJamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next level.
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013 kusini kulikuwa kwa moto sana.
2015, 2020 kusini kulikuwa kwa moto. Na ule uchaguzi wa marudio baada ya mbunge wa Liwale kununuliwa sikumbuki ilikuwa lini lakini nadhani ni 2019 , kiliwaka sana.
Viongozi wa kusini wanalitambua. Huwezi kumpoteza mtu kule kizembe.
Ile spirit ya kusini nadhani ni ya ki Mozambique aiseee.
Utaishi milele mkuu?hata huyo anayeua Leo naye ipo siku atakufa,acha kuogofya watuWee usituchonganishe, askari wanabonda asee ni wanakusudia kuuwa!
Kule ni khaki bin khaki.Naunga mkono. Kule hawako kiboya. Wakikuadhimia unahama mkoa
Uchawi ndio kitu walichonacho wana LIndi na Mtwara na CCM wanalijua hilo vizuri. Pia ogopa sana mtu mjinga na maskini, hana cha kupoteza.Jamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next level.
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013 kusini kulikuwa kwa moto sana.
2015, 2020 kusini kulikuwa kwa moto. Na ule uchaguzi wa marudio baada ya mbunge wa Liwale kununuliwa sikumbuki ilikuwa lini lakini nadhani ni 2019 , kiliwaka sana.
Viongozi wa kusini wanalitambua. Huwezi kumpoteza mtu kule kizembe.
Ile spirit ya kusini nadhani ni ya ki Mozambique aiseee.
Mwendazake alibugia Moshi hakurudi Tena,mpaka mauti ilipomkuta R.I.P.mwamba,Konda boy RC wa Chuga alipokuwa mwenezi kabla hajaikanyaga ardhi ya Masasi kilichomkuta hana hamu mpaka uenezi kapokonywa hajarudi Tena Southern part.Uchawi ndio kitu walichonacho wana LIndi na Mtwara na CCM wanalijua hilo vizuri. Pia ogopa sana mtu mjinga na maskini, hana cha kupoteza.
Kitu kinachowabeba watu wa Mtwara na Lindi ni jamii zilizokaa zenyewe kwa muda mrefu bila maingiliano hivyo ni rahisi kujiorganaizi. Mwaka 2012 na 2013 walikuwa wanajioganaizi kirahis sana na serikali iliwatambua. Lakini kwa vipigo vya kimya kimya walivyovipata viongozi wa migomo ile nahisi walishapungua nguvu mana yalikuwa ni mateso makali sana walipitia. Sema vyombo vya habari viliwatelekeza watu wa kusini japo wabunge wao walikuwa wakipiga kelele bungeniJamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next level.
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013 kusini kulikuwa kwa moto sana.
2015, 2020 kusini kulikuwa kwa moto. Na ule uchaguzi wa marudio baada ya mbunge wa Liwale kununuliwa sikumbuki ilikuwa lini lakini nadhani ni 2019 , kiliwaka sana.
Viongozi wa kusini wanalitambua. Huwezi kumpoteza mtu kule kizembe.
Ile spirit ya kusini nadhani ni ya ki Mozambique aiseee.
Bibi wa MsimbatiJamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next level.
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013 kusini kulikuwa kwa moto sana.
2015, 2020 kusini kulikuwa kwa moto. Na ule uchaguzi wa marudio baada ya mbunge wa Liwale kununuliwa sikumbuki ilikuwa lini lakini nadhani ni 2019 , kiliwaka sana.
Viongozi wa kusini wanalitambua. Huwezi kumpoteza mtu kule kizembe.
Ile spirit ya kusini nadhani ni ya ki Mozambique aiseee.
Labda Kwa ushirikina, walimpuliza Magufuli kwa ule Moshi alikohoa mpaka kahairisha ziaraJamii ya wananchi wa mkoa wa Lindi na MTWARA ni jamii nyingine. Huko Arusha mnasema kuna watu wamepinda , yes wamepinda lakini ni kwaajili ya mabange tu na usela mavi.
Watu wa kusini ni next level.
Serikali ya Tanzania imefanikiwa kudhibiti vyombo vya habari hawawezi kurusha kila kitu . 2013 kusini kulikuwa kwa moto sana.
2015, 2020 kusini kulikuwa kwa moto. Na ule uchaguzi wa marudio baada ya mbunge wa Liwale kununuliwa sikumbuki ilikuwa lini lakini nadhani ni 2019 , kiliwaka sana.
Viongozi wa kusini wanalitambua. Huwezi kumpoteza mtu kule kizembe.
Ile spirit ya kusini nadhani ni ya ki Mozambique aiseee.
"Pia ogopa sana mtu mjinga na maskini, hana cha kupoteza"Uchawi ndio kitu walichonacho wana LIndi na Mtwara na CCM wanalijua hilo vizuri. Pia ogopa sana mtu mjinga na maskini, hana cha kupoteza.