Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana
Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike
Team Dennis 255713520180
Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike
- Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa
- Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida
- Kutengwe makazi kwa ajili ya wale wastaafu matajiri
- Kutengwe sehemu ya hotel za kisasa
- Kutengwe sehemu ya kutengeneza world-class golf court na zikikamilika Tanzania iombe kuingia kwenye PGA tour sio rahisi ila inawezekana
Team Dennis 255713520180