THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Legacy pekee aliyoiacha mwendazake ni kujenga ukuta mereran Ili tanzanite isiibiwe na watu still wakawa wanamwibia KWA kuchimba underground...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp kuhusu ajira za jwtz?
Hakuna mtu anayeharibu Legacy yake zaidi ya yeye mwenyewe kuwa na tabia za ajabu!Huu ni mpango wa kuharibu legacy ya magufuli
Mkuu kwani zikiongezwa kwenye mishahara ya walimu waliopo haziendi bank ama sector binafsi?Mkuu huoni wakiajiriwa hawa automatic sekta binafsi nayo inaneemeka?
Chukulia mfano average wanalipwa laki 5 kwa mwezi, hizo ni kama Bilioni 20 kwa mwezi zinaenda kwenye mabeki, maduka ya nguo, vyakula, viatu, vocha etc.
Sekta binafsi pia inaweza kukua kukiwa na mzunguko wa pesa, mtu hawezi kuja kuwekeza ikiwa purchasing power ni ndogo.
JWZT sio watumishi wa umma kwa maana ya utumishi. Wana taratibu zao tofauti kidogo na watumishi wengine wa serikali.Vp kuhusu ajira za jwtz?
We unaona hao watu 40,000 ndio watapunguza wahitimu wasio na ajira? kuna wahitimu takribani 200,000 wameingia mtaani toka JPM aingie madarakani mpaka sasa na katika hio figure naweza kisia maybe ni 7% ya hao jamaa tu ndio wanaweza kuwa wamejiongeza kujiajiri na bodaboda na shughuli zingine!Itakuwa vizuri sana kama utekelezaji utafanyika. Hii itasaidia kupunguza wahitimu wasio na ajira ambao wamekata tamaa uraiani.
Hii pia itakuwa na mwanzo mzuri kwa Mhe. Rais SSH.
Kweli mkuu, tena hao ni wachache na ni ngazi ya degree tu. Kumbuka kila mwaka vyuo vinatoa wahitimu nchi nzima.Mkuu 500K??? Kweli kada moja??? Au umekombine?
Sasa hesabu tangu 2015 mpk leoMkuu 500K??? Kweli kada moja??? Au umekombine?
Sibishani na mbumbumbu.uongo vyuo vyetu vyote ukijumlisha vinatoa graduate 1200 tu wa ualimu kwa mwaka ukipiga kwa miaka 20 nyuma ni elfu 24 tu!! hiyo laki tano umeitoa wapi?
Huu ni mpango wa kuharibu legacy ya magufuli
Akili za mwendazake alikua anazijua mwenyewe yaan Kuna muda mpak unajiuliza anatumia mmea au?
Kwanini waliopo wasiongezwe na hawa waajiriwe?Mkuu kwani zikiongezwa kwenye mishahara ya walimu waliopo haziendi bank ama sector binafsi?
Hebu nielezee effect inakuwa vipi?Kua na watu 10 wanalipwa milioni 10 na kua na watu 200 wanalipwa milioni 10 effects zake kwenye uchumi ni zile zile.
Unaweza kuwa sahihi ama sio sahihi hapo kwenye purchasing power.Purchasing power haiongezeki kwa mtindo kua watu wengi wawe na hela kidogo kidogo. Purchasing power inaongezeka kwa watu wengi kua na hela nyingi.
Wewe kwa akili ulionayo unaona graduates ni walimu tu?uongo vyuo vyetu vyote ukijumlisha vinatoa graduate 1200 tu wa ualimu kwa mwaka ukipiga kwa miaka 20 nyuma ni elfu 24 tu!! hiyo laki tano umeitoa wapi?
Sijakataa wasiajiriwe wapya.Kwanini waliopo wasiongezwe na hawa waajiriwe?
Hebu nielezee effect inakuwa vipi?
-Watu 10 wakiwa na milioni 10 ni milioni 100 na watu 200 wakiwa na milioni 10 ni bilioni 2, wote wakiweka hela zao Bank tofauti huoni Bank moja utafaidika kuliko nyengine?
Unaweza kuwa sahihi ama sio sahihi hapo kwenye purchasing power.
Watu 40,000 wakiwa na bilioni 20 biashara ndogo zote zitaneemeka kama vile vyakula, nguo etc
Ila watu 10 wakiwa na bilioni 20 purchasing power itaongezeka kwenye vitu luxury kama magari ya kifahari, nyumba za kifahari etc.
Na unapowapa watu wengi uwezo wa kununua biashara inakuwa kuliko watu wa chache Sababu kuna vitu mtu Ana limit ya kufanya.
Mfano chakula, mtu kama hela atakula mlo mmoja ama miwili, ila mtu akiwa na hela hawezi kula milo 10 ama 20 kwa siku.
Kada ya elimu wataajiri watumishi wapya 10,297, afya 11,215, kilimo 1,383, mifugo 1,250, uvuvi 733, Jeshi la Polisi 1,782, Magereza 843, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji 512 na watumishi wapya wa hospitali za mashirika ya kidini na hiari 1,240.
Serikali ya Tanzania imesema katika mwaka wa fedha 2021/22 inatarajia kuajiri watumishi wa umma wapya 44,096.
Hayo yameelezwa leo Alhamisi Aprili 22, 2021 Waziri wa Nchi Ofisi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa wakati akiwasilishwa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2021/22.
Amesema kada ya elimu wataajiri watumishi wapya 10,297, afya 11,215, kilimo 1,383, mifugo 1,250, uvuvi 733, Jeshi la Polisi 1,782, Magereza 843, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji 512 na watumishi wapya wa hospitali za mashirika ya kidini na hiari 1,240.
Amesema Serikali itaajiri watumishi 14,841 wa kada mbalimbali ikiwemo wahadhiri wa vyuo vikuu vyote vya umma nchini pamoja na kada nyingine ambazo haziko kwenye sekta zilizoainishwa awali.
Hata hivyo, amesema watumishi 92,619 wa kada mbalimbali watapandishwa vyeo na watumishi 2,360 watabadilishwa kada katika utumishi.
Amebainisha kuwa maelekezo yatakayotolewa wakati huo ni kuchambua na kuhakiki madai ya malimbikizo ya mishahara ya watumishi wa umma 17,699 yenye thamani ya Sh37.47 bilioni na kuchukua hatua ipasavyo.
Aprili 15, 2021 Serikali ya Tanzania ilieleza matarajio yake ya kuajiri watumishi wapya 44,811 katika mwaka wa fedha 2020/21.
Hayo yalielezwa na aliyekuwa Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika wakati akiwasilisha bajeti yake kwa mwaka huo wa fedha.
Alitaja ajira hizo mpya kuwa ni kada ya elimu (13,529), afya (10,467), kilimo, mifugo na uvuvi (2,145) Jeshi la Polisi (2,725), magereza (685), Jeshi la Zimamoto (501), uhamiaji (495) na hospitali za mashirika ya kidini na hiyari (1,262).
Chanzo: MWANANMbona