Serikali ya Tanzania yaigomea kampuni ya China kubadili design ya flyover ubungo

Mada imegeuka from Tanzania na kuwa Kenya. Kenya hoyeeee.
 
Hii design inapendeza zaidi ikijengwa Kenya kuliko Tanzania sababu wao ndio wenye matuta ya mihogo wanayoyaita flyovers

Lakini hapa umesema ukweli. Wachina uko Nairobi wamejenga tuta mingi sana.

They don't look good and take a lot of space.
 
Which Kenyan Chinese made road iko na potholes?., wacha uwongo!!, they sign a ten years agreement, barara ikiaribika ama ipate mashimo wanatengeneza kwa hela zao., it's a guarantee for standard road. Pole kwa ujanja wako.
 

Tatizo mnatoa pesa mbuzi
 
Hii ya unafuu naona sio plan ya mchina kuna makanjanja wako nyuma ya hili wazo ili wapige dili
Mchina nae ni mwizi balaa kwa hiyo anatumika hapo.
Hawawezi kuwapa waholanzi au wajerumani kwa sababu wanajua hawatapata mgao wao
 
Mzungu sikuhizi labda umpe kazi ya kukutengezea software tu,hizi kazi za Ujenzi hawawezi,washasahau,labda mrusi baada ya like daraja la Crimea,imenekana na yeye kumbe so wa mchezomchezo
 
Duh,hii Kali yaani FUNDI anabuni ramani ya ujenzi anayopenda yeye alafu anampa mwenye nyumba aridhie!
Hawa mpaka hapo wameshindwa kazi.
 
Duh,hii Kali yaani FUNDI anabuni ramani ya ujenzi anayopenda yeye alafu anampa mwenye nyumba aridhie!
Hawa mpaka hapo wameshindwa kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…