REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hii design inapendeza zaidi ikijengwa Kenya kuliko Tanzania sababu wao ndio wenye matuta ya mihogo wanayoyaita flyoversHii ndo design ya Mchina iliyogomewa na serikali.View attachment 832325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii design inapendeza zaidi ikijengwa Kenya kuliko Tanzania sababu wao ndio wenye matuta ya mihogo wanayoyaita flyoversHii ndo design ya Mchina iliyogomewa na serikali.View attachment 832325
Hii design inapendeza zaidi ikijengwa Kenya kuliko Tanzania sababu wao ndio wenye matuta ya mihogo wanayoyaita flyovers
Which Kenyan Chinese made road iko na potholes?., wacha uwongo!!, they sign a ten years agreement, barara ikiaribika ama ipate mashimo wanatengeneza kwa hela zao., it's a guarantee for standard road. Pole kwa ujanja wako.Nimebahatika kuzunguka kidgo nchi za east afrika...mfano twanda,Kenya na Uganda barabara alizojenga mchina hazidumu hata 3 Yr zinakuwa mashimo hasa Tanzania ndo usiseme.....huwa sielewi serikali inashindwa nn kuwapa tenda waliojenga barabara ya iringa wale waholanzi wajenge na mikoa mingine.... Mchina analipua kazi mno hii tender ya flyover ubongo Mara 100 serikali ingewapa wajapani hata kama gharama ni juu kuliko mchina.
Nimebahatika kuzunguka kidgo nchi za east afrika...mfano twanda,Kenya na Uganda barabara alizojenga mchina hazidumu hata 3 Yr zinakuwa mashimo hasa Tanzania ndo usiseme.....huwa sielewi serikali inashindwa nn kuwapa tenda waliojenga barabara ya iringa wale waholanzi wajenge na mikoa mingine.... Mchina analipua kazi mno hii tender ya flyover ubongo Mara 100 serikali ingewapa wajapani hata kama gharama ni juu kuliko mchina.
Labda lakini kwa mahesabu yao hiyo ndo gharama gakeTatizo mnatoa pesa mbuzi
Kagame anayo, au Kongo shimo halijatema?Tatizo mnatoa pesa mbuzi
Kagame anayo, au Kongo shimo halijatema?
Huwa unanifraishaga sana kwa haya manenoNa kichwa chako umetumia kubebea meno ndio mana siasa zimejaa kichwan
Huwa unanifraishaga sana kwa haya maneno
😂😂😂😂Wachina wajanja sana. Eti nafuu zaidi! Hivi kweli mkandarasi ushauri mradi wa bei rahisi wakati wa pesa ndefu upo mezani?
OHii ndo design ya Mchina iliyogomewa na serikali.View attachment 832325
Mzungu sikuhizi labda umpe kazi ya kukutengezea software tu,hizi kazi za Ujenzi hawawezi,washasahau,labda mrusi baada ya like daraja la Crimea,imenekana na yeye kumbe so wa mchezomchezoYaanh sometimes huwa hvyo lakini why aseme ni gharama nafuu wakati government imetoa hela ya kutosha iliyopendekezwa kwa design ya kwanza...Hii ya ubongo design yake aliyoleta ili ajenge ni mbovu...lazima government ikatae ujinga huo na kama kujenga kashidwa amwachie mjapani au mkorea even hata mzungu kuliko kutaka kujenga tuta na daraja then aite flyover.