Naomba mtu anipe athari za kutoa mimba kama itafanyika kwa ufanisi,naona watu wote mumejikita katika kuua tu,watu wangapi wamekufa bwana,tatizo letu ni kuwa dini zetu zimetujengea mazingira ya kuogopa sana kufa,hivyo watu wengi tunaona kufa ni big deal,kufa is just like sleeping guys,sasa nini bora,kumleta mtoto duniani akateseka au kumuondoa kabla hajaja duniani? Tusiongopeane kwamba kila mtoto anakuja na risiki yake hapa,kama mzazi anaona yeye hana uwezo wa kumjengea mazingira ya kutoka mtoto wake,ni heri akamuepusha na mabalaa mapemaaa,kuna watoto wanazaliwa hawana macho au miguu,jamani unamuacha duniani anateseka bureeee,
huyu yuko upande wa serikali-mkristo huyu! mwislamu huyu!
next ni ndoa za mashoga kwa sababu tayari mashoga wapo na wamekuwepo kwa muda mrefu na siku hizi ni kama kafasheni ka aina fulani hivi. Hata kama haitakuwa ndoa nadhani watakachofanya chini ya utawala wa Obama ni kuhakikisha kuwa homosexuality is decriminalized.
Hili litafanya hatimaye mashoga kujitokeza wazi badala ya kujificha au vitendo vyao kuonekana "nje ya maadili ya Kitanzania".
Anaangalia mbali, siku zote huwa tunaonywa na watu mbalimbali hatuchukui hatua, hatujali!
analalamika na kukubali kama kawaida yetu!
Hi there
Tatizo letu wa TZ, ni kusubiri matokeo ya mambo halafu ndio tulalamike.
Kila siku huwa najiuliza kama kuna wakristo wa kweli na waislamu wa kweli, siku zote nimeishia kwenye hitimisho kuwa wengi wafuatao dini ni WANAFIKI WAKUBWA, wala hawastahili kuitwa kwa dini zao-Bible inasema tuna majina yaliyo hai lakini tumekufa!
Viongozi wa dini
Katika hili mkae kimya kabisa, mnapohukumu au kuikosoa serikali ina other words mnajisema wenyewe!
Hakuna asiyejua kuwa dini zetu siku hizi zimekuwa zikilinda waovu na ni vitovu vya uovu.
1. Mafisadi wako makanisani na misikitini na wanafahamika kwa majina yao,
2. wanaovaa nguo fupi za ajabu ajabu wako makanisani mwetu.
3. wachungaji wengi siku hizi wamehalalisha kufungisha ndoa za watu waliokwisha peana mimba, as if inaruhusiwa!
4. makanisa na misikiti hayajali watoto wa mitaani(wachache tu wanafanya hivi)
hakuna lolote hapo juu linaruhusiwa kibiblia......., tunaposema serikali inaruhusu utoaji wa mimba tunazungumzia watu, waliosaini ni watu walio misikitini na makanisani mwetu, in other words makanisa na misikiti bado havijawaconvince watu!
Tunachagua kipi kibaya na kipi kizuri, dhambi ipi kubwa na ipi ndogo! ili hali kila mmoja anastandard yake ya dhambi! though that we have standards( holy books) and that should be applicable anywhere,everywhere, anyhow, anycondition, to everyone! regardless of his or her status! do not compromise you know WHY!
Ikifika wakati kila mmoja akawa na standard yake, basi mwingine anaona kuiba kuku ni dhambi wakati mwingine anaona kutoa roho si dhambi ni kitu kidogo. Kuna uchafu mwingi unafanyika kwenye hizi religious group that they do not deserve anymore to be called so, other than social clubs etc.
inapofikia hapa ndio utawaona watu wanaojiita wakristo na waislamu, haya sasa Huxiang anasupport kwake sawa! sio mpagani huyu I guess!
MKJJ naona mbali(salute you, anatoa onyo) vingi vinakuja na watu watafurahi tu
Kama kawaida yetu kama alivyotuonyesha carter hapo juu, tutalalamika no action at all like all other days! YES, these are not new in TZ, people are eagerly waiting all these dirties.
Still more to come!
Mungu tusaidie, tusamehe, tupe nguvu ya kusimama katika kweli katika kila kitu.