Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

KQ ilikua inakuja Dar peke yake mara 5 kwa siku ukiachana na JRO/ZNZ

Uwezi kusema ni jambo la kawaida kwa KQ, ofcoz ni pigo kwa KQ
Ni pigo kwa KQ lakini ni pigo kubwa zaidi kwa Watanzania waliokuwa wanatumia Shirika hilo kwenda Ulaya, China na nchi nyingine za Mashariki ya Mbali maana mabawa ya madege ya ATCL yamenyonyoka hayawezi kuruka. Wasafiri toka Mikoa ya Kaskazini hawana shida wataendelea kusafiri kwa KQ kuanzia Nairobi Kama walivyozoea kwa kutumia Shattles za kila saa zikisafirisha watalii. Ngoja nikanunue viberiti toka Kenya vya kutosha maana haijulikani lini vitaingia Tena nchini kwani kiwanda cha Kibo Matches kilikufa miaka mingi. Bidhaa toka China ndo kwa heri labda wafanya biashara wetu waliokuwa wanaleta kwa KQ watumie nyungo.
 
Unaishi dunia gani wewe?
 
Tungeweza na kuzuia bidhaa zao kuingia huku kwetu ndo wangetambua kwamba soko la Tanzania ni muhimu sana kwa uchumi wao.
Kila duka limejaa bidhaa za Kenya, mpaka viwanda vyetu ninakufa.

Ndo tunapoelekea subiri mpaka j3 utapata majibu[emoji16]
 
Acha tu wapasuane ndo maisha waliyochagua, maana akili wanazo ila hawataki kuzitumia.
 
Mkuu

Hizi personal emotions hawa viongozi zinapowapanda na kutoa maamuzi kama haya,concequences zake ni far-reaching.

Kuna best way ya ku-address hili swala na economically ukawa ume-win pia.

Mawe kutokujali ni bliss ya ignorance yake. Mtu asiejua lolote hua hajali maana hajui.

Angekua anajua na anauelewa ange-solve intelligently...Too bad hajui 1+1.
 
Wewe si mkenya, haya nijibu basi nlichouliza kwenye reply apo ili nijue kama kweli hutetei mavi.
 
Ethiopian airlines ipo
 
Ndy hvy pande zote mbili watumie diplomasia. Kama kuumia wot tutaumia

Ova
 
Mmelikologa kulinywa mtalinywa mtake msitake ili siku nyingine mjifunze kuitumia akili zenu siyo za kushikiwa na mabwana zenu! Sisi tupo ladhi tupoteze hicho unachokiona lakini siyo heshima ya taifa letu Tz! Ukitaka kujua rejea historia ya Nduli Idd Amin...japokuwa uchumi haukuruhusu lakini kwa Kuwa hatupendi dharau...kilichofuata Amin hakuamini macho yake! Hivyo msifikiri mnaweza kubashiri retaliation plan ya Tz hata siku moja!
 
Brand ya KQ na jambo jet ni tofauti mkuu. Mtu anataka ubora akiikosa KQ atapanda Ethiopian airline at Rwanda air ila sio izo jambo bdo watapata damage loss Sana sababu ata ATCL Kenya sizani km zinatua
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
 
The importance of Tanzania to Kenya is not high.
i) Kenya exports to Uganda kes 67 billion, Kenya imports from Uganda +kes 29 billion.
ii) Kenya exports to Tanzania kes 27 billion, Kenya imports from Tanzania kes 11 billion.
iii) KQ flights to entebbe 5 daily, jambo jet 3 daily.
iv) KQ flights to dar 2 daily, jambo jet 0 but has licence to operate from JNIA since 2017.

Unaona kwa nini GOK kutoka kitambo huwahaigopi kukasirisha GOT na watanzania?
 
Wewe si mkenya, haya nijibu basi nlichouliza kwenye reply apo ili nijue kama kweli hutetei mavi.
Najibu nachotaka sio unachotaka wewe!

Sitetei mavi mimi, natoa my thinking on issues kufata katiba ya ubongo wangu na sio eti uraia wangu.

Uraia wangu hau-dictate ubongo wangu unavyofanya kazi.

Uraia wangu ni kipande cha ardhi walicho-define wanadamu wapumbavu kama mimi,hivyo hicho kipande cha ardhi hakiwezi vuruga ubongo wangu niseme 1 ni 2 wakati ni 1. Mimi sio kichaa wa namna hiyo mzee!
 
Hata huku wakenya wakufukuzwa wapo kibao
 
Wewe ni jinga kubwa lao. Hizo nchi ilizofungia umeona KQ ikiruka kwenda huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…