Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Pagumui sana hapaa! MKAPA ndo alikuwa anaweza kumshaurii Jiwe sasa hayupooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani diplomasia ya kenya na tz ipo pabayaa sanaa. Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa tz wataanza kutimuliwa kenya[emoji29][emoji29]

MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
Usiogope mzee wa kimasihara, tunae jembe kashika uskani hawamuwezi kwa lolote, kama Corona ilimshindwa hao kina nani.
 
Sawa,na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?

Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ,kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?

Watakuja tena?

Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
Umeambia hao watalii wanakuja na KQ kutoka huko kwao?
 
... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!

Mtu kama Hana uelewa na mambo ya aviation don’t comment au kuandika kitu ambacho hauna Utaalamu nacho
 
Kwani KQ kuja TZ walikuwa wanapanda wa Kenya tu ?
Hudhani kuwa kuna wa Tanzania Kibao wata loose katika hilo ?
Au unadhan KQ kuja Bongo hakuna Faida kwa TZ ?
Ndege za tz kwenda Kenya walikuwa wanapanda watz peke yao?
 
Ndio maana nakwambia, y'all need to go to the drawing board, uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua.

Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!

Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa,mizigo yote itakwamia hapo, na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.

Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa, is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?

This is chess and not checkers.

Unafahamu kwamba mwanzoni (Orodha ya jana) Tanzania ilikuwemo kwenye orodha ya nchi 11 ambazo ndege zake zilikuwa zinaruhusiwa kutua Kenya?

Hiyo orodha ilitoka jana na leo wamebadilisha na kutoa orodha ingine.

Kwa sababu zipi wamebadili uamuzi wa kuindoa Tanzania kwenye orodha na ni kwanini hawakushauriana na upande wetu?

Sasa nani hapa anacheza na uchumi?

This is just an initial stage of a diplomatic Tiff, just wait and see.
 
Ndio maana nakwambia, y'all need to go to the drawing board, uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua.

Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!

Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them, shida mmepaniki na kuchukulia personal, too bad Nairobi ni regional hub EA hapa, mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.

Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa, is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?

This is chess and not checkers.
Kwahiyo unadhani TZ haikuchambua kabla ya kuchukua hatua?! Hivi wewe unaionaje TZ...unadhani TZ hawafikiri...subirini muone...hiyo ya KQ ni Cha mtoto...more is to come.
 
Yaani Ni UJINGA ULIOJE tupigwe ban kwenda Kenya wao WAJE NI upumbavu hebu raise wangu usiwabembeleze Hawa wakenya. Kila nchi ile vya kwake!!!!?:"¢¥°✓©©¢°=÷¶×π•€¢¢€.....na
 
si
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Sijui kama unaelewa KQ ina abiria wengi sana Zanzibar hilo ni pigo kuu tena linaumiza kwa Kenya kuliko Tz kwa sababu Tz haina safari za NBI. Unajua KQ inategemea sana flight za nje sababu kenya haina viwanja vingi kwa ajili ya domestic flights kama Air Tanzania. Hii ni dalili ya kuvunjika tena EAC. TZ iimarishe jumuiya ya SADC Mwalimu aliiona hii hali na pia tukubali COMORO kujiunga na sisi jamhuri ya muungano wa Tanganyika, Zanzibar na Comoro yaani jamhuri ya TANZACOM
 
Tulivyoingia uchumi wa kati kiwewe kimewazidi zaidi. Kenya miaka yote inasimamia agenda za Magharibu za kuidhibiti Tanzania. Mwaka huu wamekutana na mtata!
Hizi ni vitu tumezoea kutoka Tanzania kutoka siku za nyerere. Usijifurahishe sana kwa vitu Kenya imezoea kutoka kwa Tanzania. Unadhani GOK haikujua mutafanya hivyo wakisema watanzania wasikubaliwe? Tunajua Kenya itafanya kitu alafu Tanzania ilete vikwazo ambazo ni kelele ya chura, imekuwa hivyo kutoka 1960's.
 
Agressions zote za nini hizi?

Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!

Wewe umejaza makorona nchini mwako, Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?

Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu.

Cheza chess hii!

Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Kwani na Kenya si mmejaza makorona pia? Sasa kwanini iwe nongwa TZ wakizuia Kenya kuingia TZ?

Mna nini nyie ambacho mabeberu hawana ata ikawa wao wanakuja Tanzania na kuruhusu anaetoka TZ kuingia nchini mwao?

Eti kuna namna nzuri ya ku address what Kenya did, Unafiki tu ndio namna pekee ya ku address what Kenya did.

Hapa kwetu Zanzibar tayari tumeanza kupokea watalii na wana enjoy, Ivi saiv ni kipindi cha kite surfing, wapo wanachana waves, uku Kenyas mkiendekeza upumbavu.

Unajua mimi hadi sasa sijapata jibu, kwanini Serikali yenu imeweeka Curfew? Yaani mchana hupati Corona kweli?
 
Inabidi serikali iende mbele zaidi kwa kuharamisha takataka zote zinazoingia kutoka Kenya (bidhaa na raia).

Ukikutwa na chochote "made in Kenya" au kimethibitishwa na KEBS ni uhujumu uchumi.

Na hii sheria isiishie tu kipindi hiki cha mpito,😁 Viongozi waape kuilinda kama ilivyo kwenye kuulinda Muungano.

Newton's 3rd Law of motion on a straight line inahitaji amendment, ACTION AND REACTION hazipaswi kuwa equal.
Newton alitaka kubalance! Basi hapa tunabalance!
 
Kenya wanajionaga wao ni special sana,wanajiona wazungu weusi. Kwa Magu-full stop, watapapaswa kila kona. kubabake
 
Unafahamu kwamba mwanzoni (Orodha ya jana) Tanzania ilikuwemo kwenye orodha ya nchi 11 ambazo ndege zake zilikuwa zinaruhusiwa kutua Kenya?

Hiyo orodha ilitoka jana na leo wamebadilisha na kutoa orodha ingine.

Kwa sababu zipi wamebadili uamuzi wa kuindoa Tanzania kwenye orodha na ni kwanini hawakushariana na upande wetu?

Sasa nani hapa anacheza na uchumi?
Kwani Ni vibaya nchi kuipiga ban Tanzania?

Mbona Kuna nchi kibao zimeipiga ban Tanzania kwenye travel advisory zao na hamjathubutu kuzizuia na zenyewe pamoja na raia wao.
 
Fursakibao,

Ndio wanakuja na KQ kutoka huko kwako.

Wakija na ndege kubwa wanaishia Nairobi, DSM hua ndege kubwa haziji.

Hivyo long route ni mpaka Cape Town au J'burg, ambapo hiyo trip ya kuja TZ mtalii hafanyi ni ufala.

Hujasemea mizigo, unaelewa mizigo inayokuja kwa ndege kupitia Swissport inachangia GDP ya nchi kiasi gani na 90% inapitia Nairobi.

Kama ni hivyo jibu mamlaka ililochukua ni jepesi sana,lazima majawabu yawe backed na financial projections kama economics zipo upande wetu au la.

Tatizo viongozi wengu wanaendeshwa na ukichaa.....
 
Ndio maana nakwambia,y'all need to go to the drawing board,uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua.

Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!

Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa,mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.

Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa,is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?

This is chess and not checkers.

Kwa nchi rafiki na kiungwana wangesema sababu

Pili wangesema muda likely wa kuzifungua

Tatu wangesema sio TZ tu ni nchi nyingi

Huyu ni JPM, he dont care na hao Kenya wanatutegemea sana kuliko unavyodhania, raw materials za viwanda vya kenya yanatoka TZ, chakula kenya haijawahi kujitosheleza, SOKO la bidhaa zao liko TZ

Wao hawafikirii haya?

Kwanini jirani yako unam-treat kama yuko Asia?

Wamekosea
 
Back
Top Bottom