Ndio maana nakwambia, y'all need to go to the drawing board, uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua.
Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!
Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them, shida mmepaniki na kuchukulia personal, too bad Nairobi ni regional hub EA hapa, mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.
Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa, is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?
This is chess and not checkers.