Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Kwahio wewe ulitaka au ungefurahi kuona Kenya imefanya uamuzi sahihi?

Halafu ulitaka Tanzania ianze kuomba mazungumzo?

Don't be a pleb man, I trust you on this one.

Ndio maana nakwambia,y'all need to go to the drawing board,uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua..

Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!

Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa, mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.

Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa, is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?

This is chess and not checkers.
 
Ila ule wa Kenya utafanya mfurahi?

G Sam ni mjinga sana jamaa maana alikuja na orodha ambayo tayari ipo edited kwamba Tanzania imo kwenye zile nchi 11 ambazo ndege zake zinaruhusiwa kutua Kenya.

Kwa malengo yake yaleyale ya kijinga akaja na orodha ambayo haionyeshi Tanzania ikiwemo.

Hawa wapinzani wa Tanzania bure kabisa.
 
Mabeberu wameamua kupitia kwa jirani ili waingilie mlango wa nyuma baada ya mbele. Na huko washashindwa.
 
sema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda entebbe, Jambo jet mara 3 kwa siku kuenda Entebbe.

Hata kibiashara, Kenya inafanya biashara mingi na uganda na rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya kenya na uganda ni karibu mara tatu kati ya kenya na Tanzania.
Ugali mnaokula Nairobi na mombasa unatoka wapi? Subiri jumatatu kibano kina kuja mpaka muombe poo. JK aliwahi kuwapiga pini na KQ mbona mlikimbia faster kuomba poo.
 
Ni kweli Tanzania hatupimi korona , Hilo hatukatai Ila uamuzi wa Kenya kutuzuia kutumia ndege zao ulikuwa rough vile vile ,
Busara ilikuwa Watupime tu the way wanavyotaka wao, Ila sio kutu isolate
 
Safi sana! Jino kwa jino ni mahali pake kwa uhusiano huu wa kinafiki kati ya Tanzania na Kenya. Hii inanikumbusha mwaka 1976/1977 walivyoanza chokochoko na kupelekea kuvunjika kwa Jumuia kongwe ya Afrika Mashariki.

Mamlaka ya anga Tanzania iende mbele zaidi kwa kuizuia Precision Air kwenda Kenya pia, maana huo ndio mwanya uliobaki, kwani KQ wana ubia huko. Kama mbwai na iwe mbwai.
 
Jambo jet inatua TZ? Kwanza ulishawahi kupanda ndege au unahadithiwa tu?
It has the license to operate flights to dar but was stretched due to capacity with high demand in the entebbe, kigali and bujumbura routes.

To your question, yes I have 400,000 flying blue points on due to my travels in africa and scandinavia.

You should be more concerned with why Kenya always does not hesitate to put restrictions on Tanzania than my flying history.
 
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imefuta kibali cha ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua katika viwanja vya ndege vya Zanzibar, Dar es Salaam na Kilimanjaro kuanzia tarehe 1 Agosti 2020. Maamuzi haya yametolewa kama majibu (reciprocal basis) kutokana na maamuzi yaliyochukuliwa na serikali ya Kenya ya kuzuia ndege kutoka shirika la ATCL (Air Tanzania Company Limited) kuingia nchini Kenya kwa madai ya kuanza kuruhusu nchi zenye maambukizi madogo ya corona.

Maelezo zaidi yametolewa kwenye barua hii iliyoambatanishwa.

View attachment 1523057
Tulivyoingia uchumi wa kati kiwewe kimewazidi zaidi. Kenya miaka yote inasimamia agenda za Magharibu za kuidhibiti Tanzania. Mwaka huu wamekutana na mtata!
 
Back
Top Bottom