Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hili suala nilikuwa naliwaza sana. Hapo watu wajiandae kisaikolojia tuNa hivi yule aliyekuwa AMEISHIKILIA ILE KAMBA YA SHINGO ame dead, basi tutaona mengi, na ya hatari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili suala nilikuwa naliwaza sana. Hapo watu wajiandae kisaikolojia tuNa hivi yule aliyekuwa AMEISHIKILIA ILE KAMBA YA SHINGO ame dead, basi tutaona mengi, na ya hatari!
Huyu jamaa ni mtz, yaani mpumbavu Sana mkuu!Good question you put for him, let wait for his answer.
Comment bora kabisa kwenye Comment nilizosoma kwenye huu uziSisi Waafrika ni masikini lakini bado tunawekeana vikwazo vya kiuchumi, **** that!
... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!
Hivi ulitegemea Tanzania ifanye nini baada ya serikali ya Kanya kuzuia watanzani kuingia Kanya?
I always tell you reading is good.KQ ina operate 5 flights per day,32 flights week and 128 flights per month in Dar only achana na znz and KIA kwahiyo wao wanajua watapoteza revenue kubwa compared to Entebbe and Kigali
Kwasababu hakuna makubaliano ya KQ kutoka Mombasa au kisumu kutua Tanzania.... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!
Hebu mtueleze, mnapima CVD lakini dawa hamkonayo hii nikucheza ngoma ya mabeberu. Mkuu wenu amechukua fedha za Covid hivyo lazima mfanye wanavyotaka.Agressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....
Cheza chess hii!
Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Sawa, na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?Ims orry to say this , hatua walochukua Kenya kuzuia ndege za Tanzania ni ya kihuni kwani wanakuwa watatujaribu "our patience".
Zama hii hakuna masuala ya kujaribujaribu ni kazi tu.
Sasa huko nyuma ya pazia tunangojea simu zimiminike kuomba radhi na mda si punde kutarekebihswa.
Comment nyingine yenye akili kwenye huu uzi ni hiiAgressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....
Cheza chess hii!
Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Anadhani WajingaKwasababu hakuna makubaliano ya KQ kutoka Mombasa au kisumu kutua Tanzania.
So wakitaka hyo route lazima KQ waombe Tanzania which is the same...WATAKALIWA.
Trust me hao watu wanaakili na wanajua sheria za aviations (wako makini mno na sio kama unavodhani)
Kauli ya Jaguar kipindi kile ilikuwa bado haijakomaa (ilikuwa njiti). Sasa imekomaa.wa tz wataanza kutimuliwa kenya
Wewe hufuatilii mambo unapiga domo tupu, kumbuka wakati wa Kikwete kulipitokea matatizo ndio alipotishia kupunguza safari za KQ toka 5per day hadi 14 per week, haraka sana Uhuru Kenyatta akakutana na Kikwete safari zikarudishwa kama kawaida. Wewe kama upo na ushahidi kwamba Safari ni 14 per week tuwekee ushahidi.Boss hizi vitisho zenu hazikuanza leo na Kenya haijashtuka. 2015 GOT ilipunguza frequency ya KQ kuingia Dar kutoka 5 kwa siku mpaka 14 kwa wiki. Wiki iko na siku ngapi 7, haya fanya 14/7=2. Hesabu rahisi hiyo.
Nani anapima Covid-19?Hebu mtueleze,mnapima CVD lakini dawa hamkonayo hii nikucheza ngoma ya mabeberu
Nisawa haina shida. Ila Kwanini wawe waanzilishi wa migogoroUrafiki wa Kenya na Tanzania ni wa Mashaka.
Baadaye utasikia Uhuru kampigia simu Magufuri, pamoja na kumpa Pole wakatoa Maelekezo Kwa Wasaidizi wao waondoe Zuio la Ndege!
Narudia tena wewe una akili nyingi sana. Uwezo wako wa kuona mbali ni mkubwa sana. You truly deserve to be in this forumSawa,na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?
Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ, kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?
Watakuja tena?
Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
Mbona povu linakutoka imejibu mamlaka ya anga tena director general sasa ikifika zamu ya wizara kujibu simutakunya.Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
Mmmh inaelekea age yako ni ya ujana. Msuguano wa Kenya na Tanzania ni wa enzi na enziKuna siku kitanuka tu tusipokuwa makini, kuna kindege au helicopter kitapata hitillafu iwe kama WW1 na Sarajevo assassination.
Hizi nchi za Kenya na Tz ni kama China na USA kwa sasa