Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!

Hakuna walipokosea. Hio Route haikuwepo kwahiyo wakitaka zianzie huko inabidi waje waombe upya hio route.

Ni kama ruti za daladala tu. Ukiwa na Ruti ya Kimara -Posta ukaenda fyongo inayofungwa ni hicho kibali chako cha ruti husika na huwezi sema utapaki basi lianzie Ubungo upeleke Posta kwakua Kimara Posta imefungwa bali inapaswa kwanza uombe hio ruti.
 
KQ ina operate 5 flights per day,32 flights week and 128 flights per month in Dar only achana na znz and KIA kwahiyo wao wanajua watapoteza revenue kubwa compared to Entebbe and Kigali
I always tell you reading is good.

ECONOMY
KQ cuts flights to Dar over Kenya-Tanzania diplomatic row

Kenya Airways has lost two thirds of its flights to Dar es Salaam after Tanzania imposed frequency restrictions over a diplomatic row between the two countries.

The national carrier, which on Tuesday retired 10 of its senior pilots early in an attempt to cut costs, said in a statement that it was reducing its weekly flights to Tanzania from 42 to 14 effective immediately.

“Kenya Airways wishes to notify its customers that it has reduced its frequencies to Dar es Salaam from 42 to 14 per week and will now only fly twice daily from March 19, 2015.
 
... nullification ni KQ originating from Nairobi to Dar/Kilimanjaro/Zanzibar. So, ikianzia Mombasa, Kisumu, Eldoret (all international airports) or elsewhere apart from Nairobi naona itaruhusiwa. Sijui kwani wasomi wetu hawako makini na vitu vidogo lakini vya msingi kama hivi!
Kwasababu hakuna makubaliano ya KQ kutoka Mombasa au kisumu kutua Tanzania.

So wakitaka hyo route lazima KQ waombe Tanzania which is the same, WATAKALIWA.

Trust me hao watu wanaakili na wanajua sheria za aviations (wako makini mno na sio kama unavodhani)
 
Agressions zote za nini hizi?

Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!

Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?

Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....

Cheza chess hii!

Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Hebu mtueleze, mnapima CVD lakini dawa hamkonayo hii nikucheza ngoma ya mabeberu. Mkuu wenu amechukua fedha za Covid hivyo lazima mfanye wanavyotaka.
 
Ims orry to say this , hatua walochukua Kenya kuzuia ndege za Tanzania ni ya kihuni kwani wanakuwa watatujaribu "our patience".

Zama hii hakuna masuala ya kujaribujaribu ni kazi tu.

Sasa huko nyuma ya pazia tunangojea simu zimiminike kuomba radhi na mda si punde kutarekebihswa.
Sawa, na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?

Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ, kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?

Watakuja tena?

Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
 
Agressions zote za nini hizi?

Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!

Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?

Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....

Cheza chess hii!

Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Comment nyingine yenye akili kwenye huu uzi ni hii
 
Urafiki wa Kenya na Tanzania ni wa Mashaka.

Baadaye utasikia Uhuru kampigia simu Magufuli, pamoja na kumpa Pole wakatoa Maelekezo Kwa Wasaidizi wao waondoe Zuio la Ndege!
 
Kwasababu hakuna makubaliano ya KQ kutoka Mombasa au kisumu kutua Tanzania.

So wakitaka hyo route lazima KQ waombe Tanzania which is the same...WATAKALIWA.

Trust me hao watu wanaakili na wanajua sheria za aviations (wako makini mno na sio kama unavodhani)
Anadhani Wajinga
 
Boss hizi vitisho zenu hazikuanza leo na Kenya haijashtuka. 2015 GOT ilipunguza frequency ya KQ kuingia Dar kutoka 5 kwa siku mpaka 14 kwa wiki. Wiki iko na siku ngapi 7, haya fanya 14/7=2. Hesabu rahisi hiyo.
Wewe hufuatilii mambo unapiga domo tupu, kumbuka wakati wa Kikwete kulipitokea matatizo ndio alipotishia kupunguza safari za KQ toka 5per day hadi 14 per week, haraka sana Uhuru Kenyatta akakutana na Kikwete safari zikarudishwa kama kawaida. Wewe kama upo na ushahidi kwamba Safari ni 14 per week tuwekee ushahidi.
 
Urafiki wa Kenya na Tanzania ni wa Mashaka.
Baadaye utasikia Uhuru kampigia simu Magufuri, pamoja na kumpa Pole wakatoa Maelekezo Kwa Wasaidizi wao waondoe Zuio la Ndege!
Nisawa haina shida. Ila Kwanini wawe waanzilishi wa migogoro
 
Sawa,na wewe kuzuia ni economically viable kwako au unakurupuka?

Kumbuka Nairobi ni international hub mizigo na watalii wote wanatumia route ya Nairobi kuja TZ, kwahiyo unawalazimisha waende Cape Town ndio waje TZ?

Watakuja tena?

Pigeni hesabu ya hasara na financial projections muone kama ni economically meaningful kwenu acheni bangi za Chato!
Narudia tena wewe una akili nyingi sana. Uwezo wako wa kuona mbali ni mkubwa sana. You truly deserve to be in this forum
 
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
Mbona povu linakutoka imejibu mamlaka ya anga tena director general sasa ikifika zamu ya wizara kujibu simutakunya.
 
Kuna siku kitanuka tu tusipokuwa makini, kuna kindege au helicopter kitapata hitillafu iwe kama WW1 na Sarajevo assassination.
Hizi nchi za Kenya na Tz ni kama China na USA kwa sasa
Mmmh inaelekea age yako ni ya ujana. Msuguano wa Kenya na Tanzania ni wa enzi na enzi
 
Hivi bendera ya Kenya bado ipo nusu mlingoti? Kama hapana, je! Wakati wanatupiga ban, ilikuwa nusu mlingoti..!?
 
Back
Top Bottom