Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Sasa mkuu,ni vizuri ukajua hapa duniani watu tumetofautiana sana.Kiongozi unatumia fikra gani kuandika hoja zako. Unaonekana una hoja nzuri ila unavyoandika kishabiki unaharibu sana. Kosoa au pongeza kwa hoja inayoeleweka. Sasa unaandika tu ukichalenjiwa unakasirika. Huitendei haki Jamii forum.
Mimi ubishani wangu kwenye mijadala ni tofauti na wewe na yule
Obviously sikufurahishi ninavyoongea humu, which is okay,na sio lazima nifurahishe yeyote.
Ushabiki umesemea wewe.
Sema hivi nimetoa maoni kinyume na ulivyotarajia wewe which is not my fault,it is your faulty because you own your expectations.
Kwani kukasirika ni tatizo?