Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Sasa mkuu,ni vizuri ukajua hapa duniani watu tumetofautiana sana.Kiongozi unatumia fikra gani kuandika hoja zako. Unaonekana una hoja nzuri ila unavyoandika kishabiki unaharibu sana. Kosoa au pongeza kwa hoja inayoeleweka. Sasa unaandika tu ukichalenjiwa unakasirika. Huitendei haki Jamii forum.
Maxungumzo kwenye Corona?Rais wako kakurupuka kwenye hili, angeweza kuonyesha busara kwa kuomba mazungumzo.. utadhania alikua anasubiria Kenya wachemke awafundishe ujeuri! Sijui nani kamshauri kufanya hivi, yaani anasahau Kama ni yeye ndie alitoa tausi! Lol
We acha uongo Dar to NBO ni moja ya route kubwa kwa KQ baada ya JNB na EBB.Huwa nawaambia muache kujidangaya umuhimu wa Tanzania kwa Kenya. Route yenye pesa mingi kwa KQ in eac ni NBI-Mombasa, na NBI-entebbe. Hiyo ya dar imekuwa pocket change. Uganda ikifunga hapo ndiyo Kenya itauumia na GOK inajua hivyo ndiyo kwa sababu huwa haiogopi kuwekea Tanzania vikwazo kila wakati kutoka 1960's.
MkuuKuna ethiopia airlines usijione ww ndo ki la kitu auu unazan KQ pekee ndo inatua tz
Kama nairobi ndo regional hub Addis Ababa itakuaje?Brother wewe ndio insane sana yaani!
KQ ni ndege,na JKIA ni kitu kingine.....KQ ni nearly dead....forget about it..
Nazungumzia JKIA ndio hub ya EA na ndio ndege zote duniani zinatua pale then ndio J'burg
Wewe umepeleka matako kuzungumzia KQ which shows how stupid you are.
Tumenyimwa access ya JKIA,thats the issue wewe kiazi
Muwaonee huruma hata kidogo basi[emoji23].Tena wasinuse bongo tena
Maamuzi yetu ni yetu, nyie mnaoelekezwa kwa remote ngonja tuwaonyeshe njia! Yaani bado kujifunza Kuwa Tz huwa inafanya maamuzi yake!? Hebu jitunzeni kwenye corona pandemic linaloendelea kuwapukutisha huko![emoji23][emoji23]sijaona other nations zikireact hivi apart from tz, the bitterwoman
SANA.Nikisema hizi nchi mbili zote zinachezeshwa kwata la beberu nitakuwa nakosea?
Maxungumzo kwenye Corona?
Hebu weka hiyo orodha ya Jana tanzania ikiwa haimoJana Kenye ilitoa orodha ya nchi 11 Tanzania ikiwemo orodha mpya imetoka
leo.
Hatua ilochukua Tanzania imetokana na ukigeugeu wa Kenya.
Bro, Ethiopia na the rest ot EA combined bado JKIA anatuacha mbaliKama nairobi ndo regional hub Addis Ababa itakuaje?
Nyie ni washenz sasa sisi ni washenz square tutawafurahisha[emoji23][emoji23]sijaona other nations zikireact hivi apart from tz, the bitterwoman
Naona hauna habari ama ni kutoweza kusoma
i) August 2019 KQ revenues shot up 41% to kes 114 billion,
ii) 29 May 2020 revenues shot up 12% to kes 128 billion driven by cargo.
This means while it makes losses, revenues are growing every year.
Kenya Airways revenue jumps 12% | News | TAL Aviation
Kenya Airways revenues up 41% to KShs114 bln, boosted by growth in passenger revenue, cargo and ancillary services - AfricanFinancials
Kuna matanzania hayajawahi kufika hata Zanzibar hapo ndio yanashabikia huu upuuziNi pigo kwa KQ lakini ni pigo kubwa zaidi kwa Watanzania waliokuwa wanatumia Shirika hilo kwenda Ulaya, China na nchi nyingine za Mashariki ya Mbali maana mabawa ya madege ya ATCL yamenyonyoka hayawezi kuruka. Wasafiri toka Mikoa ya Kaskazini hawana shida wataendelea kusafiri kwa KQ kuanzia Nairobi Kama walivyozoea kwa kutumia Shattles za kila saa zikisafirisha watalii. Ngoja nikanunue viberiti toka Kenya vya kutosha maana haijulikani lini vitaingia Tena nchini kwani kiwanda cha Kibo Matches kilikufa miaka mingi. Bidhaa toka China ndo kwa heri labda wafanya biashara wetu waliokuwa wanaleta kwa KQ watumie nyungo.
Kushangilia aya ni kua mpuuzi kama hao wanasababisha ayaWakenya inatakiwa mtambue hii awamu haibipiwi ovyo wala haitaki mchezo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kazi tu.
Kenya Airways ilikua inakuja Dar mara 5 kwa siku saa 2 asubuhi, saa 4 asubuhi, saa tisa mchana saa mbili usiku na saa saba usiku hapo sijazungumzia KIA wala ZanzibarHAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.