Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Kenyans sijui wana shida gani. Wanakuzuia usiingie kwao kwa ajili ya corona, na wewe unasapoti uamuzi wao kwa kuwazuia na wao wasije huku kwenye corona unashangaa wanazagaa mtandaoni kulalamika.
 
Maamuzi yetu ni yetu...nyie mnaoelekezwa kwa remote ngonja tuwaonyeshe njia! Yaani bado kujifunza the Kuwa Tz huwa inafanya maamuzi yake!? Hebu jitunzeni kwenye corona pandemic linaloendelea kuwapukutisha huko!
Maamuzi yenu na wakati mnatuonea donge vile sisi tumefunga, yani watanzania km wake wwnza vile[emoji23][emoji23][emoji23]

Kila kitu mume hata akiwafanyia wote bado kuna mke mmoja atajishukushuku sana
 
Kwahiyo Kanya mkiamua kuchukua maamuzi yenu dhidi ya Tanzania "Unilaterally", hiyo kwako unahisi ni haki, lakini Tanzania ikiamua kufanya kilekile kilichofanywa na Kanya unadhani sio sawa?. Kweli ninyi ni watu wa ajabu Sana.
Kwn hayo maamuzi ni kw Tanzania pekeake, yani nchi sai inapelekwa kitaarabu taarabu vile
 
Kuna umuhimu wa nchi hii.. wananchi asilimia kubwa.. watumia mitandao kufundishwa.. kuacha kukurupuka.. kisa kutaka mizozano.. bila kutafuta.. info zilizotolewa.. watendaji nao.. wengine wanafata ya mitandaoni.. bila kujiongeza wao kwanza.. dah!!!

Musubiri ukweli wa huko ulitolewajwe..
 
Hakuna haja, ni kuwapa makavu tu kilichosababisha ni uamuzi wao wa kinafiki.
 
Hivi ni flights za Tanzania pekee zimezuliwa kutua Kenya? Nchi nyingi zimo kwenye zuio ,je zimejibu vipi zuio?
Kumbuka Sisi ni washirika wao wa EAC, kutuzuia ni kama dharau/unafiki. Leo hii TZ ikizuiwa hata na Malawi sio ishu sana kama Kenya kutuzuia. Ni kama jirani wako kabisa mnayesali wote Jumuiya asikualike kwenye harusi yake
 
Safari hii kenya kakanyaga miwaya ya high tension 220kv sijui kama atapona. Yetu macho, mtoto akililia wembe acha umkwangue. Jpm habari tofauti linapokuja swala nchi inayoitwa Tanzania
 

Watimuliwe hivi ndio nyie wakina membe wanaona wanawahitaji wazungu. Africans africans.
 
Sasa acha wajifunze toka Tanzania nini maana ya maslahi, yaani hapa ndiyo utawajua watanzania kuwa uki
Wewe unaongelea KQ kuna fimbo zaidi xinakuja mpaka myooke manyang'Au nyie.Yaani hìiiiiiiiiiiiiii yaya gete
 

Wewe ndio huna akili. Hama nchi mzee. Hutaki nyamaza.
 
hongera sana mzee kenyatta! wazeee wa korona hoiii!😂 waendelee kujifukiziaa tu ndani ya atcl...full maombezi humoo..koronaa kiboko ya mswahili..😂
Mwenzake huku anatembea mitaani mpaka anapoke kuku za wanakijiji, anakatiza daraja la zaidi ya mita mia tisa na walinzi wake bila barakoa, watanzania wanafurika kwenye safari ya mwisho ya mkapa bila barakoa, so far hatujasikia concern yeyote negative kuhusu afya na ukumbuke kuwa maradhi hayafichiki still unaguts za kuinyoshea kidole Tanzania kuhusu Corona. China kwenye chimbuko wamepewa kibali mapema namna hiyo? Something fishy gwan around.
 
[emoji23][emoji23]sijaona other nations zikireact hivi apart from tz, the bitterwoman
Kipindi hiki Sera za Tanzania ziko implemented to the maximum, Kenyans you have always been Nyang’ausi, kuna rhymes flani za Rapper from Tzee who also happens to be member of one of the opposition parties anasema “Dawa ya jeuri ni kiburi”

Unfortunately, Magufuli is precisely the right opponent of Kenya’s system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…