Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Maamuzi yetu ni yetu...nyie mnaoelekezwa kwa remote ngonja tuwaonyeshe njia! Yaani bado kujifunza the Kuwa Tz huwa inafanya maamuzi yake!? Hebu jitunzeni kwenye corona pandemic linaloendelea kuwapukutisha huko!
Maamuzi yenu na wakati mnatuonea donge vile sisi tumefunga, yani watanzania km wake wwnza vile[emoji23][emoji23][emoji23]

Kila kitu mume hata akiwafanyia wote bado kuna mke mmoja atajishukushuku sana
 
Kwahiyo Kanya mkiamua kuchukua maamuzi yenu dhidi ya Tanzania "Unilaterally", hiyo kwako unahisi ni haki, lakini Tanzania ikiamua kufanya kilekile kilichofanywa na Kanya unadhani sio sawa?. Kweli ninyi ni watu wa ajabu Sana.
Kwn hayo maamuzi ni kw Tanzania pekeake, yani nchi sai inapelekwa kitaarabu taarabu vile
 
Kuna umuhimu wa nchi hii.. wananchi asilimia kubwa.. watumia mitandao kufundishwa.. kuacha kukurupuka.. kisa kutaka mizozano.. bila kutafuta.. info zilizotolewa.. watendaji nao.. wengine wanafata ya mitandaoni.. bila kujiongeza wao kwanza.. dah!!!

Musubiri ukweli wa huko ulitolewajwe..
 
Ilitakiwa iandikwe hivi "Due to the persistence of the corona epidemic in Kenya where it is clear that the Kenyan government has failed to control it so the Tanzanian government has decided to use discretion not to allow any flights from Kenya that are Nairobi or Mombasa even kisumu especially for airlines that transport passengers from kenya such as KQ Jambo jet and even Precision air this implementation will involve the transportation of passengers in those airlines that plan to transport passengers to our airports especially Dar es salaam Kia & Arusha as well as Mwanza this ban officially starts tomorrow 01 -08-2020"
Hakuna haja, ni kuwapa makavu tu kilichosababisha ni uamuzi wao wa kinafiki.
 
Hivi ni flights za Tanzania pekee zimezuliwa kutua Kenya? Nchi nyingi zimo kwenye zuio ,je zimejibu vipi zuio?
Kumbuka Sisi ni washirika wao wa EAC, kutuzuia ni kama dharau/unafiki. Leo hii TZ ikizuiwa hata na Malawi sio ishu sana kama Kenya kutuzuia. Ni kama jirani wako kabisa mnayesali wote Jumuiya asikualike kwenye harusi yake
 
Halafu nimegundua huu umoja wa Africa au East Africa ni kama picha tu. Kwenye matatizo kila mtu kivyake na bado wanafungiana anga.
Ulaya niliona kina Macron,Angela na wenzao walikesha kufanya vikao ili watoe hela kwenye mfuko wa umoja wao ili ku push uchumi. Kuna nchi kama Finland na Uholanzi zilikuwa zinapinga ila mwisho wa siku walikubalina.

EU pia ndo ilikubalina nchi mwanachama zinafungua anga kwa nchi zipi ambazo zipo nje ya EU.
Inashanganza kwa kweli kuona jirani Kenya na Tanzania wanafanyiana hivyo.
Safari hii kenya kakanyaga miwaya ya high tension 220kv sijui kama atapona. Yetu macho, mtoto akililia wembe acha umkwangue. Jpm habari tofauti linapokuja swala nchi inayoitwa Tanzania
 
Pagumui sana hapaa...!! MKAPA ndo alikuwa anaweza kumshaurii Jiwe sasa hayupooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani diplomasia ya kenya na tz ipo pabayaa sanaa. Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa tz wataanza kutimuliwa kenya[emoji29][emoji29]

MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.

Watimuliwe hivi ndio nyie wakina membe wanaona wanawahitaji wazungu. Africans africans.
 
Halafu Uhuru na serikali yake wana copy hatua zote za U.K za kupambana na Covid 19.

U.K walipo weka Lockdown na Kenya nao wakafata mkumbo. Walipoondo lockdown na Kenya nao wakafuata. Sasa hivi UK wapo kwenye mgogoro na Spain kuhusu quarantine na travel ban, Kenya nao wame copy.

Kenya wapo obsess na UK kama mademu wao walivyo obsess na vibabu vya kizungu!!
Sasa acha wajifunze toka Tanzania nini maana ya maslahi, yaani hapa ndiyo utawajua watanzania kuwa uki
Aki unajidanganya. 10% ya mapato ya KQ inatoka Kenya ie NBI-Mombasa, NBI-Kisumu, NBI-eldoret. KQ inapiga route zaidi ya 45 sasa afrika nzima ukitoa Kenya ambayo ni 48% ya mapato ya KQ, hiyo ingine ni middle east, asia, north america, britain na europe. Haya hebu eleza jinsi KQ itapoteza kwa kukatazawa kuingia Tanzania?
soma taarifa za KQ hizi hapa ya 2018 na 2019.

https://corporate.kenya-airways.com/investors-and-shareholders/annual-reports/en/
Wewe unaongelea KQ kuna fimbo zaidi xinakuja mpaka myooke manyang'Au nyie.Yaani hìiiiiiiiiiiiiii yaya gete
 
Agressions zote za nini hizi?

Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!

Wewe umejaza makorona nchini mwako,Kenya lazima wachukue hatua,and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?

Majibu yaliyofeli shule bwana,hesabu ngumu hayawezi,yanaweza hesabu rahisi rahisi tu....

Cheza chess hii!

Ndio shida na huu utawala,hautumiagi akili katika higher levels kabisa!

Wewe ndio huna akili. Hama nchi mzee. Hutaki nyamaza.
 
hongera sana mzee kenyatta! wazeee wa korona hoiii!😂 waendelee kujifukiziaa tu ndani ya atcl...full maombezi humoo..koronaa kiboko ya mswahili..😂
Mwenzake huku anatembea mitaani mpaka anapoke kuku za wanakijiji, anakatiza daraja la zaidi ya mita mia tisa na walinzi wake bila barakoa, watanzania wanafurika kwenye safari ya mwisho ya mkapa bila barakoa, so far hatujasikia concern yeyote negative kuhusu afya na ukumbuke kuwa maradhi hayafichiki still unaguts za kuinyoshea kidole Tanzania kuhusu Corona. China kwenye chimbuko wamepewa kibali mapema namna hiyo? Something fishy gwan around.
 
[emoji23][emoji23]sijaona other nations zikireact hivi apart from tz, the bitterwoman
Kipindi hiki Sera za Tanzania ziko implemented to the maximum, Kenyans you have always been Nyang’ausi, kuna rhymes flani za Rapper from Tzee who also happens to be member of one of the opposition parties anasema “Dawa ya jeuri ni kiburi”

Unfortunately, Magufuli is precisely the right opponent of Kenya’s system.
 
Back
Top Bottom