China ipo kwenye list ya nchi zilizoruhusiwa kuingia Kenya , kimezingatiwa kitu gani?Kupenda masomo ni mzuri sana. Rwanda, Uganda na ethiopia wako kwa list ya kuingia kenya kupitia anga. kwa eac ni Tanzania na burundi ndiyo wamekatazwa.North america ni Canada na wamarekani kutoka california .
Tafadhali soma kabla ya kuandika usizozijua.
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!
Pagumu sana hapa! MKAPA ndo alikuwa anaweza kumshaurii Jiwe sasa hayupooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani diplomasia ya kenya na tz ipo pabayaa sanaa. Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa Tanzania wataanza kutimuliwa Kenya.[emoji29][emoji29]
MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
Saaafi. Wabakie na corona yao. Lkn katazo lingesema kabisa kuwa hakuna raia wa kenya kuruhusiwa kuingia Tanzania, maana wao wamesema nationals wa Tanzania hawatakiwi kutua Kenya. Au walisahau?Akikupiga ngumi ya Sikio halafu anakuuliza Umeskiaje, Wewe Mpige ya Jicho tu halafu muulize ameonaje.
View attachment 1523067
hapo hajamwaga ugali amemwaga maji mboga na ugari wjaja wamekimbia navyoSerikali ya Tanzania yaipiga KQ Airways kutua nchini
"Wakimwaga ugali tunamwaga mboga"
"Magufuli baba lao"View attachment 1523058View attachment 1523059
Kumbuka mlicho tufanyia 1977 kuhusuAgressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako, Kenya lazima wachukue hatua, and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana, hesabu ngumu hayawezi, yanaweza hesabu rahisi rahisi tu.
Cheza chess hii!
Ndio shida na huu utawala, hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Kuna watu wanapenda ugomvi, sasa mnashangilia ninin yaani. EAC hiyo inavunjika. Soon mabalozi watatimuana kama vile naona soon
Agressions zote za nini hizi?
Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!
Wewe umejaza makorona nchini mwako, Kenya lazima wachukue hatua, and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?
Majibu yaliyofeli shule bwana, hesabu ngumu hayawezi, yanaweza hesabu rahisi rahisi tu.
Cheza chess hii!
Ndio shida na huu utawala, hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Ukiwa mpinzani unaweza ukatoa siri za nchi ili kumkomoa anaye tawala[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama uko fair utakumbuka ni kiasi gani Magu kawatetea wakenya tangu ishu ya corona ianze. Mara ngapi kabatilisha amri za wakuu wa mikoa inayopakana na Kenya kwa mfano akisisitiza mahusiano mema? Tuache unafiki. Uamuzi wa Kenya kuzuia ndege zetu ni wa kitoto na kijinga sana.Aiseee Uhusiano wa Kidiplomasia awamu hii ya "MTU FURANI" ni mbaya sana,Ni mbaya sana kwa EAC kufanyiana hivyo sisi ni majirani,tuondoe tofauti zetu na wakenya,tunaanza kuzuia ndege ,kesho kutwa tutaanza kufukuza raia walio kenya/tz kurudi makwao!! Naona ndipo tunapoelekea.
Magu keshawasamehe mara nyingi sana. Wataishika adabu safari hii.Muwaonee huruma hata kidogo basi[emoji23].
Samehe saba mara sabini,jamani mkumbuke na maandiko[emoji23]
Sikuwahi dhani serikali ya Kenya ya kipuuzi kiasi hiki.Mwenzake huku anatembea mitaani mpaka anapoke kuku za wanakijiji, anakatiza daraja la zaidi ya mita mia tisa na walinzi wake bila barakoa, watanzania wanafurika kwenye safari ya mwisho ya mkapa bila barakoa, so far hatujasikia concern yeyote negative kuhusu afya na ukumbuke kuwa maradhi hayafichiki still unaguts za kuinyoshea kidole Tanzania kuhusu Corona. China kwenye chimbuko wamepewa kibali mapema namna hiyo? Something fishy gwan around.
Ukiwa na rais mvuta bange raia wake ni zaidi. Life goes onhongera sana mzee kenyatta! wazeee wa korona hoiii![emoji23] waendelee kujifukiziaa tu ndani ya atcl...full maombezi humoo..koronaa kiboko ya mswahili..[emoji23]
Kila mtu ashinde mechi zake. Ulitaka Tanzania tufanyeje? Kwanza bado, hizo ni ndege tu ili watu wa kuja Tanzania watumie mashirika mengine kufika Tanzania. Tunasubiri kuona wakenya wakizuiwa kuingia nchini kama mlivyofanya[emoji23][emoji23]sijaona other nations zikireact hivi apart from tz, the bitterwoman
Kwako 0 kwetu 100. Kenya airways ni moja ya mashirika yanayotumia airspace ya Tanzania kwa wingi. Hivyo hiyo ina maana watumiaji wote wa KQ watatumia mashirika mengine.Inaitwa Knee-jerk reaction, zero thoughts into it
Amefungia watu sisi tumefungia biashara zao nchiniUnamfungia mtu ambaye tayari amekufungia
Safi kabisa tulisema wasubiri dawa yao iko jikoni.Akikupiga ngumi ya Sikio halafu anakuuliza Umeskiaje, Wewe Mpige ya Jicho tu halafu muulize ameonaje.
View attachment 1523067