Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Kupenda masomo ni mzuri sana. Rwanda, Uganda na ethiopia wako kwa list ya kuingia kenya kupitia anga. kwa eac ni Tanzania na burundi ndiyo wamekatazwa.North america ni Canada na wamarekani kutoka california .
Tafadhali soma kabla ya kuandika usizozijua.
China ipo kwenye list ya nchi zilizoruhusiwa kuingia Kenya , kimezingatiwa kitu gani?
 
Mmeshikwa magudmoon mbaaav zenu kama hamuumii mbona mlikua mnazileta
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
 
Waswahili waliwahi kusema mwanzo wa ngoma ni lele! Hizi si dalili nzuri kwa mustakabali wa jumuiya yetu. Itabidi kifanyike kitu kuokoa jahazi, huku kutunishiana misuli sidhani kama kutakua na suluhisho la kudumu!

Najiuliza kwanini wasingeenda Kenya au kumtumia balozi wetu kutatua kidiplomasia kuliko kujimwambafy?
 
Wewe ni bonge la kondoo simply lofa kabisa, kuzika ndio mavi gani vileee, uhusiano usiozingatia maslahi ya Taifa letu na yafe hata sasa shenzi kabisa na akili kama za mende
Pagumu sana hapa! MKAPA ndo alikuwa anaweza kumshaurii Jiwe sasa hayupooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani diplomasia ya kenya na tz ipo pabayaa sanaa. Ego itaua uhusiano wa hizi nchi mbilii japo wanajidai marafiki kinafiki lakini tushafikaa mbalii aiseee sasa hivi raia wa Tanzania wataanza kutimuliwa Kenya.[emoji29][emoji29]

MKAPA majirani wote hawajaja kumzika.
 
Unaonekana umeumia sana we subiri mpaka mfe njaa ndio mtajua kua sie sio wapuuzi wa kiwango hicho, tunajua mnatumika kutuhujumu maana mmeshakula pesa ya msaada sasa mnatimiza masharti tutamalizana na umbwa yeyote anaegusa maslahi ya Taifa letu
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
 
Akikupiga ngumi ya Sikio halafu anakuuliza Umeskiaje, Wewe Mpige ya Jicho tu halafu muulize ameonaje.
View attachment 1523067
Saaafi. Wabakie na corona yao. Lkn katazo lingesema kabisa kuwa hakuna raia wa kenya kuruhusiwa kuingia Tanzania, maana wao wamesema nationals wa Tanzania hawatakiwi kutua Kenya. Au walisahau?
 
Agressions zote za nini hizi?

Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!

Wewe umejaza makorona nchini mwako, Kenya lazima wachukue hatua, and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?

Majibu yaliyofeli shule bwana, hesabu ngumu hayawezi, yanaweza hesabu rahisi rahisi tu.

Cheza chess hii!

Ndio shida na huu utawala, hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
Kumbuka mlicho tufanyia 1977 kuhusu
EAC na 1978 kuhusu Id Amin Dada.

Wakenya mlitumiwa kuhujumu uchumi wetu na mnaendelea kutumiwa kuhujumu uchumi wetu.

Nyie hamna undungu na sisi na sisi hatutaki undugu na nyie. Wakikuyu akilibzenu ziko matakoni.

Mswahili kama wewe wakenya unajifanya mbritish? Fine! Endelea. Sisi tutabaki Africans.
 
Kama iko Coronna unaweza kuondoka ukaishi kisumu until further notice, mbona wewe hujafa na coronna kama ipo uumbwa tu kama hizi mbanga nyingine
Agressions zote za nini hizi?

Kuna namna nzuri ya ku-address what Kenya did na sio huu utoto wa shortcuts namna hii!

Wewe umejaza makorona nchini mwako, Kenya lazima wachukue hatua, and then na wewe unachukua jibu rahisi sana la kukataza zao?

Majibu yaliyofeli shule bwana, hesabu ngumu hayawezi, yanaweza hesabu rahisi rahisi tu.

Cheza chess hii!

Ndio shida na huu utawala, hautumiagi akili katika higher levels kabisa!
 
Aiseee Uhusiano wa Kidiplomasia awamu hii ya "MTU FURANI" ni mbaya sana,Ni mbaya sana kwa EAC kufanyiana hivyo sisi ni majirani,tuondoe tofauti zetu na wakenya,tunaanza kuzuia ndege ,kesho kutwa tutaanza kufukuza raia walio kenya/tz kurudi makwao!! Naona ndipo tunapoelekea.
Kama uko fair utakumbuka ni kiasi gani Magu kawatetea wakenya tangu ishu ya corona ianze. Mara ngapi kabatilisha amri za wakuu wa mikoa inayopakana na Kenya kwa mfano akisisitiza mahusiano mema? Tuache unafiki. Uamuzi wa Kenya kuzuia ndege zetu ni wa kitoto na kijinga sana.
 
Mwenzake huku anatembea mitaani mpaka anapoke kuku za wanakijiji, anakatiza daraja la zaidi ya mita mia tisa na walinzi wake bila barakoa, watanzania wanafurika kwenye safari ya mwisho ya mkapa bila barakoa, so far hatujasikia concern yeyote negative kuhusu afya na ukumbuke kuwa maradhi hayafichiki still unaguts za kuinyoshea kidole Tanzania kuhusu Corona. China kwenye chimbuko wamepewa kibali mapema namna hiyo? Something fishy gwan around.
Sikuwahi dhani serikali ya Kenya ya kipuuzi kiasi hiki.
 
hongera sana mzee kenyatta! wazeee wa korona hoiii![emoji23] waendelee kujifukiziaa tu ndani ya atcl...full maombezi humoo..koronaa kiboko ya mswahili..[emoji23]
Ukiwa na rais mvuta bange raia wake ni zaidi. Life goes on
 
[emoji23][emoji23]sijaona other nations zikireact hivi apart from tz, the bitterwoman
Kila mtu ashinde mechi zake. Ulitaka Tanzania tufanyeje? Kwanza bado, hizo ni ndege tu ili watu wa kuja Tanzania watumie mashirika mengine kufika Tanzania. Tunasubiri kuona wakenya wakizuiwa kuingia nchini kama mlivyofanya
 
Inaitwa Knee-jerk reaction, zero thoughts into it
Kwako 0 kwetu 100. Kenya airways ni moja ya mashirika yanayotumia airspace ya Tanzania kwa wingi. Hivyo hiyo ina maana watumiaji wote wa KQ watatumia mashirika mengine.

Maumivu yakizudi, meza panadol
 
Back
Top Bottom