Ndiyo kama yeye hajaifungia ndege yake kuja TZ je? Tumia ubongo wako vizuri kufikiri.Unamfungia mtu ambaye tayari amekufungia
You Kenyaland, we are here to fix you! We are still coming....! Stay tuned![emoji23][emoji23]sijaona other nations zikireact hivi apart from tz, the bitterwoman
Subiria impact zakeSema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja Dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda entebbe, Jambo jet mara 3 kwa siku kuenda entebbe.
Hata kibiashara, Kenya inafanya biashara mingi na uganda na Rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya Kenya na Uganda ni karibu mara tatu kati ya Kenya na Tanzania.
Kuishi na Jirani mpuuzi yataka moyo sana.Hii imekuja baada ya serikali ya kenya kutoioredhesha Tanzania kua miongoni mwa nchi zitakazoruhusiwa kutua nchini mwao.
Uhusiano wa nchi hizi mbili kwa sasa unatia shaka.View attachment 1523184
Wakenya wanalia lia, kwanza ndo wamemaliza idadi yaajira nchini so wakizingua itakuwa fresh dada na kaka zetu wapate ajira.
JPM hajaribiwi zama zimebadilika
Na kampeni zinaanza mwezi huu, ndugu zangu wa chadema wasijisahau wakasimama na kenyata katika hili maana wapo kupinga kila kitu.
KQ unafanya safari 49 kwa wiki kuja Dar, huko Kigali itampeleka Nani?HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Hahaha, maana wenzetu wanapendaga kwenda kinyume tu no matter what [emoji28]Na kampeni zinaanza mwezi huu, ndugu zangu wa chadema wasijisahau wakasimama na kenyata katika hili maana wapo kupinga kila kitu.
Lazima ife mkuuDiplomatic ties is slowly dying.
We unataka magufuli afanyeje?Tutaona mengi sana hasa wakati huu ambapo hatuna rais mwanadiplomasia.
Huna takwimu,acha kubwabwajaHAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Basi sawa, kuna shida kwani?Sema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja Dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda entebbe, Jambo jet mara 3 kwa siku kuenda entebbe.
Hata kibiashara, Kenya inafanya biashara mingi na uganda na Rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya Kenya na Uganda ni karibu mara tatu kati ya Kenya na Tanzania.
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.