Duka gani na kwa bidhaa zipiTungeweza na kuzuia bidhaa zao kuingia huku kwetu ndo wangetambua kwamba soko la Tanzania ni muhimu sana kwa uchumi wao.
Kila duka limejaa bidhaa za Kenya, mpaka viwanda vyetu ninakufa.
Mbona South Africa na Nigeria hazijafanya hivyo?Kwahiyo Kanya mkiamua kuchukua maamuzi yenu dhidi ya Tanzania "Unilaterally", hiyo kwako unahisi ni haki, lakini Tanzania ikiamua kufanya kilekile kilichofanywa na Kanya unadhani sio sawa?. Kweli ninyi ni watu wa ajabu Sana.
Kila siku naamini Kenya si jirani mzuri, ndani ya ile nchi kumejaa wanafiki na wenye roho mbaya, hiyo yote ni zuga ya kupata msaada kutoka Kwa mabeberuNilisema juzi nahofia majibu ya Magufuli kwa huu uamuzi wa Kenya yakawa mabaya zaidi kwa mstakabali wa EAC hasa Kibiashara.
Nchi zote lazima ziathirike kwa kiwango kikubwa.
Russia Wameruhusu Tanzania kutua kwao Kenya wanatuzuiani ili kuionyesha Dunia Tanzania hatuko makini kwenye mapambano ya CORONA
Kenya ilibidi waende mbali zaidi kwa kuzuia Ndege zao kuja Tanzania kuchukua korona, badala yake wamezuia za Tanzania kupeleka korona Ila wameruhusu za Kenya kuja kuchukua Korona.
Hakuna wa kujidanganya hapa endeleeni na hao mnaofanya nao biashara vizuri. Kwanza hata tabia zenu mnalingana. Ikiwezekana na malori nayo yasije wala yasiende huko. Yaende kwenye hizo nchi ulizozitaja. Hivi nyie wakenya zinawatosha kweli?Sema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja Dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda entebbe, Jambo jet mara 3 kwa siku kuenda entebbe.
Hata kibiashara, Kenya inafanya biashara mingi na uganda na Rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya Kenya na Uganda ni karibu mara tatu kati ya Kenya na Tanzania.
Mbona hiyo best way hutaji unabaki kulialia tu hapa. Yaani nyie ndio watu visirani napitia kuona mapendekezo yako sioni zaidi ya kulialia, kama Kenya wakati wanafanya maamuzi yao hawakuona umuhimu was Tanzania kama jirani na mshirika wa biashara iweje ulaumu serikali ya Tanzania wacha upuuziMkuu
Hizi personal emotions hawa viongozi zinapowapanda na kutoa maamuzi kama haya,concequences zake ni far-reaching.
Kuna best way ya ku-address hili swala na economically ukawa ume-win pia.
Mawe kutokujali ni bliss ya ignorance yake. Mtu asiejua lolote hua hajali maana hajui.
Angekua anajua na anauelewa ange-solve intelligently...Too bad hajui 1+1.
Nikisema hizi nchi mbili zote zinachezeshwa kwata la beberu nitakuwa nakosea?
Na ndicho wanachokifanya Nia kutuchafua, sasa wamekutana na chenga mwenzao wakimwanga ugali anamwaga mboga halafu anatulia kimya. Safari hii hatutaki mapambio ya undugu, kwanza bado tupo msibaniWewe huwajui Wakenya. Hakuna anayetaka kutukuzwa hapa. Anachofanya Magu ni kucheza muziki ambao hawa jamaa wanauelewa.
Bila kufanya hivyo hawa nyang'au watataka kutuchafua kimataifa kwa nguvu.
Jamani mtuhurumie kuna dada zenu tunamichepuko Kenya hahahaaaaaaaaaInabidi serikali iende mbele zaidi kwa kuharamisha takataka zote zinazoingia kutoka Kenya (bidhaa na raia).
Ukikutwa na chochote "made in Kenya" au kimethibitishwa na KEBS ni uhujumu uchumi.
Na hii sheria isiishie tu kipindi hiki cha mpito,[emoji16] Viongozi waape kuilinda kama ilivyo kwenye kuulinda Muungano.
Newton's 3rd Law of motion on a straight line inahitaji amendment, ACTION AND REACTION hazipaswi kuwa equal.
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.
Nyang'au unatuoneaje huruma sasa tuache Mkuu kwani sie si ndio tuna loose ama? Hiyo roho nzur nyie mmetoa wapi ya kutushauriNdio maana nakwambia,y'all need to go to the drawing board,uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua..
Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!
Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa, mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.
Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa, is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?
This is chess and not checkers.
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.
Yaani waumize kichwa kwa Kenya? Vyetu havina Corona ila Sisi tunayo, wameanza na magari na sasa wanaingia kwenye usafiri wa anga, nadhani ujinga huu hauvumiliki.Mkuu
Nitoe siri gani mzee?
Serikali ina siri gani?Siri za serikali ni crimes done by watawala towards wananchi,hizo ndio siri za serikali which sio siri ni crimes which need to be exposed.
That said, hawa watawala wetu hawatumii akili kisawasawa,hii kuandika tangazo la kupiga marufuku ni njia rahisi sana na ni shortcut.
Tunataka vichwa viumie kutoa jawabu considering every aspect is taken care of.
Tatizo hawa watawala wa mawe ni vichwa panzi,akili hamna mle!
Wapelekee salamu kuwa watafungua tu kila kitu siku ile tutakapowapelekea mahindi ya msaada kutibu njaa yao baada ya kujifungia. Na waambie hiyo siku haiko mbali.HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake Jambo Jet zinaenda Entebbe na Kigali kushinda Dar na hizo vitu zingine umetaja
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake Jambo Jet zinaenda Entebbe na Kigali kushinda Dar na hizo vitu zingine umetaja
Na wamrudishe[emoji1787][emoji1787]. Anaweza wadai ujue.Yule tausi tuliyegawa kule chatoni kumbe ilikuwa unafique?
Shida sio COVIDWakenya inatakiwa mtambue hii awamu haibipiwi ovyo wala haitaki mchezo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kazi tu.