Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Tungeweza na kuzuia bidhaa zao kuingia huku kwetu ndo wangetambua kwamba soko la Tanzania ni muhimu sana kwa uchumi wao.
Kila duka limejaa bidhaa za Kenya, mpaka viwanda vyetu ninakufa.
Duka gani na kwa bidhaa zipi
 
Kwahiyo Kanya mkiamua kuchukua maamuzi yenu dhidi ya Tanzania "Unilaterally", hiyo kwako unahisi ni haki, lakini Tanzania ikiamua kufanya kilekile kilichofanywa na Kanya unadhani sio sawa?. Kweli ninyi ni watu wa ajabu Sana.
Mbona South Africa na Nigeria hazijafanya hivyo?
 
Nilisema juzi nahofia majibu ya Magufuli kwa huu uamuzi wa Kenya yakawa mabaya zaidi kwa mstakabali wa EAC hasa Kibiashara.

Nchi zote lazima ziathirike kwa kiwango kikubwa.

Russia Wameruhusu Tanzania kutua kwao Kenya wanatuzuiani ili kuionyesha Dunia Tanzania hatuko makini kwenye mapambano ya CORONA

Kenya ilibidi waende mbali zaidi kwa kuzuia Ndege zao kuja Tanzania kuchukua korona, badala yake wamezuia za Tanzania kupeleka korona Ila wameruhusu za Kenya kuja kuchukua Korona.
Kila siku naamini Kenya si jirani mzuri, ndani ya ile nchi kumejaa wanafiki na wenye roho mbaya, hiyo yote ni zuga ya kupata msaada kutoka Kwa mabeberu
 
Sema kujidanganya! Munapenda kujidanganya watanzania. KQ ilikuwa inakuja Dar mara 14 kwa wiki hiyo ni mara mbili kwa siku kuanzia 2015. Linganisha hiyo na KQ mara 5 kwa siku kuenda entebbe, Jambo jet mara 3 kwa siku kuenda entebbe.

Hata kibiashara, Kenya inafanya biashara mingi na uganda na Rwanda kushinda Tanzania. Biashara kati ya Kenya na Uganda ni karibu mara tatu kati ya Kenya na Tanzania.
Hakuna wa kujidanganya hapa endeleeni na hao mnaofanya nao biashara vizuri. Kwanza hata tabia zenu mnalingana. Ikiwezekana na malori nayo yasije wala yasiende huko. Yaende kwenye hizo nchi ulizozitaja. Hivi nyie wakenya zinawatosha kweli?
 
Mkuu

Hizi personal emotions hawa viongozi zinapowapanda na kutoa maamuzi kama haya,concequences zake ni far-reaching.

Kuna best way ya ku-address hili swala na economically ukawa ume-win pia.

Mawe kutokujali ni bliss ya ignorance yake. Mtu asiejua lolote hua hajali maana hajui.

Angekua anajua na anauelewa ange-solve intelligently...Too bad hajui 1+1.
Mbona hiyo best way hutaji unabaki kulialia tu hapa. Yaani nyie ndio watu visirani napitia kuona mapendekezo yako sioni zaidi ya kulialia, kama Kenya wakati wanafanya maamuzi yao hawakuona umuhimu was Tanzania kama jirani na mshirika wa biashara iweje ulaumu serikali ya Tanzania wacha upuuzi
 
Watajuana wenyewe.mimi niko zangu makete huku hata sinufaiki wala kupoteza chochote kuhusu hayo mandege yao
 
Wewe huwajui Wakenya. Hakuna anayetaka kutukuzwa hapa. Anachofanya Magu ni kucheza muziki ambao hawa jamaa wanauelewa.

Bila kufanya hivyo hawa nyang'au watataka kutuchafua kimataifa kwa nguvu.
Na ndicho wanachokifanya Nia kutuchafua, sasa wamekutana na chenga mwenzao wakimwanga ugali anamwaga mboga halafu anatulia kimya. Safari hii hatutaki mapambio ya undugu, kwanza bado tupo msibani
 
Inabidi serikali iende mbele zaidi kwa kuharamisha takataka zote zinazoingia kutoka Kenya (bidhaa na raia).

Ukikutwa na chochote "made in Kenya" au kimethibitishwa na KEBS ni uhujumu uchumi.

Na hii sheria isiishie tu kipindi hiki cha mpito,[emoji16] Viongozi waape kuilinda kama ilivyo kwenye kuulinda Muungano.

Newton's 3rd Law of motion on a straight line inahitaji amendment, ACTION AND REACTION hazipaswi kuwa equal.
Jamani mtuhurumie kuna dada zenu tunamichepuko Kenya hahahaaaaaaaaa
 
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake jambo jet zinaenda entebbe na kigali kushinda dar na hizo vitu zingine umetaja.

Hahaaa! Huelewi kile unaongea. Kaa kimya tu kwa sasa hadi hapo baadae
 
Ndio maana nakwambia,y'all need to go to the drawing board,uamuzi mliochukua ni uamuzi rahisi sana hata kichaa wa mirembe angeuchukua..

Mzee,huwezi nielekeza cha kuongea humu wala mimi siwezi kuelekeza chochote humu!

Kenya imefungia nchi zaidi ya 250,TZ ni one of them..shida mmepaniki na kuchukulia personal,too bad Nairobi ni regional hub EA hapa, mizigo yote itakwamia hapo,na abiria wote hawawezi enda long route ya Cape Town eti ndio waje TZ.

Jawabu sio rahisi kiivyo kama mlivyotoa, is that economically at your best interest au mmeenda kula pilipili kichaa za Chattle huko?

This is chess and not checkers.
Nyang'au unatuoneaje huruma sasa tuache Mkuu kwani sie si ndio tuna loose ama? Hiyo roho nzur nyie mmetoa wapi ya kutushauri
 
Mbona KQ pekee, si mungefungia hata Jambo jet ambayo ni mtoto 100% wa KQ, pia precision air ambayo ni 50% mtoto wa KQ? Yani hapo hakuna kazi imefanyika ni vitisho tu. Hata mufungie KQ na jambo jet bado KQ itapata pesa kupitia precision air.

Ngoja kwanza tumalize na KQ, achana na hiyo jamba jet. Tunakwenda hatua kwa hatua
 
Mkuu

Nitoe siri gani mzee?

Serikali ina siri gani?Siri za serikali ni crimes done by watawala towards wananchi,hizo ndio siri za serikali which sio siri ni crimes which need to be exposed.

That said, hawa watawala wetu hawatumii akili kisawasawa,hii kuandika tangazo la kupiga marufuku ni njia rahisi sana na ni shortcut.

Tunataka vichwa viumie kutoa jawabu considering every aspect is taken care of.

Tatizo hawa watawala wa mawe ni vichwa panzi,akili hamna mle!
Yaani waumize kichwa kwa Kenya? Vyetu havina Corona ila Sisi tunayo, wameanza na magari na sasa wanaingia kwenye usafiri wa anga, nadhani ujinga huu hauvumiliki.
 
HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake Jambo Jet zinaenda Entebbe na Kigali kushinda Dar na hizo vitu zingine umetaja
Wapelekee salamu kuwa watafungua tu kila kitu siku ile tutakapowapelekea mahindi ya msaada kutibu njaa yao baada ya kujifungia. Na waambie hiyo siku haiko mbali.
 
Acha uongo, KQ ina root nyingi dsm na Johannesburg,kuliko sehemu nyingine, tumepiga pini dsm, tumepiga pini zenji, tumepiga pini Kia,pumbavu lazima uombe poo


HAHAHAHA, Kelele za chura hiyo. Uganda ama Rwanda zikifunga Kenya inaweza kuumia lakini si Tanzania. KQ na mtoto wake Jambo Jet zinaenda Entebbe na Kigali kushinda Dar na hizo vitu zingine umetaja
 
Kumbukeni kuwa kipindi akiwa waziri wa ujenzi mwaka 2012 wakati wa ufunguzi wa kampeni ya Odinga kupambana na aliyekuwa waziri wa edha Uhuru kenyatta alipanda jukwaani na kusema wakenya wamchague Odinga na yy anamuunga mkono. Kauli ile ilileta utata bungeni ambapo kambi ya upinzani bungeni kupitia waziri kivuli Hezekhia Wenje walimuuliza waziri mkuu Pinda atowe ufafanuzi kuhusu kauli ya Jiwe km ni yake binafsi au ya serikali. Tangu kipindi hicho Uhuru na Jiwe wanaongea tuu ili wananchi wasione tofauti zao bali kuna internal conflicts
 
Mwamba MAGUFURI anzisha oparation ya kuwasaka wa kenya walioko Tanzania na kuwarudisha makwao [wamejaa Tanzania na awafuati taratibu za nchi]“”kwa mtu anaewafaamu hawa jamaa “”sio watu wazuri kabisa,
 
Back
Top Bottom