Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Serikali ya Tanzania yazuia ndege kutoka shirika la Kenya Airways kutua Dar, Kilimanjaro na Zanzibar

Wewe ni bonge la kondoo simply lofa kabisa, kuzika ndio mavi gani vileee, uhusiano usiozingatia maslahi ya Taifa letu na yafe hata sasa shenzi kabisa na akili kama za mende
Yani wee utopolo hapo huoni tatizoo kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kojoaa kalalee maslahi ya taifaa unayajua wewe??? Unajua wageni wakiwemo watalii wangapi wanapitia Kenya Airways kuja Tz??? Au unaongeaa ili mradii tuu... Ukijua maslahi ya nchii haya yanayoendelea hayakupaswa kuwepooo kabisaaa sasa sijui unaongea mavi ganiii.... Hivi vindege vyetu tumbili wewe vinaishia songeaa tuuu[emoji23][emoji23]
 
Uganda exports more to Kenya than Tanzania about 5 times more than Tanzania. Nyinyi mukijidanganya na machungwa, nyanya na vitunguu, Uganda wana safirisha finished products kukuja Kenya.
Sawa, sasa wacha Tanzania iendelee kufanya biashara na Comoro na Madagascar wanaonunua karibu kila kitu kwao. Hata hayo machungwa, nyanya na vitunguu wanavihitaji zaidi tena kwa bei yenye faida
 
Ni vema tukaangalia tulipojikwaa kwanza kabla ya kuangalia tulipoangukia !

Tujiulize tumefikaje hapa?

Mbona Nchi nyingine wanachama wa jumuia jirani kama Uganda hazijapigwa ban?

Sababu ni nini?

Je nini kifanyike kwa busara?
Hapa kila mtu abebe mzigo wake, kwani kuna umuhimu Gani wa kushirikiana Kama kila nchi inadhani kwamba sio muhimu kumshirikisha mwengine kabla ya kutoa maamuzi?
 
Ndio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani alieanza ni nani mzee???? Umesahau kuna wajumbe wa kumzika mkapa wamerudia anganii na ndegee yaooo...???

Ndio, wao bado wana corona nyingi, na bado hata masharit kwao ni makubwa na wanatanagaza corona kwa wingi.
Pia ukumbuke pale kwenye msiba watatakiwa kukaa VIP huku wao wana corona, kwa hiyo ni rahisi kuwaambukiza viongozi wetu wa kitaifa.
 
Kwani KQ kuja TZ walikuwa wanapanda wa Kenya tu ?
Hudhani kuwa kuna wa Tanzania Kibao wata loose katika hilo ?
Au unadhan KQ kuja Bongo hakuna Faida kwa TZ ?

Kwa vyovyote vile itakavyokua, serikali imechukua hatua muafaka. Kubwa zaidi katika hili ni kwamba Kenya inakumbushwa kwamba zama hizi sio za 'kuichukulia poa' TZ. Kama kuna shida ni muhimu nchi hizi zikutane na kujadiliana kwa heshima na kutafuta njia kama 'business partners'. Kitendo cha kuzuia Watanzania wasitue Kenya kwa sababu ya Corona, wakati huo huo Wakenya wanaingia na kutoka Tanzania kila siku as if wao hawawezi kubeba Corona kupeleka kwao, hakikubaliki. Ukumbuke Kenya na Tanzania ni majirani wa karibu zaidi wanashirikiana mengi kwa kupenda au kutokupenda. Haiingii akilini Kenya kuiweka Tanzania kundi moja na nchi za mbali huko kama US, Afriaka ya Kusina au hata DR Congo. Vivyo hivyo TZ inatakiwa iione Kenya kama 'special' business partners.
 
Karibia nchi zote za Africa zinatangaza, mbona pia wamezifungia?, tumia akili kidogo

Wewe ndiyo utumie akili kidogo!

Any rational decision must consider many factors in arriving at!

Huwezi kujua kuna mambo mengine gani waliyoyazingatia katika kufikia uamuzi wa aina hiyo.

Kutoa takwimu za Corona ni hatua moja lakini kuna zingine muhimu mfano kuchukua hatua za kupima, kuchukua tahadhari za kufanya curfews, lockdowns n.k

Kuna nchi zilikuwa zinatoa takwimu lakini zikaishia kufanya hivyo bila kupima watu wala tahadhari nyingine.
 
Uganda exports more to Kenya than Tanzania about 5 times more than Tanzania. Nyinyi mukijidanganya na machungwa, nyanya na vitunguu, Uganda wana safirisha finished products kukuja Kenya.
Ndio sababu tumepiga marufuku ndege zenu ili muendelee na Uganda, kila mtu abaki kwake, sisi tunao majirani 7 tunafanya nao biadhara, Kenya mpo na Uganda na Rwanda pekee
 
It’s only a matter of time kabla wakenya awajaomba yaishe kama ilivyo kawaida yao.

Air Tanzania can afford to park its planes, Kenya Airways can’t shirika lina madeni mpaka kwenye makope they cant afford to ground their planes.
 
HII BADO HAITOSHI,NILIKUWA NAOMBA SERIKALI IPIGE MARUFUKU NDEGE YA AINA YEYOTE KUTOKEA KENYA HAITARUHUSIWA KUTUA NCHINI TANZANIA,MAANA WANAWEZA ZUIA KQ KUTUA HAPA HALAFU WATU WAO WAKATUMIA MASHIRIKA MENGINE KUTUA NCHINI KWETU,KAMA ETHIOPIAN AIRLINES,RWANDAIR,N.K,HIVYO BASI ILI WASITULETEE CORONA INAPASWA NDEGE YEYOTE KUTOKEA KENYA HAIPASWI KUTUA NCHINI KWETU.
 
Wewe ndio huelew iliyozuiwa ni KQ, na sio ndege zingine, Ethiopia airlines, KLM hawajazuiwa Kenya wala bongo, kwahiyo watapita Kenya na watakuja bongo pia, shida ikowapi hapo, watu watakuja tz na watu wataenda Kenya lakin sio kutumia KQ wala ATCL.
Yani wee utopolo hapo huoni tatizoo kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kojoaa kalalee maslahi ya taifaa unayajua wewe??? Unajua wageni wakiwemo watalii wangapi wanapitia Kenya Airways kuja Tz??? Au unaongeaa ili mradii tuu... Ukijua maslahi ya nchii haya yanayoendelea hayakupaswa kuwepooo kabisaaa sasa sijui unaongea mavi ganiii.... Hivi vindege vyetu tumbili wewe vinaishia songeaa tuuu[emoji23][emoji23]
 
Ndio

Ndio, wao bado wana corona nyingi, na bado hata masharit kwao ni makubwa na wanatanagaza corona kwa wingi.
Pia ukumbuke pale kwenye msiba watatakiwa kukaa VIP huku wao wana corona, kwa hiyo ni rahisi kuwaambukiza viongozi wetu wa kitaifa.
Wewe sababu tz haitangazi bhasi unaamini hakuna Corona???? Kenya wenyewe wangekuwa hawatangazi hiyo Corona isingekuwepo tatizo Hela za mabeberu walizokulaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Corona imeua watu 200 sijui hukp kenya lakini kuna magonjwa yaneua zaidi ya hio idada lakini hakuna anaejali hiloo sababu ya Misaada lakini Kamwe usifikiria tz hakuna Corona juzi tu kuna shangazi yangu tumemzikaa...
 
Tanzanians are not allowed to go to Europe
Tanzanians are not allowed to go to US
US are not allowed to go to Europe
Kenya is also not allowed to go to Europe
UK citizens cant come Kenya
200+ coutries can't come to kenya
Very few countries allow Tanzanians if any
World is closed airflight wise

Lakini TZ na umama, has decide to ban KQ emotionally
Mbona KLM, emirates, BA, e.t.c are not banned since they also put same resrictions like Kenya?
 
HII BADO HAITOSHI,NILIKUWA NAOMBA SERIKALI IPIGE MARUFUKU NDEGE YA AINA YEYOTE KUTOKEA KENYA HAITARUHUSIWA KUTUA NCHINI TANZANIA,MAANA WANAWEZA ZUIA KQ KUTUA HAPA HALAFU WATU WAO WAKATUMIA MASHIRIKA MENGINE KUTUA NCHINI KWETU,KAMA ETHIOPIAN AIRLINES,RWANDAIR,N.K,HIVYO BASI ILI WASITULETEE CORONA INAPASWA NDEGE YEYOTE KUTOKEA KENYA HAIPASWI KUTUA NCHINI KWETU.
Sasa hizo ndege huwaga zinabeba Viazi au????? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndege nyingi zinabeba watalii toka nje sasa hapo sijui unafanyaa nini.

Unaitaa wataliii alafu unafungia ndege zinazobeba watalii kupitia kenya kuja bongo maana bongo hakuna ndege za moja moka kwa moja kwenye mataifa mengi ya nje...
 
Hivi unajua watanzania wengi wako Kenya? Tofauti ni moja, Mukifukuza wakenya mutakuwa munafukuza professionals na wanabiashara wanao nunua hizo vitungu na nyanya zenyu(Watu wanaojenga uchumi na walio na umuhimu kwa nchi). Kenya ikifukuza watanzania itafukuza makahaba, omba omba wa barabarani, na watu wa kubeba mizigo hapo gikomba (Kazi zisizo muhimu kwa Taifa).
Kama unakubali Tanzania kuna wakenya wengi tena proffesionals na sisi atujawahi funga kazi sababu ya COVID meaning they would be at most risk.

Mpaka sasa kuna Mkenya ata mmoja tumemrudisha huko kwenye jeneza kafa kwa COVID au kuna ndugu huko umesikia wamepoteza ndugu yao kwa COVID akiwa Tanzania.

Hizi kelele za Tanzania kuna ugonjwa ni wazimu tu wa viongozi wenu, hakuna evidence.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani alieanza ni nani mzee???? Umesahau kuna wajumbe wa kumzika mkapa wamerudia anganii na ndegee yaooo...???
Kaka achana na udaku hapa tunajadiliana mamba ya msingi, ikiwa nchi zote mbili zinasema sababu ya ujumbe wa Kanya kushindwa kuingia Tanzania ni kutokana na matatizo ya kitaalamu, wewe unapata wapi haya unayoyasema?
 
Tanzanians are not allowed to go to Europe
Tanzanians are not allowed to go to US
US are not allowed to go to Europe
Kenya is also not allowed to go to Europe
UK citizens cant come Kenya
200+ coutries can't come to kenya
Very few countries allow Tanzanians if any
World is closed airflight wise

Lakini TZ na umama, has decide to ban KQ emotionally
Mbona KLM, emirates, BA, e.t.c are not banned since they also put same resrictions like Kenya?
Utavuna unachopanda
 
Kukusanya revenu ukiwa kwenye loss unaona umefanya la maana
Lazima ufunzwe biashara, if you run business at a loss but revenues keep increasing it means the business is still viable and demand for your product is there. Yani watanzania hamjui kufanya biashara? It also means the underlying product is valuable and the losses are due to operational costs not market demand. A bigger problem would be if the losses were due to market demand.
 
Back
Top Bottom